Muwe mnauliza basi.Hiyo ndege haijakodiwa,imekuja kama "Scheduled Flight" ambayo safari zake kati ya Dubai to Dsm to Dubai huwa ni kila siku.Hufika saa 0910 alasiri na kuondoka saa 1145 jioni.
Ndege hii ni ya abiria,lkn hubeba pia na mizigo.Na maiti hutambulika kama "mzigo",hivyo huja ikiwa imewekwa kwenye container ndogo kama mizigo mingine.
Huu ndio mwisho wa thamani ya mwili,mwili uliundwa kwa nyama....unaondoka kama abiria unarudi kama mzigo.
Tuyapiganie yale yaliyo ya roho,maana kiimani roho huendelea hata baada ya mwili kutoka.Haya yaliyo ya mwili ni ubatili,tena ubatili mtupu.
I will ba back!!To say Farewell to u!!Roho yako ipate pumziko la Amani,ushiriki kalamu Takatifu na wale wote waliopigana vita vya mwili na roho wangali hai.