Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

CCM kipo ndugu miaka 70 mbele lengo letu kuakikisha kinabaki pekee Duniani👈

Yani tangu uhuru mpaka kufikia karne ya 22 bado wananchi wanaimani nacho
tena kubwa sana👈

Ukweli ni CCM tu👈
ndio tumaini la kweli kwa yoyote mwenye nia ya kutafuta fursa za kuwaongoza Watanzania
wenzake✍️
Chawa katika ubora wake.
 
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Hakuna hiyo hatuwezi kuongozwa na wazanzibari kila kukichwa hiini zamu ya mtu kutoka Tanganyika tena Mkristu, jeuri ya akina Mwaipopo ipo ukingoni.
 
Huyo ataishia zenji huko huko labda uchaguzi uwa kama wa mwaka jana ashinde kwa asilimia 97 ilihali watu hawakuenda kutiki
 
Lema 2030-2040
Kwa kweli mimi hamna chama Tanzania kinachonipa imani/ ninachokiamini kabisa na mimi sio mtu ambaye naweza kuweka major reservations aside hata kama najua kweli tulikopo sasa hivi na penyewe ni pabaya.

Nina super high standards of conduct — in terms of jinsi watu wanvyofanya kazi, wanvyoelewana na watu, wanavyobeba shida za wananchi, wanavyoongea na wananchi, wanavyopaswa kulia nao kukiwa na shida, wanavyojaribu kutatua shida za wananchi— naona kama wanasiasa wengi Tanzania husahau kuwa kazi yao inahusuiana kabisa na kujali, kusaidia, na kuinua sisi viumbe vya Mungu sio kukuza majina yao na kutaka kuwa Mungu mwenyewe.

But in truth I don’t know anything about Lema or his policies/ approach to things.
 
Nyerere na upumbavu wake wa uhujumu Uchumi, Mwendazake na sera zake za kufanya matajiri kuwa maskini na wapuuzi wengine
Ukiwatukana wakristo kwa ujumla wao, na wakristo wakawatukana waislam kwa ujumla wao, ipo siku mtapigana kidini hapa Tanganyika,,, au ndiyo yale malipizi na visasi vya 29/10/2025 na Mwaipopo wenu ?
 
Ukiwatukana wakristo kwa ujumla wao, na wakristo wakawatukana waislam kwa ujumla wao, ipo siku mtapigana kidini hapa Tanganyika,,, au ndiyo yale malipizi na visasi vya 29/10/2025 na Mwaipopo wenu ?
Mtajua wenyewe ila Mimi sio mkristo Wala muislamu sifuati dini za wakoloni ila nachosema Uongozi wa Waislamu unazalisha maisha Mazuri watu wanakuwa na pesa ila nyie wengine ni mnaletaga ufukara.
 
Mtajua wenyewe ila Mimi sio mkristo Wala muislamu sifuati dini za wakoloni ila nachosema Uongozi wa Waislamu unazalisha maisha Mazuri watu wanakuwa na pesa ila nyie wengine ni mnaletaga ufukara.
Huwezi kuwatukana Marais wakristo na kuwatukana wakristo wote huku ukiwasifu waislam halafu unakana uislam na udini wako.
 
Back
Top Bottom