Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,857
- 58,655
Usicheke kuna siku nilitoka ila nilijikuta inafika saa tano sielewi yeye ndo ikabidi atume boda ije kunifata..🤣🤣🤣Kmmke
Nafika naulizwa "" Baby shida nini ulitaka uwende wapi we huku mgeni, haya umekula sasa, cheki lips zimekupauka ulikua unavuta au""
Baada ya hapo nikala akasema leo hatufanyi kitu ila naomba ninyooshe mgongo.. end of day ile siku nilikesha nakula tunda yaan mwili unakataa ila jamaa chini hakatai ndo hapo nikasema mybe ni dawa
Nipo bagamoyo
Ndgu zangu Vishu Mtata naomba msaada wako