Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Cjakuelewa unamaanisha lisu alipanga hilo tukio ye mwenyewe?

Nadhani uchunguzi ungeanzia kwenye zile cctv ambazo haijulikani nani aliziondoa pamoja na wale askari wanaokuwa lindo

So far kwa mtiririko wa tukio zima lilivyofanyka inaonesha kabisa kulikuwa na mkono wa serikali kwenye hili tukio

Na kuhusu mission kutokamilika hii inatokea hta kwa majasusi wa kiwango cha dunia
Kumbuka hta carlos the jackal kuna mission alishindwa kufanikisha lengo
 
Huko nenda wewe ambaye tayari unajua ubora wa ardhi ya Ikungi, kwamba inafaa kwa kilimo cha nyanya. Usimpangie Lissu cha kufanya, uamuzi anao mwenyewe. Hata hivyo hakuna binadamu atakayeishi milele hapa duniani, wote tutarudi tu mavumbini, ni suala la muda tu!
Sssa unataka akirudi awe ananijificha nyuma ya Fatuma Karume?!..ushauri niliotoa ni mzuri.
 
Cjakuelewa ina maana lisu alipanga hilo tukio ye mwwnyewe au? Nadhani tungeanza uchunguzi wetu na zile cctv camera na wale askari wanaokuwaga lindo kila siku

Tuanzie hapo kwanza!
Mambo ya CCTV cameras and hizo blah blah kwangu hata sizipi nafasi Sana sababu hata sijui kama kwel zilikuwepo maanake anayetuhumu Ni mwanasiasa na tukio Zima liko kisiasa zaidi.
 
Km ni blah blah bila shaka serikali wangekanusha. Kitendo cha kukaa kimya tu! Inaonesha kabisa kuna kitu hakipo sawa!! Na vipi wale askari wanaokuwaga lindo kila siku kwa mh naibu spika walikuwa wapi siku hyo?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Aisee! umemtaja Mungu hapo juu,DAAHH!!!.usiwe mjinga hivo barbarosa,simamia ukweli.
 
Km ni blah blah bila shaka serikali wangekanusha. Kitendo cha kukaa kimya tu! Inaonesha kabisa kuna kitu hakipo sawa!! Na vipi wale askari wanaokuwaga lindo kila siku kwa mh naibu spika walikuwa wapi siku hyo?
Hamtak jesh liendeshwe kisiasa mnataka litoe majib kisiasa utanijib kimanufaa yakisiasa
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Ni kwanini basi nyingi watu wa Lumumba mnajua kuwa ile ilikuwa inside job ya wanaChadema, ni kwanini mmegoma kuleta wachunguzi toka nje??

Si mnahofia kuwa mtaumbuka??

Kama Lissu mwenyewe alivyosema sooner or later, ni lazima wauaji wale watakuwa exposed na dunia itawajua!
 
Kama wanashangaa na wanmtuhumu dereva wake wanashindwa nn kumkamata kwa nn waendelee kulalamika INA maana serikali haina uwezo wa kutulinda RAIA wake kama ilivyoapa? Kwa nini wasijiuzuru? Kwa nini wasiachie ngazi kwa kushindwa kazi walizoomba?
 
Leo tarehe 05/08/2018 nimeshangazwa sana na kusikitishwa na kauli iliyotolewa na aliyekuwa mbunge wa ukonga Bw mwita waitara wakati akihojiwa na Leonard Mapuli mtangazaji wa Startv Tanzania kuwa anashangaa sana kwa mh Lisu kuumia mguu wa kulia ili hali risasi zilitoka upande wa kushoto
Najua Bw waitara ni msomi na anajua ni nini anaongea na ni kwa faida ya nani. Napia anajua kwa undani kabisa ni kwa nini mh Tundu Antiphas Lissu aliumizwa mguu wa kulia ila kwa makusudi anataka kuupotosha umma na kuwafanya watanzania ni wajinga na wavivu wa kufikiri
Mbaya zaidi Mwita Waitara pia kamtuhumu driva wa lisu kuwa ndio muhusika mkuu kwa shambulio LA Lisu

Kwa faida ya wengine ni kwamba baada ya Lisu kuona watu #wasiojulikana wameshuika kwenye gari huku wameshika silaha za moto Lisu alikilaza kiti na KULALA KWA TUMBO na hiyo ndio ikawa salama yake. sasa tumuulize huyu mnafiki mwta waitara aliyejiondoa ufahamu mtu akilala kwa tumbo kwenye kiti cha mbele cha abiria mguu wa kulia utakuwa upande gani?
Itawezekana vipi Lisu aliyeumizwa amtetee adui yake aliyetaka kumuuwa?
Watanzania tuna uchungu mkubwa sana na kusikitishwa na shambulio la lisu anatokea mtu anatoa kauli za kejeli na kebehi kwenye maumivu na mateso ya mtu.. Mtu huyo lazima tutamlaani kwa nguvu zetu zote na kwa uwezo wetu wote
Kuhama chama ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi kwa hilo hatuwezi mlaumu lakini pale anapotumia tamaa zake binafsi kupotosha umma tutasema na kumlaani kwa sauti ya juu
Njaa na tamaa yako Bw Waitara isikufanye ufikirie kwa tumbo badala ya kichwa
Mungu ibariki Tanzania........
Mwita waitara ni Limbukeni mshamba fulani, huo ujinga wake aliouanza Laana ya maumivu toka kwa Lisu vitamnasa tu.kwani kumkejeli mgonjwa ni Laana kubwa
 
