My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.
umeona eeh?hapo tumeenda rhythm inayoendana kabisa.....HIYO NI ARRANGED MARRIAGE!Kuna kuwa na ''msukumo'' wa k ifamilia zaidi.na katika mazingira ya ndoa kama hiyo kuna makubwa zaidi ya hilo:KWA MFANO:mimi hapa katika maisha yangu NASEMA ULE UKWELI KABISA nimewahi kushuhudia arranged marriage ambayo SIKU YA SENDOFF yule binti alitoroka saluni kwa kusaidiwa na mpambe akaenda geto kwa mshkaji wangu kabisa ambae ndo mtu aliyempenda kwenda ''KUMUAGA''.....
 
Hivi anaweza kuondoka bila kupewa Talaka au Notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:

Hatu ya kwanza ni kuondoka kwake kwa ajili ya usalama wake. Mambo ya papers yatafanyika taratibu..Siyo emergency kama uhai wake.
 
We f1 unatoa wapi matatizo ya wenzako? Au unajificha? Mwambie hakuna tena mapenzi hapo. Mara nyingi hali hiyo ikitokea ujue kuna uwongo fulani umefichuka ama ukweli fulani haukubaliki. Huyo dada akapumzike tu kwao
 
sawa baba G...lakini kama kuna kitu amefanya huyu mkaka anahinda kumpa hata dk 10 za maongezi mke wake waongee? sasa watatatuaje tatizo?

Sasa kama tatizo ni sugu jamaa afanyaje?

Ndo kaamua kufanya kweli sasa anaweza potea hata mwezi mzima
 
yaani ni shughuli kubwa sana, imefika saa 5 mtu hajatuma sms/call unajiuliza mara mbili mbili na kumcal mfululizo kujua kama kapata tatizo, ijekuwa cku 5 nje?

siku 5 atasamehewa tu kama ameletwa mahututi, lakini mzima wa afya! nadhani anaweza pitia polisi ndo wamlete home
 
sasa Luv kama ndo ivo basi hapa kimsingi HAKUNA NDOA>.....hiyo tunaideclare kwamba ni null and void....kama 'amevunja mkataba' so grossly (kulala 'nje' siku tano bila maelezo) nadhani inatosha kumfanya bi dada achape mwendo akaangalie usawa mwingine

by the way quality ya unyumbe ikoje? anafurahia hiyo huduma ama?

My luv....unyumba utaupatia wapi wakati cku 5 mtu kalal nje, akija huko atakuwa hakuguc hata kwa pesa, mie ctak kabia aisee, huyu dada anajitesa sana.
 
Hivi anaweza kuondoka bila kupewa Talaka au Notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:

FL1, hapo unasubiri talaka ya nini? huyo mtu anaonekana hana hata muda wa kuzungumza lolote n huyo dada, ndo watazungumzia talaka?
 
Hii haikuwa ndoa ya MKEKA kweli ???.Maana kwa hali ya kawaida ndoa ya umri wa chini ya mwaka kwa watu waliooana kwa mapenzi ya dhati ni vigumu kwa mme/mke kumfanyia mkewe/mumewe mambo hayo uliyoyaeleza. Vinginevyo wewe mama Piga magoti mlilie YESU aliyehai atambadirisha mumeo.
 
umeona eeh?hapo tumeenda rhythm inayoendana kabisa.....HIYO NI ARRANGED MARRIAGE!Kuna kuwa na ''msukumo'' wa k ifamilia zaidi.na katika mazingira ya ndoa kama hiyo kuna makubwa zaidi ya hilo:KWA MFANO:mimi hapa katika maisha yangu NASEMA ULE UKWELI KABISA nimewahi kushuhudia arranged marriage ambayo SIKU YA SENDOFF yule binti alitoroka saluni kwa kusaidiwa na mpambe akaenda geto kwa mshkaji wangu kabisa ambae ndo mtu aliyempenda kwenda ''KUMUAGA''.....

