Akiona vipi naye atest zali siku moja......the moment anaingia after hiyo refuge yake nawe tafuta kokoko zako, puliza uturi bi dada, jipure....... beba kibeti toka.......akiuliza uendako ......"Darl I dont want to talk bout it sweetheart......cheers" .....kwa tabasamu na bashasha zote toka. Nenda kwa ndugu yako yoyote au hata yake ambae mwaelewana.........sogoa dada kama vile hakuna lililotokea kwako. Rejea baada ya muda mrefu tu wa kutosha.... pita moja kwa moja bafuni, take your time kisha toka panguza miguu.... tinga jeans lol kuonyesha msisitizo kuwa huna haja ya "huduma" ......... shusha pumzi kuuubwa ya kuonyesha umechoka sana kabla hujablew a good nite kiss. ............In case akiuliza tena ulikokuwa.mjibu taratiiibu sana tena ikiwezekana sauti ipitishie mlango wa pua, ibane dada......tumia sauti ya kike huku ikisindikizwa na jicho la mahabat mwambie.................Baby am so tired (hapa unapiga na miayo ukijinyoosha na viungo)..... lets sleep.
Kwa jinsi watu wa aina yake walivyo...ni wepesi sana kupick up makosa yako na kusahau yake... atalianzisha tu yaani hatasubiri hadi kuche atadai maelezo....(kama hapigi) wala usijibishane naye kwa ukali wala kukurupuka kuwa mbona wewe huwa watoka, walala husemi ah......mwambie tu taratibu hun tutaongea kesho sasa hivi ni usiku. .......Ukiwa na bahati mtalala but the first kituo itakuwa kwa best man kwenda kukushtaki kuwa umeanza infiii......Hapo hapo ndo pa kulianzisha gumzo.:smile::hippie:
(Hivi nimeomba BAN eh??)