Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Taka taka ,ccm yote ni garbage .Kama unatumia nguvu kujipachika madarakani wewe ni takataka tu ,hu na legitimacy Kama ilivyo takataka ccm

Nguvu gani CCM imetumia mbona nyinyi mnadanganywa kiwepesi sana
Ivi kweli kwako unaamini Watanzania wote hawajaenda kupiga kwa kuambiwa na Chadema!!

Chadema iyo kama Watanzania wote wanaipenda na kuwasikiliza wao !!!

mbona kimeshiriki Chaguzi cha 2024 wa Serikali za mitaa ??

Na bado CCM ilishinda kwa %98 wapinzani wote pamoja na iyo Chadema
walipata %2 ya kura🤔

Wananchi gani mliwategemea kutoka 2024 kuja 2025 manake ni mwaja mmoja tu👈

Wasiende kupiga kura ndani jiji la Dar es Sallam kwenyewe watu wamejazana vituoni 👈

mfano Temeke chang,ombe Tandika Buza vingunguti Segerea Tabata Ukonga. mbagala chanika pugu kigambon mwasonga kimbiji kongoe kwenda vikundu nk👈

kote uko hakukuwa na chemba ya fujo kwanzia asubuhi mpaka jioni vituo vimefungwa!!!

Sasa nyinyi mnadai wamejipachika mnatumia ukweli upi?????

Au kwakua kina bwashee mitaani kwenu wengi wamesusa ndio Watanzania wote??
 
Tumekusikia mpambe wa H. Mwinyi kwakuwa na yeye Mtanzania anafaa kutuongoza ingawa hii siyo nchi ya Kifalme.

Kwa sasa Mwinyi hayupo karibu na Team za ushindi za bara hiyo kutokana na kiti alichokalia ingawa anayo fursa ya kujipambanua ikiwa atahitajia nguvu kubwa sana pamoja na ushawishi hii kwa kusambaza Teams kwa Tanganyika.

H. Mwinyi anabebwa na raisi wa sasa Samia Suluhu Hassan kwa kigezo cha usalama wake na kutosumbuliwa iwe kwa maneno au vitendo toka kwa mfumo utakaokuja hivyo anayo turufu ya kumpendekeza H. Mwinyi na ikizingatiwa wazee wa maamuzi/washauri amebakia mmoja tu J. Kikwete hivyo inakuwa room nzuri kwa Mwinyi kutoboa.

2030-2040 vita ya Uraisi ni kubwa sana kwani kuna wahitajia wamezimwa ndoto kwa vyeo vinavyo kinzana na takwa la chama chao(VP & PM) hivyo watakuwa tayari kumwaga mboga ili kukomoana kama vile kwa EL na JK kisha waje wamtoe mtu asiye tegemewa na labda hata kati ya Mawaziri walioachwa awamu hii kina JM, HB,Dr wa Kisarawe n.k.
Hivyo tathmini ya 2030 bado ngumu sana zaidi ya kuumizana sana hapa kati kwa Fitna, hila, uchawa pro maxx ili mradi jina lichomoze kwa wananchi na kupata huruma ya wanaCCM.

Uraisi ni kuwa na mikakati thabiti na kundi zuri la kujitoa kwa kugawana majukumu ili kufikia kiu ya kuwatumikia wananchi na kuifanya Tanzania iliyo bora.
 
Zanzibar iendelee kujengwa at expense ya wabara! Aise aliyeenda Zanzibar siku za karibuni ataona Barabara Kila Kona na project za kutisha!
 
Safari hii Lissu atawatoa kamasi. Mwendo ni ule ule No Reform, No Election.

Hakuna free lunch.

Kutokushiki chaguzi ni mzigo kwenu mnaokipenda icho chama👈

Sababu mnasikia uko Chama hakina pesa👈

kinategemea nyinyi wanachama mkichangie👈

Sababu hakina ruzuku 👈

Kingeshiriki kingepata Wabunge kama kile cha Chauma manake kingepokea pesa ya ruzuku
Kwasasa ni ACT na Chauma ndio wanapokea ruzuku kuendesha vyama vyao👈

Chadema kitawategemea nyinyi Wafuasi wake mkipe pesa ya kujiendesha kinyume chake kinaweza kufa kifo cha kawaida!!

Na msisaau ndio kwanza
hii ni 2026 njaa uko Chadema itakuwepo mpaka 2030 kwaiyo mjipange kutoa michango👈

Kwakuwa ni Mwenyekiti wenu mpya ndio kaja na Akili iyo ya kutokuingia kwenye Uchaguzi🤠

na nyinyi mnampenda Mwenyekiti wenu Lissu👈

basi mtabeba na ilo zigo la kuchangia Chama kwa miaka kadhaa ✍️
 
Ipo Kwa sababu za kijinga na za kipumbavu zinazoangalia upuuzi wa dini badala ya uwezo wa mtu.

Hao ma RC ni pumbavu watakuja kuvuruga maisha ,walau Mkapa kidogo lakini waliosalia wote kuanzia Nyerere walikuwa washenzi tuu.

Utakuja kuona uwekezaji utapungua,mdomo sana na upuuzi mwingine
Aliyepeleka Tanzania uchumi wa kati ni nani?
 
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
KAMA WEWE SIYO MMOJA WAPO WA RAIA FEKI BASI UNA VIDIONI NDOGO SANA KIAKILI ...DARAJA LA KUITWA ANITHI WA AKILI... Nikweli kama nilivyo wahi kusema kuwa genge la raia feki linaloshika nchi kwa sasa ni rahisi kumtamani mwinyi awe Rais kwa vigezo vifuatavyo ..
1)muislamu
2)mauaji ya Oct 29 ni muhusika pia.
3)Samia ana kikosi cha mauaji kilicho undwa na wazanzibar.
4)ajenda ya kudumisha state capture iliyo fanya na Raia feki waislamu wenye asili za kigeni ili kuendelea kufisidi nchi.
5)kujaribu kufanya Tanganyika kuendelea kuwa koloni la Zanzibar...na kuzidi kuiweka serikali ya Zanzibar chini ya wazanzibari wenye asili ya arabuni hasa Oman.
6)kuzidi kukwamisha haki kwa watanganyika..maana nchi itakuwa bado ipo mikononi mwa maadui wa UZALENDO NA WAZALENDO.
💥 UGUMU WA MWINYI KUWA RAIS BARA NI KWAMBA NILAZIMA NAYE AMWAGE DAMU NYINGI MNO HATA KUATARISHA TAIFA ILI AWEZE KUKALIA HICHO KITI NA LAZIMA AENDELEE KUMWAGA DAMU NYINGI AKIFANIKIWA KUKIKALIA ...HAKUNA NJIA YOYOTE MWINYI ANAWEZA KUWA RAIS BARA BILA YA DAMU NYINGI KUMWAGIKA AU HATA KUANGUKA KWA TAIFA ...NINGUMU SANA BAADA YA SAMIA MZANZIBARI KUJA KUWA RAIS WA BARA AU HATA MAKAMU WA RAIS.
Unaandika maandishi mengi yaliyojaa ujinga mtupu. Waambie ndugu zako hatuna Rais wa Bara.
Rais wa Tanzania ndiyo rais wa bara ...panya buku tumia akili..muungano ulisha vunjwa na wazanzibar kwa kujitungia sheria za kinchi kinyume na muungano hivyo rais wa Tanzania ndiyo rais wa bara ..Zanzibar wana rais wao tayari
 
Walioshiriki Uchaguzi sio
wajinga👈

lkn nyinyi mnadanganywa sana
Wenzenu waliwaza mbele baada ya Uchaguzi chama kitajiendesha
vipi👈

Wafuasi sawa wanatupenda lkn si busara kuwabebesha zigo zito la kukiendesha chama kupitia michango yao👈

Manake michango ilikuwepo Chadema tangu zamani lkn michango ile na ya sasa ni
tofauti👈

Ile ilikuwa ikiwa chama kimefanya mkutano sehemu ndio watawachangisha!!!

Lkn sasa michango ni nikama lazima mchange la sivyo!! wanauza Game msije kulalamika na
neno usaliti🤠🤠

Mfano hai unamsaidia mtu pesa ya kula lkn mkionana tu njiani 👈

sasa uyo mtu yupo Hospital kalazwa manake sasa sio ombi tena kupeleka msosi👈❗️

lau utakuta shuka nyeupe
kafunikwa kwaiyo mjitutumue kwasasa kama kweli nyini wafuasi wa Mwenyekiti 😭😭😭
 
... wa kwanza akizaliwa wa kiume, wa pili wa kike, wa tatu wa kiume, wa nne wa kike kwa hiyo tayari ni kanuni wa tano awe wa kiume?
😠
Jinsia ya mtoto hatuchagui mkuu. Mtoto yoyote atakayetoka inshallah. Lakini kwenye uongozi ambao tunaweza kuamua nani aongoze. Hii sequence ya kidini uenda kukawa na sababu nyuma ya pazia
 
Wanatamani Tanganyika iendelee kuwa koloni la Zanzibar ili looting ya resources za Tanganyika iendelee kutumika kuinufaisha Zanzibar kama inavyofanyika sasa hivi na Watanganyika wazidi kutekwa, kuuawa, kudhalilishwa, kubagazwa na kudhulumiwa huku wakisimangwa kuwa amani ni muhimu kuliko haki.
Ndiyo akili zao zinavyo tamani ...ndiyo maana wanafanya bidii kubwa sana ya 👉 KUWAUA NA KUWATEKA NA KUWAFUNGULIA KESI WAZALENDO.... Samia na wahuni wenzie kina Rostam azizi, Kwao uzalendo ni mavi na mzalendo ni adui.
 
Ema atapata uraisi kwa kurithi "de facto", huyu mama kashachoka kimwili na kiakili kwa mauaji ya maelfu ya wanawake na watoto. Kila kukicha anapigwa pini. Hii ngoma haifiki 2030.
 
Futa hii delete kabisa. Tundu mwisho wake ni CDM tu
Hata Marekani walikuwa wakiamini kwamba mtu mweusi asingekuja kuwa rais wa Marekani lakini historia iliandikwa.

Duniani hakuna kisichowezekana na kuna siku muislam atakuja kuwa rais wa Marekani na ataongoza kwa sheria za Marekani na iko siku pia waziri Mkuu wa Uingereza atakuja awe ni muislam na ataongoza kwa sheria za Uingereza.

Kwa Tanzania huu ndio utawala wa mwisho kwa chama cha mapinduzi na baada ya 2030 hicho chama kitakufa kabisa na kitabaki tu kwenye vitabu vya historia kwamba kulikuwa na chama kilichokuwa kikiitwa ccm.
 
Tumekusikia mpambe wa H. Mwinyi kwakuwa na yeye Mtanzania anafaa kutuongoza ingawa hii siyo nchi ya Kifalme.

Kwa sasa Mwinyi hayupo karibu na Team za ushindi za bara hiyo kutokana na kiti alichokalia ingawa anayo fursa ya kujipambanua ikiwa atahitajia nguvu kubwa sana pamoja na ushawishi hii kwa kusambaza Teams kwa Tanganyika.

H. Mwinyi anabebwa na raisi wa sasa Samia Suluhu Hassan kwa kigezo cha usalama wake na kutosumbuliwa iwe kwa maneno au vitendo toka kwa mfumo utakaokuja hivyo anayo turufu ya kumpendekeza H. Mwinyi na ikizingatiwa wazee wa maamuzi/washauri amebakia mmoja tu J. Kikwete hivyo inakuwa room nzuri kwa Mwinyi kutoboa.

2030-2040 vita ya Uraisi ni kubwa sana kwani kuna wahitajia wamezimwa ndoto kwa vyeo vinavyo kinzana na takwa la chama chao(VP & PM) hivyo watakuwa tayari kumwaga mboga ili kukomoana kama vile kwa EL na JK kisha waje wamtoe mtu asiye tegemewa na labda hata kati ya Mawaziri walioachwa awamu hii kina JM, HB,Dr wa Kisarawe n.k.
Hivyo tathmini ya 2030 bado ngumu sana zaidi ya kuumizana sana hapa kati kwa Fitna, hila, uchawa pro maxx ili mradi jina lichomoze kwa wananchi na kupata huruma ya wanaCCM.

Uraisi ni kuwa na mikakati thabiti na kundi zuri la kujitoa kwa kugawana majukumu ili kufikia kiu ya kuwatumikia wananchi na kuifanya Tanzania iliyo bora.

Mkuu umeongea vizuri sana hongera kwa uchambuzi wako wenye kutoa majibu vizuri👈

Kama nimekuelewa naomba niongezee aya 👇

Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kuwa na wasiwasi wowote ikiwa bendera ya CCM itapepea chini ya mgombea wa Dini nyengine
Yoyote👈

Vigezo vikiuu ni uhaminifu Uzalendo unyenyekevu nk. Sio Dini moja kwa moja 👈

Yeye kwake wote sawa tu muhimu matendo ndani ya dkk 90

ktk wale wanaotajwa tajwa yoyote ikitokea akawa ni Rais bado Rais Dk Samia Suluhu Hassan atalala usingizi mzuri tu👈

Sababu ukiwa CCM mfumo wake tofauti na utashi wa walionje ya CCM wakiwemo viongozi wa Dini 👈

Mfumo wa CCM Dini zipo lkn ndani ya CCM wote ni familia moja 👈

ndiomana wafuasi wake pia wapo wa Dini zote kwanzia chini
kabisa✍️
 
Hata Marekani walikuwa wakiamini kwamba mtu mweusi asingekuja kuwa rais wa Marekani lakini historia iliandikwa.

Duniani hakuna kisichowezekana na kuna siku muislam atakuja kuwa rais wa Marekani na ataongoza kwa sheria za Marekani na iko siku pia waziri Mkuu wa Uingereza atakuja awe ni muislam na ataongoza kwa sheria za Uingereza.

Kwa Tanzania huu ndio utawala wa mwisho kwa chama cha mapinduzi na baada ya 2030 hicho chama kitakufa kabisa na itabaki tu kwenye historia kwamba kulikuwa na chama kilichokuwa kikiitwa ccm.

CCM kipo ndugu miaka 70 mbele lengo letu kuakikisha kinabaki pekee Duniani👈

Yani tangu uhuru mpaka kufikia karne ya 22 bado wananchi wanaimani nacho
tena kubwa sana👈

Ukweli ni CCM tu👈
ndio tumaini la kweli kwa yoyote mwenye nia ya kutafuta fursa za kuwaongoza Watanzania
wenzake✍️
 
Hata Marekani walikuwa wakiamini kwamba mtu mweusi asingekuja kuwa rais wa Marekani lakini historia iliandikwa.

Duniani hakuna kisichowezekana na kuna siku muislam atakuja kuwa rais wa Marekani na ataongoza kwa sheria za Marekani na iko siku pia waziri Mkuu wa Uingereza atakuja awe ni muislam na ataongoza kwa sheria za Uingereza.

Kwa Tanzania huu ndio utawala wa mwisho kwa chama cha mapinduzi na baada ya 2030 hicho chama kitakufa kabisa na itabaki tu kwenye historia kwamba kulikuwa na chama kilichokuwa kikiitwa ccm.
Utani tag siku CCM ikitoka madarakani
 
Back
Top Bottom