MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,372
- 25,653
Masikini Mjusi Sharobalo ulitambaa na kuta ipi ukapotea ndugu yangu ?Hapo umelonga me mwenyewe najutaaaa
Masikini Mjusi Sharobalo ulitambaa na kuta ipi ukapotea ndugu yangu ?Hapo umelonga me mwenyewe najutaaaa
duh nilijua ni dengu!
Hahaha haya ni matuthi ya lejalejaPongezi kwa shemej anakujal ww na dadaako
Me mwenyewe sifahamu nilikuwa nimetulia tu juu ya ukuta nawazoom gafla nikapitiwa na upepo wa kisulisuli ukanitupa kusikojulikanaMasikini Mjusi Sharobalo ulitambaa na kuta ipi ukapotea ndugu yangu ?
ndio tena tamu sana!Dengu nayo ni mboga? 😃
ndio tena tamu sana!
Dogo utakufa vibayaWakuu kiufupi naungana na wewe ila mwili unajengwa na mental stability..
Angalia mimi hapa nilipo nakula vizuri kwa huyu mama mjengo, lakini sina cha ku offer kwake zaidi ya penzi hvo nakuta nalishwa sana ilavmwili haujia.
Mental sipo sawa maana nawaza kila.akitoka kazini ni kazi kazi mpaka sa sita hapo sa 11 atakuamsha kazi inaanza an unachoka.
Ukisema kula mi nakula sana sana sana.
Ushauri kwa vijana wenzangu.
Tuache kutembea na wamama au watu walituzidi umri kisa wana maokoto.
Deep down kuna mateso makali sana
😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Nipo bagamoyo kwa sasa ahsanteni
Vishu Mtata
Ni zaidi, zina ladha ya kipekee, siku moja jaribu kuzipika!mimi nazipenda sana..Najua unga wa dengu 🤦♀️
Ni zina ladha kama ya maharage ama ni kama njegere? Manake mbaazi nazo sijawahi kuonja
Nishakufa hapa bado kuzikwa tu sielewi mkuu daaah 😥😥😥😥Dogo utakufa vibaya
Vumilia Tu hakuna vya bureMental sipo sawa maana nawaza kila.akitoka kazini ni kazi kazi mpaka sa sita hapo sa 11 atakuamsha kazi inaanza an unachoka.
Hapana ni unyanyasaji sasa mkuu just imagine week after week upo ndani as if ww ni nani sijuiVumilia Tu hakuna vya bure
Kaniloga kaniloga hili mbaga anajua mimi nimelogwaaise noma sana
kwamba mshangaz kakupata limbwata🤣