Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
acha dharau kwa watanzania, msiwafanye wananchi ni wajinga kiasi hicho, muwe na Aibu hata kama mnasaka vyeo jaribu kumuogopa mungu angalau kidogo tu.
 
Jiwe kiukweli namuomba mungu amchukue haraka iwezekanavyo naona madaraka aliyoyapora anatumia kuua watu kiukweli jiwe nakuombea mabaya ktk hii dunia
 
acha dharau kwa watanzania, msiwafanye wananchi ni wajinga kiasi hicho, muwe na Aibu hata kama mnasaka vyeo jaribu kumuogopa mungu angalau kidogo tu.

Unaamini kabisa Tundu Lisu kapigwa zaidi ya risasi 30? Hivi anayewadharau Watanzania na kuwatukana ni yupi kama siyo chadema? Risasi moja inatosha kuuwa au kulemaza hizo 30 zilipigwa na kuingia sehemu gani ya mwili wake?
 
Na yoyote anayeamini Tundu Lisu kapigwa risasi 30 ni mgonjwa wa akili!
nina imani ukipewa ukuu wa wilaya utaacha haya, lakini naomba uwe na huruma kwa wananchi acheni kuwadharau kuwaona hawana Akili hawawezi kufikiri yaani kila mnalotengeneza mnataka waliamini bila kutafakari kwanza, muogopeni Mungu.
 
Ukuu wa wilaya na ukurugenzi, hizi nyadhifa awamu hii zinapatikana kama njugu, kigezo pekee ujue kutupa makombora upinzani
 
Unaamini kabisa Tundu Lisu kapigwa zaidi ya risasi 30? Hivi anayewadharau Watanzania na kuwatukana ni yupi kama siyo chadema? Risasi moja inatosha kuuwa au kulemaza hizo 30 zilipigwa na kuingia sehemu gani ya mwili wake?
aliyetoa idadi ya risasi ni daktari yakupasa uende huko Nairobi kawaulize pia nenda kahesabu matundu ya risasi kwenye gari ya Lisu.
 
Kuna tatizo kubwa la kiuwezo kwa upande wa CCM. Sijui kama linatokana na uwezo mdogo wa wahusika au wahusika wanashindwa kupata cha kuongea wakati wanalazimishwa kuongea. Ukimsikiliza Waitata, ukimsikiliza Mwenyekiti wa UVCCM, wote kwa kauli zao zinaashiria kupungukiwa.
 
Ukuu wa wilaya na ukurugenzi, hizi nyadhifa awamu hii zinapatikana kama njugu, kigezo pekee ujue kutupa makombora upinzani
kigezo kikubwa ni kutengeneza Uzushi, kuwasingizia wapinzani chochote kile bila kujali kuwa watanzania wana Akili nyingi wanajua vingi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom