Unaamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi zaidi ya 30? Hizo risasi zilipiga sehemu gani ya mwili? I mean huo mguu ndo uliochukuwa risasi 30??
Huu ulikuwa mpango wa kuichafua Serikali yetu ambao ulifanywa na chadema wenyewe pmj na Tundu Lisu sasa kuna mahali walikosea stepu mambo ya karma labda, na waliochoma moto ofisi za immma ndo hao hao na walikuwa na lengo hilo hilo!
Hata waliomficha Ben Saanane ndo hao hao chadema kwani kama ni kweli amepotea iweje wawe kimya kiasi hicho? Hata tu Wazazi wake Saanane kimya hakuna chochote, mtu anaweza tu kupotea asionekane halafu wakae kimya?