Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
sio bwabwa bwana hahahhaa kashikwa sehemu mbaya:laugh:
Hahahahaaaa!
Sasa mushikana sehemu mbaya si ndo u-ubwabwa wenyewe wa kujitakia huo.
sio bwabwa bwana hahahhaa kashikwa sehemu mbaya:laugh:
Habari zenu binafsi, napita tu.
Eti wewe unasemaje hapa!
hahahahahah maneno meengi kama kweli vile,kibogoyo...........
Kwa muda huu ambao taifa lina mambo lukuki sio muda wa kujadili maswala binafsi kama hayo.Mimi nadhani tujielekeze zaidi katika maswala mazito kama ya Dowans,mgao wa Umeme,kupanda kwa bei za bidhaa,mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi,Mwenendo wa bunge na mustakabali wa taifa,migomo vyuoni,matokeo mabaya form 4,ugonjwa wa ukimwi na mambo mengine mengi.
We ld upo wapi asee?
Asee savana nasikia zimekumis sana
Hizo mbio zangu si za bure ipo siku nitakukamata tu, na nikikushikaaaaaaaaa..............