Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Ndege ya Emirates iliyobeba mwili wa marehemu Spika mstaafu, Mhe. Samwel Sitta yawasili uwanja JNIA saa 9:05 alasiri. mchana.


Video




va.jpg




Mke wa Marehemu Mzee Samuel John Sitta, Mama Magret Simwanza Sitta akiwa ameambatana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mara baada ya mwili wa marehemu kutua katika uwanaja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Jijini Dar


v.jpg


Askari wa Vikosi vya Usalama wakiwa wamebeba mwili wa Mzee Samuel John Sitta mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo.
 
Ndege ya Emirates iliyobeba mwili wa marehemu Spika mstaafu, Mhe. Samwel Sitta imewasili uwanja Julius Nyerere International Airport (JNIA) saa 9:05 alasiri. mchana.
 
Gharama ya kukodi huo mdege sijui ni kodi yangu!!!!?
 
Back
Top Bottom