My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

HAHAHA!
inakuwa kama likizo fulani hivi ya malipo:smile-big:

Yeah mimi anko huwa anapotea hata miezi 6 pindi wife wake anamletea za kuleta akilejea kama hajabadilika anapigwa talaka na mwezi huo huo anaopoa kifaa kingine cha ukweli
 
na huyu mtu hakika tena mi najua ANAUKIMBIA UNYUMBA!ndo maana nasema kuna some more CLARIFICATIONS behind the scene ambayo festilediwani anatakiwa ayadadavue ''IN A DETAILED MANNER'' kwa sababu ninachokiona hapa ni ''kuna matatizo kwa huyo binti mlalamikaji''

Hii case sijui inahitaji kufanyiwa postmortem maana naona inataka kuwa kichwa ngumu
 
Hapa magriit thinkaz mnajadili siku za wagoni kutokurudi nyumbani siyo? Orait...

Mi si mwanachama wa hiyo kitu bana.

Pamoja na kukamata mahela ya ISC, na pamoja na kuwa na umati wa mainfidelees, sijawahi kurudi home zaidi ya saa sita usiku. Imani yangu ni kuwa nikiingia saa sita na dakika moja, tayari nimeshalala nje. Hiyo babu hapendi, na MALARIA HAIKUBALIKI!
Niliwahi kusikia eti wababa hawalali nje, wanachelewa tu kurudi
 
Yeah mimi anko huwa anapotea hata miezi 6 pindi wife wake anamletea za kuleta akilejea kama hajabadilika anapigwa talaka na mwezi huo huo anaopoa kifaa kingine cha ukweli

Yah baridi ipo?.....ahaaa hamna na ya moto je?......ahaaa na hiyo hamna okay basi nileteee yenye uvuguvugu
 
Yeah mimi anko huwa anapotea hata miezi 6 pindi wife wake anamletea za kuleta akilejea kama hajabadilika anapigwa talaka na mwezi huo huo anaopoa kifaa kingine cha ukweli
ha ha ha ha!

hiyo ndo dawa hiyo mkuu!

maanake wakati mwingine wanawake ukiwapa nafasi ya kuongea WANAKUPANDA KICHWANI KABISA
 
Hii case sijui inahitaji kufanyiwa postmortem maana naona inataka kuwa kichwa ngumu
mkuu hii case haiko rahisi kama ilivyopokelewa na wachangiaji!kuna ''SIRI NZITO SANA HAPO''......
nyamayao anajua bana!ha ha ha ha!

AMANI KWAKO MWANAJAMIIONE!.....i miss you herein
 
kwa sasa naweza sema WANANYANYASANA!...until i hear from ''malalamikiwaji''......!

Unajua Retired maj Gen kama tutasikiliza na kujaji ki-upande upande naona kama tutakiuka sheria za JESHI

...mkuu pamoja na hukumu unayoelekea kuitoa, bado hii ni; 'her story!'
Tungebahatika kusikia 'His story' ndio tungejua The Truth.

Hapa naona tunakaribia kumwita Prof Safari na utaalamu wake wa natural justice.

Mimi sipingi hilo kwa sasa kuna dada hadi tunapoongea anaweza kuwa macho yamemtoka kwa kukabwa kama kibaka. Sasa tusitoe ushauri hadi huyo kaka amalize kuwa kichapo au? Na kaka mwenyewe hataki kuongea..Ni dizainii za Idd Amin (may be).

Kwa nini huyo dada asiondoke kwanza halafu ndo labda huyo kijana atakubali kufunua huo mdomo wake ambao kwa sasa unafunguka tu kwa siku 5 anazokuwa likizo?
 
hivi anaweza kuondoka bila kupewa talaka au notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:
inategemea mwanamke atakavyocheza karata zake
 
Hii haikuwa ndoa ya MKEKA kweli ???.Maana kwa hali ya kawaida ndoa ya umri wa chini ya mwaka kwa watu waliooana kwa mapenzi ya dhati ni vigumu kwa mme/mke kumfanyia mkewe/mumewe mambo hayo uliyoyaeleza. Vinginevyo wewe mama Piga magoti mlilie YESU aliyehai atambadirisha mumeo.

...mnh, wengine huhalalisha tu ndoa na kuanza upya hesabu baada ya kuishi zaidi ya miaka kumi za ukimada..
Ndio hao wanaingia kwenye ndoa na ngeu na makovu ya kale!
Halafu kuna wale waliooana kwa sababu fulan i.e kujifaharisha, majisifu nk ...almuradi si kwa mapenzi ya ndoa.

Vurugu kama hizi ni mambo ya kawaida,...kwani hakuna 'baraka' kwenye ndoa hizo.
 
