Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Lazima kuwe na sababu naamini sequence ya kupokezana kati ya waislamu na wakristo haipo hivyo by coincidence tu.
Ipo Kwa sababu za kijinga na za kipumbavu zinazoangalia upuuzi wa dini badala ya uwezo wa mtu.

Hao ma RC ni pumbavu watakuja kuvuruga maisha ,walau Mkapa kidogo lakini waliosalia wote kuanzia Nyerere walikuwa washenzi tuu.

Utakuja kuona uwekezaji utapungua,mdomo sana na upuuzi mwingine
 
KAMA WEWE SIYO MMOJA WAPO WA RAIA FEKI BASI UNA VISIONI NDOGO SANA KIAKILI ...UPO KWENYE DARAJA LA KUITWA ANITHI WA AKILI... Ni kweli kama nilivyo wahi kusema kuwa genge la Raia feki linaloshika nchi kwa sasa ni rahisi kumtamani mwinyi awe Rais kwa vigezo vifuatavyo ..
1)muislamu
2)mauaji ya Oct 29 ni muhusika pia.
3)Samia ana kikosi cha mauaji kilicho undwa na wazanzibar.
4)ajenda ya kudumisha state capture iliyo fanya na Raia feki waislamu wenye asili za kigeni ili kuendelea kufisidi nchi.
5)kujaribu kufanya Tanganyika kuendelea kuwa koloni la Zanzibar...na kuzidi kuiweka serikali ya Zanzibar chini ya wazanzibari wenye asili ya arabuni hasa Oman.
6)kuzidi kukwamisha haki kwa watanganyika..maana nchi itakuwa bado ipo mikononi mwa maadui wa UZALENDO NA WAZALENDO.
💥 UGUMU WA MWINYI KUWA RAIS BARA NI KWAMBA NILAZIMA NAYE AMWAGE DAMU NYINGI MNO HATA KUATARISHA TAIFA ILI AWEZE KUKALIA HICHO KITI NA LAZIMA AENDELEE KUMWAGA DAMU NYINGI AKIFANIKIWA KUKIKALIA ...HAKUNA NJIA YOYOTE MWINYI ANAWEZA KUWA RAIS BARA BILA YA DAMU NYINGI KUMWAGIKA AU HATA KUANGUKA KWA TAIFA ...NINGUMU SANA BAADA YA SAMIA MZANZIBARI KUJA KUWA RAIS WA BARA AU HATA MAKAMU WA RAIS.
Wanatamani Tanganyika iendelee kuwa koloni la Zanzibar ili looting ya resources za Tanganyika iendelee kutumika kuinufaisha Zanzibar kama inavyofanyika sasa hivi na Watanganyika wazidi kutekwa, kuuawa, kudhalilishwa, kubagazwa na kudhulumiwa huku wakisimangwa kuwa amani ni muhimu kuliko haki.
 
Taka taka ,ccm yote ni garbage .Kama unatumia nguvu kujipachika madarakani wewe ni takataka tu ,hu na legitimacy Kama ilivyo takataka ccm
Ukishakuwa chadema tu, jini cheketu lazima akae kichwani MWAKO😀😀!ili akuchetue ukifanya masihara kwa ghadhabu za cheketu unaweza hata kujipiga kichwa chako kwa nondo au kujilaza kwenye high way!..
 
DEMOKRASIA ISIISHIE KWENYE KUTUCHAGULIA NANI ATUTAWALE, ... KUNA KERO NYINGI MNO ZA KIUCHUMI, KIUTAMADUNI, KISIASA NA KIJAMII ZINAZOSUBIRI KUTATULIWA NA HIYO DEMOKRASIA!
... sisi raia tusio wanasiasa huwa tunaishia kuchagua nani watutawale halafu watawala wanaanza kufanya maamuzi mengi, hasa ya kiuchumi, kiholela sana na kutuachia maumivu mengi sana sisi watawaliwa, ... TUNATAKA DEMOKRASIA ILIANGALIE HILO!
 
