Rose mi staki uchokozi,umesahau kuwa mi ni kimyakimya mwanzo mpaka mwisho?
hata kama ukiwa mzee wa kimyakimya lazma kuna mahali ukifika utaunguruma tu :clap2:
Rose mi staki uchokozi,umesahau kuwa mi ni kimyakimya mwanzo mpaka mwisho?
hata kama ukiwa mzee wa kimyakimya lazma kuna mahali ukifika utaunguruma tu :clap2:
Kimya kimya!!!! Siyo rahisi. Pale mwisho lazima mguno utokee au maneno yatoke. Inawezekana ndiyo maana Mwenyezi Mungu alifupisha muda.
Ah wapi ukisikia gombe sugu basi ndo hili................
mhh siamini labda nije kupiga chabo:laugh:
Chabo ya nini mama??? Wewe mwenyewe si unaweza................
Nenda kwenye siasa utakutana na yote uliyoyataja!Kwa muda huu ambao taifa lina mambo lukuki sio muda wa kujadili maswala binafsi kama hayo.Mimi nadhani tujielekeze zaidi katika maswala mazito kama ya Dowans,mgao wa Umeme,kupanda kwa bei za bidhaa,mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi,Mwenendo wa bunge na mustakabali wa taifa,migomo vyuoni,matokeo mabaya form 4,ugonjwa wa ukimwi na mambo mengine mengi.
mnajadili nini hapa...
Duh!!!Kuna mwanamme anasema ooh my god, uwiii..,.. huyo atakuwa bwabwa kabisa.
Kuna mwanamme anasema ooh my god, uwiii..,.. huyo atakuwa bwabwa kabisa.
Pumba na mashudu!
Duh!!!