Kwa nini alikubali Mume wa kutafutiwa? Manake sio rahisi mambo yawe hivyo kwa waliokubaliana kuoana kwa hiari na mapenzi yao wawili... Its too early kwa hayo mambo kutokea!! So huyo mume anamfanyia makusudi maana alikuwa hamtaki alilazimishwa na wazazi kama sikosei. Unless otherwise.
mme huyu hajatafutiwa kakutana nae mwenyewe kwenye pilika za maisha yake na ndo maana wakapanga ndoa baada ya kuridhika
Ndo madhara ya ndoa za kulazimishana hizo, unakutana na mtu anakupa lifti mara namba ya cm, mara urafiki, mara unataka ndoa, humjui wala hakujui, jamani akina dada msijirahisishe hivyo!!! BYTHEWAY, hio Couple they shd understand that, they were meant not to be!!! kama hamjazalishana bado, kimbia mapema sana, nenda kwa pastor mweleze then stand on ur own!
Sina hakika kama ndo walilazimisha hivi kama penzi halipo naona wanaume huwa mnakuwa wagumu sana kutangaza ndoa iweje yeye atangaze ndoa ashindwe kutenda haki za ndoa

Vp mama umetoa U-turn?

No Binamu ni mtu nayemfahamu wala si U-Turn

Siku zote huwa nasema hapa watu wanaolewa au kuoa kwa kutimiza wajibu imradi na yeye aonekane katika jamii kaoa

na kama alijua hilo hivi huyu jamaa siku ya harusi yake wakati anakabidhiwa mke alitoa chozi me nikajua chozi la furaha kumbe alikuwa anajua anachoenda kukitenda katika ndoa yake
We f1 unatoa wapi matatizo ya wenzako? Au unajificha? Mwambie hakuna tena mapenzi hapo. Mara nyingi hali hiyo ikitokea ujue kuna uwongo fulani umefichuka ama ukweli fulani haukubaliki. Huyo dada akapumzike tu kwao

hahaha huyu ni mdada aliomba msaada ndo maana nikaona nimlete kwenye ma great thinkers mabingwa wa kuchakachua miundo mbinu ndani ya ndoa na mahusiano
Hii haikuwa ndoa ya MKEKA kweli ???.Maana kwa hali ya kawaida ndoa ya umri wa chini ya mwaka kwa watu waliooana kwa mapenzi ya dhati ni vigumu kwa mme/mke kumfanyia mkewe/mumewe mambo hayo uliyoyaeleza. Vinginevyo wewe mama Piga magoti mlilie YESU aliyehai atambadirisha mumeo.
Inatia machungu kwa wale waloko kwenye ndoa na wanaotaka kuingia
kwa sasa naweza sema WANANYANYASANA!...until i hear from ''malalamikiwaji''......!

Unajua Retired maj Gen kama tutasikiliza na kujaji ki-upande upande naona kama tutakiuka sheria za JESHI

IMEBAKIA KUSIKIA YULE DADA MMEWE ALISHAMCHARANGA INGAWA HATUOMBEI WANAOSEMA TUVUNJE UKIMYA KWA MAONGEZI HAWAKUKOSEA ILA JAMAA KAMA HALITAKIA KUTOA USHIRIKIANO INAKUWAJE BABA GIFT?
 
yaani ni shughuli kubwa sana, imefika saa 5 mtu hajatuma sms/call unajiuliza mara mbili mbili na kumcal mfululizo kujua kama kapata tatizo, ijekuwa cku 5 nje?
very right my dear...

Haya mambo inabidi tusaidiane aisee... It is our responsibility to support rmarriage but mtenda kosa needs to appreciate thamani ya ndoa

hata kama kuna kuchakachua... It has not to be this way
 
...mkuu pamoja na hukumu unayoelekea kuitoa, bado hii ni; 'her story!'
Tungebahatika kusikia 'His story' ndio tungejua The Truth.

Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?
 
Hii haikuwa ndoa ya MKEKA kweli ???.Maana kwa hali ya kawaida ndoa ya umri wa chini ya mwaka kwa watu waliooana kwa mapenzi ya dhati ni vigumu kwa mme/mke kumfanyia mkewe/mumewe mambo hayo uliyoyaeleza. Vinginevyo wewe mama Piga magoti mlilie YESU aliyehai atambadirisha mumeo.

Hilo goti akalipigie kwao akiwa anapata solace toka kwa wanaompenda (ndugu, jamaa na marafiki). hapo atapata ugonjwa wa moyo bure
 
mkuu hii case haiko rahisi kama ilivyopokelewa na wachangiaji!kuna ''siri nzito sana hapo''......
Nyamayao anajua bana!ha ha ha ha!

Amani kwako mwanajamiione!.....i miss you herein

hii ishu nzito sana, mwanajamiimoja hata mimi nimekosa point zake hapa sijui kapotelea wapi
 
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?

Apewe nyagi au valuu labda jamaa ataweza kuongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom