AmenAlale pahala anapostahili..amen
Muwe mnauliza basi.Hiyo ndege haijakodiwa,imekuja kama "Scheduled Flight" ambayo safari zake kati ya Dubai to Dsm to Dubai huwa ni kila siku.Hufika saa 0910 alasiri na kuondoka saa 1145 jioni.Gharama ya kukodi huo mdege sijui ni kodi yangu!!!!?
Kwa hiyo ni sahihi kusema mzigo umeingia!!!hawakodi wanalipia kama mzigo
mkuu sina maana mbaya ila unakuwa kama parcel tu ya dhl wanaweka kwenye buti...Kwa hiyo ni sahihi kusema mzigo umeingia!!!
Kweli ukifa unakuwa shetani.
Ndege ya abiria na mizigo.DuhMuwe mnauliza basi.Hiyo ndege haijakodiwa,imekuja kama "Scheduled Flight" ambayo safari zake kati ya Dubai to Dsm to Dubai huwa ni kila siku.Hufika saa 0910 alasiri na kuondoka saa 1145 jioni.
Ndege hii ni ya abiria,lkn hubeba pia na mizigo.Na maiti hutambulika kama "mzigo",hivyo huja ikiwa imewekwa kwenye container ndogo kama mizigo mingine.
Huu ndio mwisho wa thamani ya mwili,mwili uliundwa kwa nyama....unaondoka kama abiria unarudi kama mzigo.
Tuyapiganie yale yaliyo ya roho,maana kiimani roho huendelea hata baada ya mwili kutoka.Haya yaliyo ya mwili ni ubatili,tena ubatili mtupu.
I will ba back!!To say Farewell to u!!Roho yako ipate pumziko la Amani,ushiriki kalamu Takatifu na wale wote waliopigana vita vya mwili na roho wangali hai.
Kura ya maini ya katiba mpya itakapo pingwa na yeye pia atapiga
Asante kwa kunielimisha lakini naona kama unaniletea uchuro kwenye hiyo aya ya mwisho!!!!Muwe mnauliza basi.Hiyo ndege haijakodiwa,imekuja kama "Scheduled Flight" ambayo safari zake kati ya Dubai to Dsm to Dubai huwa ni kila siku.Hufika saa 0910 alasiri na kuondoka saa 1145 jioni.
Ndege hii ni ya abiria,lkn hubeba pia na mizigo.Na maiti hutambulika kama "mzigo",hivyo huja ikiwa imewekwa kwenye container ndogo kama mizigo mingine.
Huu ndio mwisho wa thamani ya mwili,mwili uliundwa kwa nyama....unaondoka kama abiria unarudi kama mzigo.
Tuyapiganie yale yaliyo ya roho,maana kiimani roho huendelea hata baada ya mwili kutoka.Haya yaliyo ya mwili ni ubatili,tena ubatili mtupu.
I will ba back!!To say Farewell to u!!Roho yako ipate pumziko la Amani,ushiriki kalamu Takatifu na wale wote waliopigana vita vya mwili na roho wangali hai.
dah!! flight Cargo miss chagga unadhambi ujuehawakodi wanalipia kama mzigo
Hujaelewa nini mkuu?Kwani unapopanda ndege na kuambiwa mzigo wako usizidi kilo 20,ule mzigo utakaozidi hizo kilo huwa unawekwa wapi?Kwenye ndege kama Emirates inayobeba watu zaidi ya 300,unadhani mabegi yao hayawi mizigo??Hujui kuwa abiria tu wanaweza kuwa na tani 4 za mizigo?Unajua kuwa mizigo mengine ya wafanyabiashara wa Kkoo huja na ndege za abiria?Na kwa ndege kama Emirates mizigo huwa inaingiza pesa nyingi kuliko hata abiria wenyewe!!Ndege ya abiria na mizigo.Duh
nenda kaulize mkuu ukifa huna thamanidah!! flight Cargo miss chagga unadhambi ujue
Wala usidhani nimekujaribu, ni katika kuhabarishanamkuu sina maana mbaya ila unakuwa kama parcel tu ya dhl wanaweka kwenye buti...
sawa mkuu sasa najua umeelewaWala usidhani nimekujaribu, ni katika kuhabarishana