Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
RIP Samuel John Sitta, sijamuona John Samuel Malecela leo JNIA[emoji134]
Lete ushahidi...Kwa kusimamia ukweli upi? Hebu peleka unafki mbele huko. Huyu mzee aliwasaliti Watanzania kwa uchu wa kuutaka Urais matokeo yake ccm wakamtosa hadi kwenye uspika.
Nakuonea huruma kwa kuandika vitu as if sio binadamu hebu jaribu kuvaa viatu vya mwanae