Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Allah afanye wepesi,asipoutaka yeye basi Dr.mwigulu ashike nafasi hiyo!...
But mwigulu itapendeza zaidi...
------
Wachawi huwa tunaanza kuwanga mapema sana asubuhi,na ndiyo siri ya wachawi kuweza kujua mimba ambayo haijazaliwa hicho kiumbe kitakuwa cha aina gani? AKA mama jusi...😊😊
Hivi mnatumia video gani kutta mtu flani kuwa rais

Ni mahana binafsi au historia ya peformance ya mtu.
 
KAMA WEWE SIYO MMOJA WAPO WA RAIA FEKI BASI UNA VISIONI NDOGO SANA KIAKILI ...UPO KWENYE DARAJA LA KUITWA ANITHI WA AKILI... Ni kweli kama nilivyo wahi kusema kuwa genge la Raia feki linaloshika nchi kwa sasa ni rahisi kumtamani mwinyi awe Rais kwa vigezo vifuatavyo ..
1)muislamu
2)mauaji ya Oct 29 ni muhusika pia.
3)Samia ana kikosi cha mauaji kilicho undwa na wazanzibar.
4)ajenda ya kudumisha state capture iliyo fanya na Raia feki waislamu wenye asili za kigeni ili kuendelea kufisidi nchi.
5)kujaribu kufanya Tanganyika kuendelea kuwa koloni la Zanzibar...na kuzidi kuiweka serikali ya Zanzibar chini ya wazanzibari wenye asili ya arabuni hasa Oman.
6)kuzidi kukwamisha haki kwa watanganyika..maana nchi itakuwa bado ipo mikononi mwa maadui wa UZALENDO NA WAZALENDO.
💥 UGUMU WA MWINYI KUWA RAIS BARA NI KWAMBA NILAZIMA NAYE AMWAGE DAMU NYINGI MNO HATA KUATARISHA TAIFA ILI AWEZE KUKALIA HICHO KITI NA LAZIMA AENDELEE KUMWAGA DAMU NYINGI AKIFANIKIWA KUKIKALIA ...HAKUNA NJIA YOYOTE MWINYI ANAWEZA KUWA RAIS BARA BILA YA DAMU NYINGI KUMWAGIKA AU HATA KUANGUKA KWA TAIFA ...NINGUMU SANA BAADA YA SAMIA MZANZIBARI KUJA KUWA RAIS WA BARA AU HATA MAKAMU WA RAIS.
Unaandika maandishi mengi yaliyojaa ujinga mtupu. Waambie ndugu zako hatuna Rais wa Bara.
 
Mwinyi ni presidential material, rekodi yake safi pamoja na uadilifu vinambeba.

Changamoto yake ni kuwa mtangulizi ni mzanzibari, kuwashawishi wapigakura wa bara kumchagua mzanzibari back to back, tena katikati ya minong'ono ya uzanzibari na utanganyika itakuwa ni mtihani.

Hata hivyo akigombea, naliona jina lake likiingia tatu bora ya NEC. Kama hali ikibaki hivi hivi ilivyo hii ngoma inaweza kuwa ya Dr. Nchimbi au Kasim Majaliwa.
Haiwezi tokea
Zamu yao tayari.. anatakiwa mkristo ss
 
KAMA WEWE SIYO MMOJA WAPO WA RAIA FEKI BASI UNA VISIONI NDOGO SANA KIAKILI ...UPO KWENYE DARAJA LA KUITWA ANITHI WA AKILI... Ni kweli kama nilivyo wahi kusema kuwa genge la Raia feki linaloshika nchi kwa sasa ni rahisi kumtamani mwinyi awe Rais kwa vigezo vifuatavyo ..
1)muislamu
2)mauaji ya Oct 29 ni muhusika pia.
3)Samia ana kikosi cha mauaji kilicho undwa na wazanzibar.
4)ajenda ya kudumisha state capture iliyo fanya na Raia feki waislamu wenye asili za kigeni ili kuendelea kufisidi nchi.
5)kujaribu kufanya Tanganyika kuendelea kuwa koloni la Zanzibar...na kuzidi kuiweka serikali ya Zanzibar chini ya wazanzibari wenye asili ya arabuni hasa Oman.
6)kuzidi kukwamisha haki kwa watanganyika..maana nchi itakuwa bado ipo mikononi mwa maadui wa UZALENDO NA WAZALENDO.
💥 UGUMU WA MWINYI KUWA RAIS BARA NI KWAMBA NILAZIMA NAYE AMWAGE DAMU NYINGI MNO HATA KUATARISHA TAIFA ILI AWEZE KUKALIA HICHO KITI NA LAZIMA AENDELEE KUMWAGA DAMU NYINGI AKIFANIKIWA KUKIKALIA ...HAKUNA NJIA YOYOTE MWINYI ANAWEZA KUWA RAIS BARA BILA YA DAMU NYINGI KUMWAGIKA AU HATA KUANGUKA KWA TAIFA ...NINGUMU SANA BAADA YA SAMIA MZANZIBARI KUJA KUWA RAIS WA BARA AU HATA MAKAMU WA RAIS.
Ni ngumu sana kuwa Rais au hata makamu wa Rais mtu wa kutoka ZnZ ??!
Kwahiyo Muungano unakuwaje Mkuu ??! 😳
 
Back
Top Bottom