Mwili haujengwi kwa tofali. Sea never dries

Mwili haujengwi kwa tofali. Sea never dries

😥😥😥😥🙌 Nakusikitikia sana hata mimi mwanzani nilikua na akili kama zako mkuu.

Naandika haya huku machozi yananirenga kiufupi nimeingia sehemu amabyo kutoka inanighalimu sna sana sana inanighalimu mpaka sasa mzazi wangu anajalibu hata kwenda kwa mtaaalamu ila wapi.

Ishu inayotokea ni kwamba 30 day wewe ni kulomba tu non stop 🛑
Hata wewe ungeweza hvi unajua how calories na burn per day....!?

Utapumzika mchana tu akiwa yupo.job ila akird isabia baada ya kula ni kazi kazi mpaka najiulizaga ni jininau nini
Una uhakika huyo ni binaadam? Au kuna viagra vya wanawake anatumia!!! 🤣🤣🤣

30 days haingii P? Au ndio mshangazi hadi P ishakata!?
 
Wakuu kiufupi naungana na wewe ila mwili unajengwa na mental stability..

Angalia mimi hapa nilipo nakula vizuri kwa huyu mama mjengo, lakini sina cha ku offer kwake zaidi ya penzi hvo nakuta nalishwa sana ilavmwili haujia.

Mental sipo sawa maana nawaza kila.akitoka kazini ni kazi kazi mpaka sa sita hapo sa 11 atakuamsha kazi inaanza an unachoka.

Ukisema kula mi nakula sana sana sana.
Ushauri kwa vijana wenzangu.
Tuache kutembea na wamama au watu walituzidi umri kisa wana maokoto.
Deep down kuna mateso makali sana
😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥

Nipo bagamoyo kwa sasa ahsanteni
Vishu Mtata
Mdogo wangu niaje.
 
Back
Top Bottom