kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Mwigamba alitoa akapigwa matofari kwenye kikao,je hiyo ni demokrasia?
hebu elewa bwn simiyu, mwgamba alikili alifanya tukio lile na tena alisema km amekiuka katiba mbele ya media. hasa ulitaka afanye upotoshaji na ukiukwaji wa kanuni halafu chama kikae kimya, je hiyo ndo demokrasia unayotaka wewe simiyu?