Na wewe mwongo! Hivi kulaza kiti cha mbele na kugeuka ukalaza tumbo huku ukikabiliwa na washambuliaji itakuchukuwa muda gani? Kumbuka gari alimokuwa Lissu, kiti chake kinalazwa Kwa mwendo Wa pole sana. Kwanini mnataka kutuhadaa? Bado in kitendawili kuumia mguu Wa kulia!
 
Kama una gari huwezi shangaa... Tafuna gari Laza kiti cha abiria afu kilalie kwa tumbo utaona mguu wa kulia utakuwa upande wa mlango
Simple logic
Hii ya kulaza kiti na kukilalia na tumbo ni maelezo mapya! Mwanzo tuliambiwa Dereva alimvutia chini ya kiti! je sasa hii ya tumbo mbona ngeni!
 
Leo tarehe 05/08/2018 nimeshangazwa sana na kusikitishwa na kauli iliyotolewa na aliyekuwa mbunge wa ukonga Bw mwita waitara wakati akihojiwa na Leonard Mapuli mtangazaji wa Startv Tanzania kuwa anashangaa sana kwa mh Lisu kuumia mguu wa kulia ili hali risasi zilitoka upande wa kushoto
Najua Bw waitara ni msomi na anajua ni nini anaongea na ni kwa faida ya nani. Napia anajua kwa undani kabisa ni kwa nini mh Tundu Antiphas Lissu aliumizwa mguu wa kulia ila kwa makusudi anataka kuupotosha umma na kuwafanya watanzania ni wajinga na wavivu wa kufikiri
Mbaya zaidi Mwita Waitara pia kamtuhumu driva wa lisu kuwa ndio muhusika mkuu kwa shambulio LA Lisu

Kwa faida ya wengine ni kwamba baada ya Lisu kuona watu #wasiojulikana wameshuika kwenye gari huku wameshika silaha za moto Lisu alikilaza kiti na KULALA KWA TUMBO na hiyo ndio ikawa salama yake. sasa tumuulize huyu mnafiki mwta waitara aliyejiondoa ufahamu mtu akilala kwa tumbo kwenye kiti cha mbele cha abiria mguu wa kulia utakuwa upande gani?
Itawezekana vipi Lisu aliyeumizwa amtetee adui yake aliyetaka kumuuwa?
Watanzania tuna uchungu mkubwa sana na kusikitishwa na shambulio la lisu anatokea mtu anatoa kauli za kejeli na kebehi kwenye maumivu na mateso ya mtu.. Mtu huyo lazima tutamlaani kwa nguvu zetu zote na kwa uwezo wetu wote
Kuhama chama ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi kwa hilo hatuwezi mlaumu lakini pale anapotumia tamaa zake binafsi kupotosha umma tutasema na kumlaani kwa sauti ya juu
Njaa na tamaa yako Bw Waitara isikufanye ufikirie kwa tumbo badala ya kichwa
Mungu ibariki Tanzania........
Kweli jamaa jinga sana yani sijui linafikiri kwa kutumia masaburi mana akili ya kawaida huwezi ongea mambo kama hivyo. Anadhalilisha
 
Na samahani Mungu nisamehe tu nimpe kidonge waitara na sura yake Kama anakamuliwa jipu Atakuwa mchawi yule siyo bure
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Pimbi kabisa mandazi ww kumbafuuuuuu!!
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Haha unahofu ya kuufungwa maisha mtoto wako wa chupa atalelewa naalbert bashite na anaweza kumpa hata mtoto wa pili ukiwa jela kama anamvegu vinginevyo kiama kwa kila alishiriki kusimamia kuamua kutuma na kuelekeza risasi lazima musakwe na polisi wa dunia namuonaje mwenye moyo wa plastic
 
Polisi wa Dunia wasake mtu shauri ya Tundu Lisu? Ninyi viumbe huwa mnajua kujidanganya kama watoto, hivi hii Dunia mnafikiri inamjua Tundu Lisu na kwamba wamekosa kazi wamsikilize huyo ,,mtoto”? Endeleeni kuota!
 
Sana tu kuna mtu kakamulia mbegu mara mia kapata mtoto wa chupa atalelewa ha ha siku hazigandi
 
Back
Top Bottom