Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Waitara sura lenyewe kama kinyeo unadhani akili yake ikoje
 
Hivi kwa nini ushabiki unapofusha thinking capacity na ku trench kabisa uwezo wa kufanya simple analysis kwa kufikiri linearly. What a shame!!! Imhotep kama uliweza gundua washambuliaji walikuwa na bunduki moja tu na kwamba aliyeshambulia alikuwa mmoja tu basi wewe ni mmoja wao.
Nawewe inatakiwa ujipime uwezo wako wa kufikiri.Yani washambuluaji wawili risasi 38 na bado lengo lisitimie?
 
Watanzania km hatuna laana basi kuna stage fulani ya maisha tumeiruka, unamwangalia Mwita unaona umekutana na mtanzania mwenye fikra pevu baada ya muda unageuka kumwangalia tena unakuta naye ni walewale. Halafu kuna mtu anaamini kwamba kwa viongozi hawa tutafikia tanzania ya viwanda, maana hawa wakina mwita ndo wateuliwa watarajiwa wenyewe.
 
Na naamini mwita anahabari nyingi nyeti.Mwita sio fara kwamba anaongea tu asiyoyajua.Aongee ya chacha aongee ya lisu nk wanataka kusema kada mtiifu kama mwita asijue yaliyokuwa nyuma yake?
Mkuu ulishaona wapi mwanaume anamwacha mke halafu amsifu kuwa alikuwa mke mzuri? Waitara ameiacha CDM, usitegemee aongee jambo lolote jema kuhusu CDM. Hata wanaohama CCM, baadhi yao tunawaona wanavyoiponda CCM.
Hata Tumbili naye alikuwa hivyo hivyo, na amepewa ulaji. Waitara naye anakazana, usishangae ukapata uwaziri kamili!!
 
Mkuu ulishaona wapi mwanaume anamwacha mke halafu amsifu kuwa alikuwa mke mzuri? Waitara ameiacha CDM, usitegemee aongee jambo lolote jema kuhusu CDM. Hata wanaohama CCM, baadhi yao tunawaona wanavyoiponda CCM.
Hata Tumbili naye alikuwa hivyo hivyo, na amepewa ulaji. Waitara naye anakazana, usishangae ukapata uwaziri kamili!!
Je anayoyaongea yana ukweli ndani yake?Nyarandu wakati anahama aliongea vitu vingi na bavicha walitumia nguvu kubwa kuhimiza tuangalie je anayoyaongea yana mashiko au lah,tutumie mfumo uleule,je anayoyaongea mwita ni sahihi?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Nakuuliza tena kwa mara nyingine! Una utaalamu wowote na silaha kwa maana ya forensic! Isijekuwa wewe nawe ni musiba fc! Una taaluma yoyote ihusuyo assassination? Naina uhakika huna na hujui unachokijadili zaidi ya kujipa ujudge na kuhukumu tu pasi na kuusikiliza upande mwingine ili ubalance!
Jifunze kutokuhukumu ili uwe na hekima na busara! Inawezekanaje mpange mpango ovu kisha wewe mhusika ujitoe sadaka? Yaani kwa akili uako Lissu anaweza kukubali ujinga wa kiwango unachotaka kutuaminisha? Jiweke kwenye nafasi yake ujipime kama unaweza kufanya upuuzi uliouandika hapa! Naamini shetani haishi tunakoaminishwa bali tunaishi naye na huenda ni wewe!
 
Sasa kwani akisema hayo anaongopa?

Si ilikuwa hivyo au mna jipya la kutaka kutudanganya..

Kazi ya ndani ya chadema hiyo labda hata anahusika kwa jinsi anavyoendelea kupayuka ovyo huko aliko majuu.

Dereva wake anakua yote na bastora aliishika pia.. lazima.. na wakuu wenu wanajua zaidi.. msituletee hya malizaneni huko mshitakiane mfungwe
Km chadema wanahusika na shambulio la lissu na zile camera za cctv nani aliziondoa? Je na wale askari wanaokuwaga lindo kila siku siku walikuwa wapi ?
 
Tarime Mkurungezi anagoma kuapisha mawakala wa Chadema. Inasikitisha uhuni huu unaoendelea kwenye nchi.
Hakuna tena uchaguzi katika nchi hii maana tunaoshindana nao hawawezi tena kushinda kwa wananchi.
 
Kuna wakati nafikiri watu wakihamia CCM akili zinaruka....... How comes Mwita akili zimruke ghafla kiasi hiki
 
Kumbe kuna Wakurya wajinga kiasi hiki
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Cjakuelewa ina maana lisu alipanga hilo tukio ye mwwnyewe au? Nadhani tungeanza uchunguzi wetu na zile cctv camera na wale askari wanaokuwaga lindo kila siku

Tuanzie hapo kwanza!
 
Sasa kwani akisema hayo anaongopa?

Si ilikuwa hivyo au mna jipya la kutaka kutudanganya..

Kazi ya ndani ya chadema hiyo labda hata anahusika kwa jinsi anavyoendelea kupayuka ovyo huko aliko majuu.

Dereva wake anakua yote na bastora aliishika pia.. lazima.. na wakuu wenu wanajua zaidi.. msituletee hya malizaneni huko mshitakiane mfungwe
Hiyo bastola inayobeba risasi 38 huenda anayo dereva wake siyo? Au nawe iliwahi kuiona na kuimiliki? Mbona hamna akili za kudadisi na badala yake mnakurupuka na kuja na majibu ya kichekechea? Hata mkisafije, bado mna damu ya Lissu mikononi mwenu na mtaweweseka sana ila mwisho wa siku mtasimama kwenye majukwaa kuusema ukweli wenu ili mhukumiwe na wananchi kwani mahakimu watawaonea huruma! Jipangeni anarudi na msimkimbie tu!
 
Alafu yumo humu JF huyo kumbafu
6853.gif
 
Nadhani ni vizuri aachane na mambo ya siasa ni vizuri akalime nyanya Ikungi kuna ardhi yenye rutuba au next time anaweza kubite the dust.
Huko nenda wewe ambaye tayari unajua ubora wa ardhi ya Ikungi, kwamba inafaa kwa kilimo cha nyanya. Usimpangie Lissu cha kufanya, uamuzi anao mwenyewe. Hata hivyo hakuna binadamu atakayeishi milele hapa duniani, wote tutarudi tu mavumbini, ni suala la muda tu!
 
Back
Top Bottom