Vyo vyote vile arranged or accident, inahalalisha kumnyanyasa mke kiasi hicho?
 
Hapa magriit thinkaz mnajadili siku za wagoni kutokurudi nyumbani siyo? Orait...

Mi si mwanachama wa hiyo kitu bana.

Pamoja na kukamata mahela ya ISC, na pamoja na kuwa na umati wa mainfidelees, sijawahi kurudi home zaidi ya saa sita usiku. Imani yangu ni kuwa nikiingia saa sita na dakika moja, tayari nimeshalala nje. Hiyo babu hapendi, na MALARIA HAIKUBALIKI!
 
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise..

...He loves you but not in-love with you (anymore.)
Sijui unamkosea nini huyu mkaka wewe, mwenyewe unazoziita eti 'little rows'...
Kuwa tu muwazi upate ushauri wa busara, otherwise mwamuzi wa mwisho ni wewe...
 
My luv....unyumba utaupatia wapi wakati cku 5 mtu kalal nje, akija huko atakuwa hakuguc hata kwa pesa, mie ctak kabia aisee, huyu dada anajitesa sana.
na huyu mtu hakika tena mi najua ANAUKIMBIA UNYUMBA!ndo maana nasema kuna some more CLARIFICATIONS behind the scene ambayo festilediwani anatakiwa ayadadavue ''IN A DETAILED MANNER'' kwa sababu ninachokiona hapa ni ''kuna matatizo kwa huyo binti mlalamikaji''
 
lakini huyu baba amezidisha, hata kama umepata mwingine kuna kuwa na utu tu. hawa ndio waswahili wanasema kalogwa na aliemloga amesha fariki. natamani awe member huku au mpitaji tu aone ulimwengu unavyomshangaa.

maisha bwana, kuna wakati wewe mwenyewe unajiona mzigo halafu unabebeshwa mzigo tena....kuuana huku.
 
Vyo vyote vile arranged or accident, inahalalisha kumnyanyasa mke kiasi hicho?
kwa sasa naweza sema WANANYANYASANA!...until i hear from ''malalamikiwaji''......!

Unajua Retired maj Gen kama tutasikiliza na kujaji ki-upande upande naona kama tutakiuka sheria za JESHI
 
Vyo vyote vile arranged or accident, inahalalisha kumnyanyasa mke kiasi hicho?

...mkuu pamoja na hukumu unayoelekea kuitoa, bado hii ni; 'her story!'
Tungebahatika kusikia 'His story' ndio tungejua The Truth.
 
Hapa magriit thinkaz mnajadili siku za wagoni kutokurudi nyumbani siyo? Orait...

Mi si mwanachama wa hiyo kitu bana.

Pamoja na kukamata mahela ya ISC, na pamoja na kuwa na umati wa mainfidelees, sijawahi kurudi home zaidi ya saa sita usiku. Imani yangu ni kuwa nikiingia saa sita na dakika moja, tayari nimeshalala nje. Hiyo babu hapendi, na MALARIA HAIKUBALIKI!
ha ha ha!........

sasa mkuu unaiangaliaje hii ndoa mkuu?
 
FL1, hapo unasubiri talaka ya nini? huyo mtu anaonekana hana hata muda wa kuzungumza lolote n huyo dada, ndo watazungumzia talaka?

FP...Kwani suala la talaka nalo linazungumzwa? Mimi nilidhani unawahi kwa pilato na kutoa maelezo ili sheria ichukue nafasi yake na kukurudishia uhuru wako? Hapa itabidi wataalamu waje kusaidia...But it is not an emergency...Kwa sasa dada anatakiwa kuondoka kwenye hilo tanuru la moto.

hivi hilo karatac ni mtaji?

Ndo hata mimi nashangaa...Watu wanaongelea kufa au kupona. Hayo mambo ya legal au illegal yanakujaje? Ni sawa na kwenda kwa advocate kuomba ushauri kama umchinje njemba uliyemkamata anamchakachua mke wako au la!! Action kwanza mengine baadaye!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom