Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

Mwinyi ni presidential material, rekodi yake safi pamoja na uadilifu vinambeba.

Changamoto yake ni kuwa mtangulizi ni mzanzibari, kuwashawishi wapigakura wa bara kumchagua mzanzibari back to back, tena katikati ya minong'ono ya uzanzibari na utanganyika itakuwa ni mtihani.

Hata hivyo akigombea, naliona jina lake likiingia tatu bora ya NEC. Kama hali ikibaki hivi hivi ilivyo hii ngoma inaweza kuwa ya Dr. Nchimbi au Kasim Majaliwa.
Kwa sasa ccm imefikia mwisho, labda muendeleze umwagaji mkubwa wa damu, lakini sioni 2030 ccm ikitoboa. Tunza hii post.
 
Huwezi kuwatukana Marais wakristo na kuwatukana wakristo wote huku ukiwasifu waislam halafu unakana uislam na udini wako.
Wewe Kwa akili zako dini zenu zinanisaidia nini au zimekusaidia nini wewe zaidi ya kuwa mjinga?

Nawasifu Waislamu Kwa sababu hata wewe unajua kwamba Waislamu wakiongoza maisha yanakuwa Mazuri,Nchi hii matajiri wakubwa ni Waislamu tafsiri yake ni watu wanaopenda nakujali ustawi.
 
Lengo waulize walioweka huo utaratibu. Mimi tangu nipo mdogo naona sequence ipo hivyo.
Hakuna utaratibu wa hivi, nachojua mpango wa Nyerere ilikua akitoka Rais wa Bara anaingia wa zanzibar sema tu ile 2005 ulifanyika uhuni wakamnyima Salim Ahmed Salim ambaye angekua mgombea wa CCM 2005.

Nchi iongozwe kidemokrasia sio kidini, tuache kurukia propaganda za CCM. Mfano 2030 hata kama CCM imeoza kweli umuache Majaliwa umchukue Mwigulu kisa ni "zamu yetu"? Hapana.
 
Kwa sasa ccm imefikia mwisho, labda muendeleze umwagaji mkubwa wa damu, lakini sioni 2030 ccm ikitoboa. Tunza hii post.
Siku zote huwa mnasema hivi hivi. Ilikuwa hivi wakati wa peak ya Mrema, ikawa hivyo wakati wa Lipumba, akaja Mbowe, akaja Slaa, akaja Lowasa na sasa Lisu. Lakini CCM ni ile ile.
 
Siku zote huwa mnasema hivi. Ilikuwa hivi wakati wa peak ya Mrema, ikawa hivyo wakati wa Lipumba, akaja Mbowe, akaja Slaa, akaja Lowasa na sasa Lisu. Lakini CCM ni ile ile.
Hakujawahi kutokea watu kugomea uchaguzi kama trend ya 2020, na 2025 ndio ikawa funga kazi. Ni lini uliona umwagaji mkubwa wa damu wa hivi kwa kugomea ccm kupora chaguzi?
 
Huyo ataishia zenji huko huko labda uchaguzi uwa kama wa mwaka jana ashinde kwa asilimia 97 ilihali watu hawakuenda kutiki

Hukuenda ww👈
sio Watanzania👈
kufanya fujo kimara ndio Mikoa yote Tanzania na Wilaya zake watu wamepiga kura kwa utulivu kabisa kwa %95 kwanzia asubuhi mpaka jion kabisa✍️
 
Hakujawahi kutokea watu kugomea uchaguzi kama trend ya 2020 na 2025 ndio ikawa funga kazi. Ni lini uliona umwagaji mkubwa wa damu wa hivi kwa kugomea ccm kupora chaguzi?

Wamegomea watu ✍️
au niww ndio umegomea na wenzio wachache!! Lkn Watanzania tulienda kupiga kura kwa Amani kabisa👈
 
Attachments

  • 20250902_065338.jpg
    20250902_065338.jpg
    258.8 KB · Views: 8
  • 540506061_758126650526048_7128926836499785916_n (1).jpg
    540506061_758126650526048_7128926836499785916_n (1).jpg
    77.4 KB · Views: 7
  • 1756619637955.png
    1756619637955.png
    1.8 MB · Views: 7
  • 6185816-a2dc5934a318450e6ef20760bc90c4bf.jpg
    6185816-a2dc5934a318450e6ef20760bc90c4bf.jpg
    8 KB · Views: 6
Wewe Kwa akili zako dini zenu zinanisaidia nini au zimekusaidia nini wewe zaidi ya kuwa mjinga?

Nawasifu Waislamu Kwa sababu hata wewe unajua kwamba Waislamu wakiongoza maisha yanakuwa Mazuri,Nchi hii matajiri wakubwa ni Waislamu tafsiri yake ni watu wanaopenda nakujali ustawi.
Unapowasifu waislam pekee bila kukosoa maovu yao ya wazi ni dhahiri una mlengo wa kidini jambo ambako ni hatari kwa mustakabli wa Taifa letu.

Hao waislam wako unaowasifu ,, watendaji wa chini wanaofanikisha hizo sifa ni wa madhehebu yote wakristo na wapagani wamo.

Kama Serikali inayoongozwa na waislam imeuwa maelfu ya Watanganyika na bado unawasifu basi wewe ni Mwaipopo muislam feki.
 
Maovu gani? Kama yapo wewe yakosoe lakini Kwa Mimi mtafutaji napenda Uongozi wao
 
Maovu gani? Kama yapo wewe yakosoe lakini Kwa Mimi mtafutaji napenda Uongozi wao
Mimi husifu sana na hukosoa pia. Hatuongozwi na malaika.
Wewe uliyelewa na sifa pekee hongera.

Katiba yetu ya CCM inasema "nitasema kweli daima, uongo kwangu ni mwiko."
 
Wamegomea watu ✍️
au niww ndio umegomea na wenzio wachache!! Lkn Watanzania tulienda kupiga kura kwa Amani kabisa👈
Hao walikuwa kituo gani cha kupigia kura? Au mnadhani hatujui hiyo nyomi ilikuwa inapatikana vipi, na lengo lake lilikuwa nini? Lete picha ya kituo cha kura na utaje ni wapi chenye watu 30 walioko kwenye mstari wa kura.
 
CCM NI MPANGO WA MUNGU MWENYEWE Chadema imekataliwa kabla ya Uchaguzi wa October 29 ushahidi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 6
  • 6185098-34c7b9f4eee53e3e336141c880c2b9c1.mp4
    7.3 MB
  • 6185091-062d1531af93d2f1b8746f218a1bc157.mp4
    17.7 MB
Hakuna haja kukupa ushahidi wkt ni nchi nzima watu wamepiga kura kwa Amani Mikoa yote na Wilaya zote maeneo yote!! Nchi kubwaa sana lkn kote watu wametumia haki yako ya kikatiba!

Nikuulize ww sehemu zipi unadhani hakukupigwa kura na kwasababu zipi??
 
Back
Top Bottom