Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

Utajaza wewe, huwe mzoga au mwili.

Ila kwenye cargo airway bill ni mzigo tu ule umetumwa kutoka Ujerumani.

Hakuna Kiumbe aliewahi kufariki akaliliwa na Watu wote na ingekuwa ajabu Kama ingetokea kwa Mzee Sitta.
 
Nakuonea huruma kwa kuandika vitu as if sio binadamu hebu jaribu kuvaa viatu vya mwanae
Acha kuandika upuuzi mwanaye naye ni sehemu tu mashetani, naye ajaribu kuvaa viatu vya Watanzania waliodhurumiwa katiba, na yeye juzi kupachikwa umeya wa Kinondoni kimabavu.

Kama Watanzania tukiweka unafki pembeni vifo vya watu wote wanafki inapaswa kuwa siku ya sherehe na watu kuchoma nyama na kumwambia Asante Mungu.
 
Gharama ya kukodi huo mdege sijui ni kodi yangu!!!!?

Inawezekana hawakukodi ndege nzima. Maiti nyingi huwa zinasafirishwa kwa kuwekwa kwenye boot ya ndege ya kawaida ya abiria. Na abiria wanakuwa hata hawajui kama ndege waliyopanda imebeba maiti pia kwa chini kwenye boot.
 
Acha kuandika upuuzi mwanaye naye ni sehemu tu mashetani, naye ajaribu kuvaa viatu vya Watanzania waliodhurumiwa katiba, na yeye juzi kupachikwa umeya wa Kinondoni kimabavu.

Kama Watanzania tukiweka unafki pembeni vifo vya watu wote wanafki inapaswa kuwa siku ya sherehe na watu kuchoma nyama na kumwambia Asante Mungu.
Ulipaswa uzaliwe nchi ya wala watu,lazima utakuwa nyumbu ww bendera fata upepo.
 
MUNGU ALITOA, AMETWAA! REST IN PEACE MZEE WATU MPENDWA
 
Back
Top Bottom