Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Wewe sidhani kama unatumia Ubongo kufikiri ni wazi unatumia sehemu za kutolea uchafu au makalio maana kwa ulichokiandika ni wazi akili hauna kabisa zaidi ya kujivisha ushabiki wa kipumbavu uliokuondolea akili zote, Je ni CHADEMA ndio waliwaondoa askali wote waliokuwa wakilinda siku hiyo? Je zile CCTV ni CHADEMA ndio waliziondoa? na je ni CHADEMA ndio waliokuwa wakiiongoza misafara ya hao waalifu na kuwaruhusu barabarani wapite kwa mwendo mkali unaovunja sheria pasipo kusimamishwa au hata kukamatwa? Je kama ni CHADEMA ni nani aliyekamatwa hadi sasa kuhusika na uhalifu huo? vipi kuhusu matibabu ya Lisu unalizungumziaje hili? na je ulisikia kauli yeyote ya kiongozi wa juu aliyelaani tukio hili na kuhitaji waliohusika wasakwe na kushitakiwa? na je kuna kesi yeyote hadi sasa juu ya tukio hilo?
 
Nliwahi kujiuliza hili swali na mimi sema basi tu vile sio maarufu sikusikika
 
Kuna wakati nafikiri watu wakihamia CCM akili zinaruka....... How comes Mwita akili zimruke ghafla kiasi hiki
Hata slowslow,. Unamkumbuka vizuri kwenye katiba ?
 
Na wewe mwongo! Hivi kulaza kiti cha mbele na kugeuka ukalaza tumbo huku ukikabiliwa na washambuliaji itakuchukuwa muda gani? Kumbuka gari alimokuwa Lissu, kiti chake kinalazwa Kwa mwendo Wa pole sana. Kwanini mnataka kutuhadaa? Bado in kitendawili kuumia mguu Wa kulia!
Aliyepigwa risasi yupo. Unaweza kumuuliza hili swali.
 
Mwita ana mwisho mbaya, Kumkumbusha tu ni kuwa Jpm amebakiza miaka 7 kuna maisha baada yake
 
Back
Top Bottom