TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,202
Niliona dada mmoja kila siku alikuwa anapewa mkong'oto na mmewe siku moja akatwangwa mpaka akazimia ..alipokuja kuzinduka na kupata nguvu akarudi kwa wazazi ile kufika anawapa sababu kwa nini yuko pale wakamwambia arudi kwa mmewe wataenda kuongea kama familia ..
ile amerudi kwa mmewe akakaa siku mbili mme akampa kipigo tena..
mama wa watu akaona isiwe tabu na alikuwa ni visenti vyake akatokomea kusikoeleweka na watoto wake wawili mme akahaha bila mafanikio miaka nenda miaka rudi ..kumbe mwana mama baada ya kuondoka alienda kwa shost wake mkoa wa mbali akamweleza yote.shost akampa mtaji mdogo miaka ile mdada akaanza kutinga kwa juhudi na maarifa mpaka akatoka akawa anafata pamba nje ya nchi mwisho wa siku kaolewa huko na watoto anasomesha jamaa nae alishaoa :smile-big:
i dont think was the best way, unless kama wali-divorce, if not hiyo degradation tu ya maana ya ndoa... sijui hali ya watoto ikoje