My Husband Is Acting Funny ..msaada pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Oct 27, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Good day all,
  Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...


  NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  umenishtua,nilidhani ni prezdaaaaaa wako
   
 3. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  1st Lady m gonna be the first 1 to comment on this, n thank God iam! to tell u the truth is that the Man aint in love with you and he z into another relship, u aint alone, he z lukin for a way to push u away, utafanya mema yote na hawezi kubadilika na hata kama atakuwa sawa itakuwa kwa siku 1 au mbili kisha atabadilika, Iam a man and not only a man, a grown up man, n i know all this shit!
  Not advizn u to leave him but watch out
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kudadadekiiiiiii
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaa najarribu kuwaza kama lingekuwa kwangi ningefanya nini mie ?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wameoana?au ndo zile za ujanja ujanja....?
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

  Baba Gift (Today) ​
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Ndoa ya kanisani Baba Gift ..afanyeje huyu Bidada ?
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mpwa hii mbona kali kama sio balaa
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haiwezekani!....
  i think ameexagereti mambo kwenye maelezo yake.....!

  for a ''not a year marriage'' sio rahisi!

  NI AINA GANI YA NDOA?:
  -arranged?
  -love?
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  FLI Bado nakuna kichwa hapa kwanza akili ikae sawa sawia
   
 12. Zneba

  Zneba Senior Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh hapo kuna kitu jamani haiwezekani ndoa haina hata mwaka wala mtoto mambo yaende hivyo coz me huwa najua watu wanachokana baada ya miaka kadhaa au kama kuna kitu kimetokea,maskini nampa pole ameanzakuona machungu ya ndoa mapema sana,jamani naogopa hiyo kitu mimi.duh
   
 13. Zneba

  Zneba Senior Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitu kingine firstlady mwanzo wa uhusiano mpka ndoa ulikuwaje inawezekana dada alikaba mno mpk kaka akaona ngoja aoe tu hakuwa amependa kiivyo c unaelewa tena.
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!
  festiledi hebu ongea vizuri na bidada huyo!....mwambie ''amechakachua'' scenario ake!ni kama HAIJADILIKI VILE!ujue hata kule musoma pia hawaishi hivo
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna moja huyu mwanaume wakati anamuoa huyu mwanamke alimuoa kwa matamanio sasa ameishanza kuona ni kama dada yake anatoka nje anaenda ku explore wengine, na kama mwanamke amevumilia na amejaribu kuongea nae and things haven't changed apeleke malalamiko sehemu waliyofungia ndoa (Kanisani) na kwa mtu aliyewafungisha ndoa lakini pia wawashirikishe wasimamizi wa ndoa yao kwa msaada zaidi
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mmhh, kuna mambo hata hayaeleweki kwenye hili game, hata mwaka bado, akivumila mpaka ifike mi 5 kwa hali hii hii huyu mdada atajimaliza mwenyewe pole pole...haay we kila mtu na mzigo wake kwenye hili game, hii kiboko.
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sioni kwanini mdada aendelee kuwa na huyo mtu jamani, kweli watu tunatofautiana sana, mie binadamu mwenzangu hanipotezei malengo yangu ya maisha kabisa.
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hapo mama vunja ukimywa kwa kuwaeleza wazazi wake!
   
 19. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  FOR REAL hiyo ndoa yake ina mateso kweli. hebu ajaribu kuwaeleza wazee wake wakubwa anaowaamini wasaidie kutatua hilo tatizo,la sivyo ataletewa magonjwa ndani. lol hii ni mbaya.
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  yaani jamani ndoa haijavunjwa hata bikira vizuri waanze kupeleka matatizo kwa wazazi? amkomalie kwanza mwenyewe wazazi ni baada ya kuona hakuna mabadiliko.
   
Loading...