Nakwambia, siku ya kufa
MTESI WA LISU , ule mlango wa hukumu utakuwa umefunguliwa. Akifika tu mlangoni, hataruhusuiwa kuingia mpaka Lisu awepo hukumu ya haki Mungu aitoe, ndio kila mmoja aingie kunakostahili specifically kwa issue hii!
Hukumu ya watumishi wasio waaminifu
Wakati huohuo, mapepo zaidi yalianza kutoka ukutani. Lile pepo linaloitwa Kisasi lilisema kwa sauti, “Mfalme Belzebub, tumempata mmojawapo aliye mkubwa ambaye aliendesha vita dhidi ya sisi, ufalme wa giza …” Biblia inasema: “
Maana ingalikuwa heri kwao kama wasingaliijua njia ya haki, kuliko kuijua, kisha kuiacha ile amri takatifu waliyopewa.” (2 Petro 2:21). Kanisa linalomjua Bwana ni lazima liendelee kuwa thabiti na kutambua kuwa Yesu ndiye tumaini PEKEE kwa ajili ya wokovu wa roho zao.
View attachment 827823
Nikiwa ningali pale, lile pepo Kisasi lilikuja karibu yangu na kuniambia, “Rodolfo, nataka unitoe kama ambavyo ulifanya kule duniani.” Lilipokuwa likisema haya tena na tena, lilikuwa linaendelea kunitesa. Na nikaona mapepo mengi yamejipanga tayari kwa ajili ya kunitesa!
Mateso ya kuzimu kwa ajili ya
wachungaji, wahubiri, na wainjilisti na
watawala wanaoacha nguvu na upako wa Mungu ni makali zaidi kuliko yale ya roho zingine kule kuzimu! Uwe thabiti katika mwendo wako na Mungu! Hii ni saa ya Kanisa kuwa imara. Wakati ni sasa. Muda wa kuchezacheza kanisani umeshapita. Ni lazima tuwe na ujasiri na kuzishinda nguvu za kuzimu kwa jina la Yesu – Yeye peke yake ndiye nuru.
Mara kulitokea pepo lililoruka na kutupa mkuki kwangu ambao ulipita kwenye moyo wangu. Nilihisi maumivu yasiyoweza kuelezeka. Pia nilihisi kama vile kulikuwa kunanyesha salfa kule kuzimu. Nilihisi nyama ya mwili wangu inatoka kwenye mifupa na minyoo ikaanza kupekecha mifupa yangu.