Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Wale wako hospital walojeruhiwa sa zakaria nivibaka ? Mijitu mingine bwana sijui yakizaliwa wapi ? Umaskini nitabu sana .maskini mmelaaniwa kabisa maana huwezi kuishi kwakusema ukweli lazima ujipendekeze ili ule .
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Usijitoe ufahamu, kwa hiyo Chadema ndio waliowandoa walinzi siku hiyo? Na CCTV camera nazo pia ni Chadema waliziiba? Yaani huna hata aibu kuandika takataka kama hii!!!
 
SANA, MNAOJITIA WACHUNGAJI, WATAWALA , WAHUBIRI ETC
Mateso ya kuzimu kwa ajili ya wachungaji, wahubiri, na wainjilisti watawala wanaoacha nguvu na upako wa Mungu ni makali zaidi kuliko yale ya roho zingine kule kuzimu! waliompiga Lisu risasi
kwani mkuu lisu mwema sana kwa MUNGU eeh? (kumweka binadamu mwenzio kuwa unique kwa GOD halaf mwanasiasa ni kukosa ufaham ) cdm mnanini nyie mbona akili zinawaruka kias hicho
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Unaakili ya punda wewe
 
Mi nadhani kama shambulio lilipangwa na CDM basi ingekuwa wakati mwema sana kwa polisi kufanya kazi yao kwa weledi na uaminifu kuwashikisha adabu CDM kwa uhuni na uhalifu ila kitendo cha polisi kufunga jalada la uchunguzi na kushindwa kukamata hata mshukiwa mmoja kinaacha maswali mengi sana kuliko majibu.
 
Jitaid kuforce iingie akilini, mbona wenzio imewaingia akilini?
xIMG-20170907-WA0062-750x375.jpg.pagespeed.ic.kgLQpF3g8i.jpg

Kwa mujibu wa hii picha kama alikuwa amelaza kiti target inatakiwa ife.
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Kwakwer hata angekuwa hana shabaha
 
Ni Wa kumpuuza tu njaa mbaya unafyatuka brain
 
Sasa kwani akisema hayo anaongopa?

Si ilikuwa hivyo au mna jipya la kutaka kutudanganya..

Kazi ya ndani ya chadema hiyo labda hata anahusika kwa jinsi anavyoendelea kupayuka ovyo huko aliko majuu.

Dereva wake anakua yote na bastora aliishika pia.. lazima.. na wakuu wenu wanajua zaidi.. msituletee hya malizaneni huko mshitakiane mfungwe
Kila.za
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Sawa Lumumba kachukue buku 7 yako
 
Issue ni kwanini unaogopwa uchunguz huru, na kwanini kamera itolewe hayo ni maswal ambayo yanatia shaka na pia lile eneo nani analilinda? Acheni majibu mepesi aisee mmelugeuza hili kuwa Taifa la watu wapumbavu kbs, shame on you guys very shame indeed.
Kula like mkuu
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.

Kwa taarifa yako hakuna mahali pana vilaza kama serekalini. kuna majanga zaidi ya hilo la Lissu na bado watu wanepona huku mamia wakiwa wamefariki. Huu utetezi mnaojitahidi kuuleta hapa haupunguzu ukweli wa waliotaka kumuua Lissu. Kinachowalinda ni kuwa ndio washika dola. Huu upotoshaji mnaoleta humu jukwaani ni kama ule mnaosema Mbowe ndio kamuua Wangwe. Ni bahati tu Lissu yuko hai na anawajua waliotaka kumuua; vinginevyo mngepotosha kana mnavyotaka kupotosha sasa.
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi[color].

SMG inayoijua wewe ikoje mkuu? Sasa yale matundu kwenye gari la Lisu walitoboa kwa misumari?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
UnA umbwiriri kwenye ubongo wako.
 
Magazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.
Hivi kwa nini ushabiki unapofusha thinking capacity na ku trench kabisa uwezo wa kufanya simple analysis kwa kufikiri linearly. What a shame!!! Imhotep kama uliweza gundua washambuliaji walikuwa na bunduki moja tu na kwamba aliyeshambulia alikuwa mmoja tu basi wewe ni mmoja wao.
 
Back
Top Bottom