My God, Uwiiiiiiiiii!!! Shiiiiiiit!!.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My God, Uwiiiiiiiiii!!! Shiiiiiiit!!....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kingcobra, Feb 11, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wanaume wengi wanatumia mara kwa mara haya maneno bila kujijua wakati wanapofika mwisho wa safari. Hata ukicheki zile picha za video utasikia maneno hayo. Hivi huwa inaashiria nini?? Au ndiyo kuweweseka huko!?
   
 2. G

  Gathii Senior Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani Wewe mwanaume au mwanamke??ukishafahamu then inakusaidia nini sasa?embu uliza vitu vya maana bwana!
   
 3. P

  Pomole JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chini ya kapeti
   
 4. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kingcobra umesikiaje hizi sauti?...au ndio tumekupoteza?
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Why r u universalizing ur own behaviors?
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  we ni mtaalam wa chabo au????
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  jinsia yako tafadhali.
   
 8. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukitaka hilo jibu jiulize kwanza ni kwanini kila mtoto mchanga hulia ng'aaaa?hiyo ni kawaida ila hao wanaomaliza safari zao hvyo ni kama bado wapo driving schools,waingie kwenye bajaji mpaka wafikie usawa wa VX sio leo.sio tuliopitia kwa nyakanga hatuzungumzii hayo.tunazungumzia mazito zaidi
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mama yahya ni-PM hayo mazito zaidi
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  KWAN ICHO SI CHA MAANA?
  AU KWA VILE WAMETAJWA WANAUME?
  ahh wengne wanalia nyauuu nyau...wengne wanajamba...wengne wanabweka km mbwa...
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  inahusu nin?
  mshaambwa wanaume mnalia ..manapga kelele iyo yatosha
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wewe ni bwabwa? umejuaje?
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kisa wametajwa wanaume...teh teh WANAUME KW AKUPIGA KELELE BWANA..?
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  MBONA MWAMTUS JAMAN?
  KISA KASEMA WANAUME WANAPGA kelele?
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 16. next

  next JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Waungwana wamemuuliza maswali ya msingi, amejuaje wanaume wanaliaje? Lazima awe chakula ya watu huyu, au la mpiga chabo.
   
 17. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Inaonekana una ma uzoefu!!!
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Watu bwana inaonekana wamechoka na Dowans. Sasa wanataka kumpumzika. Mimi nakumbuka stori ya mzee mmoja aliyekuwa analia wakati wa 'chorus'. Sasa wakati fulani walilazimika kulala msibani na mke wake. Usiku mzee kama kawaida yake, akaanza kumwomba mchezo mkewe. Mke kusikia hivyo, akamweleza mzee kwamba hatathubutu kumpatia kwa sababu wataaibika wakati wa chorus kutokana na kelele zake za kulia. Mzee alibembeleza kwa muda mrefu sana mpaka hatiamaye mkewe akaamua kumpatia. Mzee alifurahi sana na kumuahidi mkewe kutopiga kelele hata kidogo. Mchezo ulipoanza mzee akaanza kunong'ona eti unaona mama nanii si nilikwambia leo silii hata kidogo. Aliendelea na tambo zake hizo huku akiendelea kupampu na mke akiendelea kumkatia mauno. Kadri libeneke lilivyozidi kusonga mbele, ndivyo maneno ya 'unaona mke wangu leo silii kabisa' yalivyokuwa yakisikika zaidi. Alipokaribia mwisho, mzee alitoa sauti kali zaidi na kulia mamaaaaa weeeeeeeee!! Watu waliokuwepo msibani walikurupuka na kuanza kujiuliza kulikoni. Mkewe alijitetea kwamba mzee ana tabia ya kuota ndoto mbaya. Mambo hayo!
   
 19. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  amesema huwa wanapiga kelele bila kujijua. Kama ni ke sawa, atakuwa anasikia. Tatizo kama ni me, amejuaje? Atakuwa nanihii!
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Rose mi staki uchokozi,umesahau kuwa mi ni kimyakimya mwanzo mpaka mwisho?
   
Loading...