Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Acheni ushambenga ninyi mapugi..ishu ya kujaribu kuuliwa mtu mnaanza kuja na viroja vyenu vya ajabu.Na wewe mwongo! Hivi kulaza kiti cha mbele na kugeuka ukalaza tumbo huku ukikabiliwa na washambuliaji itakuchukuwa muda gani? Kumbuka gari alimokuwa Lissu, kiti chake kinalazwa Kwa mwendo Wa pole sana. Kwanini mnataka kutuhadaa? Bado in kitendawili kuumia mguu Wa kulia!
Mwambieni Jiwe naye siku zake zaja.