Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Muwe mnauliza basi.Hiyo ndege haijakodiwa,imekuja kama "Scheduled Flight" ambayo safari zake kati ya Dubai to Dsm to Dubai huwa ni kila siku.Hufika saa 0910 alasiri na kuondoka saa 1145 jioni.
Ndege hii ni ya abiria,lkn hubeba pia na mizigo.Na maiti hutambulika kama "mzigo",hivyo huja ikiwa imewekwa kwenye container ndogo kama mizigo mingine.

Huu ndio mwisho wa thamani ya mwili,mwili uliundwa kwa nyama....unaondoka kama abiria unarudi kama mzigo.
Tuyapiganie yale yaliyo ya roho,maana kiimani roho huendelea hata baada ya mwili kutoka.Haya yaliyo ya mwili ni ubatili,tena ubatili mtupu.

I will ba back!!To say Farewell to u!!Roho yako ipate pumziko la Amani,ushiriki kalamu Takatifu na wale wote waliopigana vita vya mwili na roho wangali hai.
Amen
 
Yaani ukishakufa bwana, unakuwa kama mzigo huna tofauti na maboksi ya pichu kutoka Dubai, China, Thailand. Hivi Sitta ndo leo wa kuchanganywa na mizigo hovyohovyo? Ama kweli Mungu siyo Sitta!!
kweli mkuu
 
hawakodi wanalipia kama mzigo

Binadamu sie sio kitu, basi tu tunajidai kiburi but we are nothing....imagine leo hii watu wanakuweka kundi moja na mizigo kisa umekua mzoga. Inanikumbusha siku nimepigiwa simu baba amefariki tunaanza kujadili tutauhifadhi mwili vipi..nikasema yaani mzazi wangu leo tunaanza kutafakari namna ya kumhifadhi hadi mazishi yatakapofanyika?

All in all hua naipenda sana hii "...do not take life so seriously, you will never get out of it alive...."
 
fact about life
 
Kumbe kusafirisha maiti kwa ndege unalipia kama mzigo na maiti inawekwa kwenye buti looh hakyamungu sisi kumbe hatuna thamani dwiiiiiii
 
Msafara wa magari 50 kwenye mapokezi ya mwili kesho tena kutakua na kama nagari 200 kwenye kuaga ni kuleta jam tu wangetuma magari matatu yakauchukue mwili airport waupeleke muhimbili au lugalo kesho ndio waende wakaage.
 
Tangulia Mzee wangu Sitta...!!

I will really really miss you..!! Pumzika baba..!!

Uuuuuuwiiii uuuuuuuwiiiiiiiiiii... uuuuuuhwiiiiiii...

Munguuuu eeeeehhh... uuuuuwwiiiiii... daaahh, siamini aiseee.. dunia hii tunapita kweli.. daah..

Back
Top Bottom