Ipo Kwa sababu za kijinga na za kipumbavu zinazoangalia upuuzi wa dini badala ya uwezo wa mtu.

Hao ma RC ni pumbavu watakuja kuvuruga maisha ,walau Mkapa kidogo lakini waliosalia wote kuanzia Nyerere walikuwa washenzi tuu.

Utakuja kuona uwekezaji utapungua,mdomo sana na upuuzi mwingine
Punguza chuki na ukatoliki
Utapigwa miti
 
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Hivi hatuwezi kuwa na mawazo bora na mbadala ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi na kiteknolojia! Isipokuwa kuwaza Mwinyi kuwa Rais, Mwigulu kuwa Rais, Makonda kuwa Rais, Nchimbi kuwa Rais!! Huo Urais wao unatusaidia nini sisi raia wa kawaida?

Kwa nini Wabongo wengi akili zenu zinawaza siasa na uchawa tu! Kwa nini hamuifikirii hii nchi na watu wake?
 
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Mkuu raisi wa 2030, 2030 president , kitu cha kwanza ni kuheshimu mawazo au maoni yako, nakubaliana na wewe kuwa, kufuatia uwepo wa makundi makubwa mawili ya urais wa JMT, 2030, ili CCM ivuke salama, lazima iwachinjinjie baharini mafahali wote wawili kwa kuteua mgombea muafaka ili kuvunja hizo kambi, kitu wewe usichokijua ni mgombea huyo muafaka lazima atoke kwenye kundi la wenye zamu yao!, urais wa JMT ni zamu kwa zamu, rais akiwa wa zamu hii, ajae lazima awe wa zamu ile, hivyo no matter how good mgombea wako is, kama sio zamu yao, forget it!.

Mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako kumhusu Dr. Mwinyi, mawazo yangu kumhusu Mwinyi, niliyatoa katika bandiko la sauti HII , humo nilisema
Wanabodi

namshauri kumuandaa mtu wa kumpokea hiyo 2025, na kwa maoni yangu, Dr. Hussein Mwinyi atatufaa sana, hivyo namuomba Rais Samia amuombe Dr. Hussein Mwinyi, kwa uchaguzi wa urais wa 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Mama Samia

Unaweza kuta aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2025 ni Mama Samia mwenyewe, baada ya kuingia by default kuwa rais wa JMT kwa awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa kuchaguliwa na kura za Watanzania, ila kugombea kwake ni kupitia ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.

Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii nibkufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.

Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Paskali
(Mzee wa Sauti, "The Voices From Within)
Rais wetu wa 2030 tayari yupo na sisi wengine tunamjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! rais wetu wa 2030 ni huyu Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?

P
 
Mkuu raisi wa 2030, 2030 president , kitu cha kwanza ni kuheshimu mawazo au maoni yako, nakubaliana na wewe kuwa, kufuatia uwepo wa makundi makubwa mawili ya urais wa JMT, 2030, ili CCM ivuke salama, lazima iwachinjinjie baharini mafahali wote wawili kwa kuteua mgombea muafaka ili kuvunja hizo kambi, kitu wewe usichokijua ni mgombea huyo muafaka lazima atoke kwenye kundi la wenye zamu yao!, urais wa JMT ni zamu kwa zamu, rais akiwa wa zamu hii, ajae lazima awe wa zamu ile, hivyo no matter how good mgombea wako is, kama sio zamu yao, forget it!.

Mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako kumhusu Dr. Mwinyi, mawazo yangu kumhusu Mwinyi, niliyatoa katika bandiko la sauti HII , humo nilisema

Rais wetu wa 2030 tayari yupo na sisi wengine tunamjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! rais wetu wa 2030 ni huyu Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?

P
Amini hili nakuambia Mwinyi atakuwa Rais wa JMT 2030-2040 kwa sababu alikuwepo kwenye utaratibu kwa muda mrefu sana, na mwaka 2030 Tanzania inahitaji Rais mponya watu mvunja makundi
 
Back
Top Bottom