Hapakosa lako uliuza simu
Hapana vijana wa hovyo walinipotezakosa lako uliuza simu
Nakimbia naenda wapi mkuusi ukimbie kwani umewekewa Gundi.
au utamu wa asali umezidi.
Natamani kutoka leo kesho mkuu leo kesho natamani kutokaNo magic
we sema umenogewa na kitonga+utamu
We vipi? unapewa K kila siku halafu unalalamika, sisi wengine hata akitaka kila saa😡😡Nishakufa hapa bado kuzikwa tu sielewi mkuu daaah 😥😥😥😥
Jamani limbwata lipo
Nitoke niende wapi mkuu..Toka Sasa
Wanga umezidi hapo kijanakula vizuri hata kama life ni ngumu.
View attachment 3596018
unakunywa mlenda nini bro ?Inasikitisha sana
😥😥😥😥🙌 Nakusikitikia sana hata mimi mwanzani nilikua na akili kama zako mkuu.We vipi? unapewa K kila siku halafu unalalamika, sisi wengine hata akitaka kila saa😡😡
Mlenda na maandaziunakunywa mlenda nini bro ?
Walinikutanisha na mshangazi unajua kumsahaulisha mtu tabu za duniaKivipi
wewe na Poor Brain ni watoto wa baba mmoja auWalinikutanisha na mshangazi unajua kumsahaulisha mtu tabu za dunia