DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Huyu mleta mada Rambirambi za Mwangosi zimemfanya MENTAL.
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu
Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?
Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu
tink big this is not about politics...
....tahadhari
....magamba yanakata roho kuelekea kuzimu
MIMI KAMA kijana mzalendo nawashauri CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CDM) kuwa makini kwani neno demokrasi linakuwa gumu kwa baadhi ya viongozi
1. kuna baadhi ya viongozi wa juu wanaamini wao ndio kila kitu ndani ya chama na wengine inawapasa wawasikilize bila hoja bali kwa hoja ya nguvu
2. mwenyekiti na katibu mkuu wameonekana wanatumia udikteta katika baadhi ya masuala ndani ya chama wao ndio walipaswa kutekeleza wigo mpana wa demokrasia
3.uhuru wa maoni ndani ya chama unatia shaka kubwa kwani mfano mzuri ni suala la mwigamba kutoa maoni yake na baadhi ya watu kumuona msaliti
4. chadema wanapaswa kujua demokrasia sio kupinga kila kitu kama kuna kiongozi au mbunge wa chama kingine amefanya jambo zuri anapaswa kupewa haki yake na kama kakosea anaakosolewa angalia MH shibuda kwakua yupo huru baadhi ya wananchama wanamwita yy ni ccm hii inaonyesha kuwa kuna poor tolerance ndn ya chadema
5. kuhoji suala la uchaguzi ndani ya chama inaonekana ni usaliti je udikteta hauanzi kama hivi angalia dikteta hitler alivokuwa anakubalika tazama baada ya kupata madaraka ilikuaje? huwezi kuwa na uwajibikjai wa kisiasa huku ukiahirisha uchaguzi kila wakati bila sababu za msingi
6.kuhoji kwann katibu mkuu alipwe kodi za wananchi mshahara kama mbunge wakati yy si mbunge je waliwauliza wanachama au referendum kupta uhalali kama huu si ufisadi wa maamuzi wa watu wachache
7.tabia mpya ya kusimamisha viongozi bila kufata katiba ya chama ni hatari kwa mustakabali wa demokrasia
8. kubadili vifungu vya katiba vya ukomo wa uongozi kinyemela huo ni uhaini ndani ya demokrasia
BILA SHAKA CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA MCHAWI NI NANI HAPO NDIPO ANGUKO KUBWA LA CHADEMA LAJA KWANI MTAANZA KUFUKUZANA. TAMBUA CHADEMA HAKIUNDWI NA WATU WA KANDA MOJA TU BALI NCHI NZIMA
...
....TAHADHARI
....Magamba yanakata roho kuelekea kuzimu
.....Gamba kweli kweli!!!!tink big this is not about politics
Kwahiyo ni sahihi mwigamba kupigwa matofari kwenye kikao?We nawe huna jipya.
Kwanza kabisa katiba ya cdm sio ya Tanzania
Pili mwigamba alikosea kuchafua chama huku yy akiwa mjumbe kamati kuu cc.
suala la mshahara wa Dr Slaa limeshatolewa ufafanuzi.
Sidhani kama kuna hoja ya msingi hapa.
Ni kichaa tu ndio ataweza kukaa na kuamini uliyoandika.
Uchaguzi cdm ni suala mtambuka hivyo haliitaji mjadala ktk mitandao ya kijamii,Vikao halali vya chama ndivyo vinavyotoa vote kwa kiongozi wa chama lakini sio Jamiiforums.
inafaa uende jukwaa la vichekesho au ujiunge na the comedy
Mwigamba alitoa akapigwa matofari kwenye kikao,je hiyo ni demokrasia?Ungeweka na ushahidi wa hayo uliyoandika hapa.Otherwise ni hisia tu
-Uchaguzi ndani ya CHADEMA halistahili kuhojiwa maana katiba ipo very clear
-Uhuru wa Mawazo upo na hakuna aliyewahi kuzuiwa kutoa maoni kwenye vikao
-Kubadili vifungu vya katiba kinyemela?Majibu yalishatolewa otherwise weka ushahidi hapa kulinda credibility yako,ya JF na wasomaji wake.Tusonge mbele
MIMI KAMA kijana mzalendo nawashauri CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CDM) kuwa makini kwani neno demokrasi linakuwa gumu kwa baadhi ya viongozi
1. kuna baadhi ya viongozi wa juu wanaamini wao ndio kila kitu ndani ya chama na wengine inawapasa wawasikilize bila hoja bali kwa hoja ya nguvu
2. mwenyekiti na katibu mkuu wameonekana wanatumia udikteta katika baadhi ya masuala ndani ya chama wao ndio walipaswa kutekeleza wigo mpana wa demokrasia
3.uhuru wa maoni ndani ya chama unatia shaka kubwa kwani mfano mzuri ni suala la mwigamba kutoa maoni yake na baadhi ya watu kumuona msaliti
4. chadema wanapaswa kujua demokrasia sio kupinga kila kitu kama kuna kiongozi au mbunge wa chama kingine amefanya jambo zuri anapaswa kupewa haki yake na kama kakosea anaakosolewa angalia MH shibuda kwakua yupo huru baadhi ya wananchama wanamwita yy ni ccm hii inaonyesha kuwa kuna poor tolerance ndn ya chadema
5. kuhoji suala la uchaguzi ndani ya chama inaonekana ni usaliti je udikteta hauanzi kama hivi angalia dikteta hitler alivokuwa anakubalika tazama baada ya kupata madaraka ilikuaje? huwezi kuwa na uwajibikjai wa kisiasa huku ukiahirisha uchaguzi kila wakati bila sababu za msingi
6.kuhoji kwann katibu mkuu alipwe kodi za wananchi mshahara kama mbunge wakati yy si mbunge je waliwauliza wanachama au referendum kupta uhalali kama huu si ufisadi wa maamuzi wa watu wachache
7.tabia mpya ya kusimamisha viongozi bila kufata katiba ya chama ni hatari kwa mustakabali wa demokrasia
8. kubadili vifungu vya katiba vya ukomo wa uongozi kinyemela huo ni uhaini ndani ya demokrasia
BILA SHAKA CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA MCHAWI NI NANI HAPO NDIPO ANGUKO KUBWA LA CHADEMA LAJA KWANI MTAANZA KUFUKUZANA. TAMBUA CHADEMA HAKIUNDWI NA WATU WA KANDA MOJA TU BALI NCHI NZIMA
Ungeweka na ushahidi wa hayo uliyoandika hapa.Otherwise ni hisia tu
-Uchaguzi ndani ya CHADEMA halistahili kuhojiwa maana katiba ipo very clear
-Uhuru wa Mawazo upo na hakuna aliyewahi kuzuiwa kutoa maoni kwenye vikao
-Kubadili vifungu vya katiba kinyemela?Majibu yalishatolewa otherwise weka ushahidi hapa kulinda credibility yako,ya JF na wasomaji wake.Tusonge mbele
Mkuu umesahau ben saanane Vs zitto kabwe.Kwa yanayoendelea sasa, hakika CHADEMA ndo inaelekea kuzimu. Angalia mtifuano huu;
Lema Vs Zitto
Mbowe Vs Zitto
Slaa Vs Zitto
Mwigamba Vs Lema
Hii ni mitifuano ya hivi karibuni ambayo haioneshi mwelekeo chanya wa CHADEMA