Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mambo mengine pasua kichwa ila Lema na nasari wao ni wajumbe tu wa kufikisha ujumbe wa wazee kwa zitto lakini kila mtu anadhambi hakuna aliyemsafi.

Wameandaa mpango wa kumtosa zitto ila nasema tena hawataweza kumwathiri zito bila kuithiri chadema mungu tupe uzima.

Kweli simiyuyetu chadema imekwisha
 
Last edited by a moderator:
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.

Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".

Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.

Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!

Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!

Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?

Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!

Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!

Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?

Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.

Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni

1.Mbowe

2.Dr.Slaa

3.Zitto.

Hao wengine wanatumka tu!

Ni kweli kabisa, unajua Mbowe, Slaa Lema ni CCM damudamu?? Acha tu
 
aisee mawatu humu mna hisia dhaifu sana....
anza na wewe mtoa mada!!
 
Wewe sio chadema. .utakuwa n magamba. Thread yako imekaa kimipasho zaidi..haya wahi lumumba asubuhi ukavute buku saba zako.

Mkuu ukweli ni huu:

Nguvu ya CHADEMA inategeme baadhi ya individuals ndani ya chama chetu.Hata hao wabunge tuliongeza walibebwa na chama kwa mgongo wa majina ya wakongwe wachache wa CHADEMA.Tulipata wabunge wazuri ambao nao teyari wamekitangaza chama kwahiyo kaxi iliyobaki ilikuwa ni kuendelea kukinadi chama ili kupata wanachama na wafuasi zaidi

Narudia tena leo hii Mbowe,Zitto na Slaa wakisambaratika ndio mwisho wa CHADEMA.

CCM hata wakifukuzana bado ina viongozi wengi wenye ushawishi kwa umma licha ya ukweli kuwa ni wa hovyo.

Kwa kifupi ni hivi,wakati CHADEMA inabebwa na individuals ndani ya chama,CCM inabebwa na jina la chama hata kama ni cha hovyo.
 
aisee mawatu humu mna hisia dhaifu sana....
anza na wewe mtoa mada!!
Mkuu tatizo chama chetu bado kinakuwa hivyo misukosuko kama hii haitakiwi.

Kinachonipa shida ni huu ukimya wa viongozi wetu.

Bora tuendelee kusema na kuonya hadharani labda watashituka na kuchukua hatua.

Tukikaa kimya nao wanajisahau

Kazi ya kupigania chama si ya viongozi tu ni pamoja na mimi na wewe.

Kukaa kimya ni hatari zaidi kuliko kukosoa.
 
Wewe si magamba. ..mbona ishu ya upinzani inakuuma sana.povu jiingi na machozi juu...chadema haitakufa..mtangoja sanaaa.
Huwezi kubeba vitu vichafu halafu ukawa msafi we ubebe sumu halafu uwe sawa haiwezekani.
 
CDM mtu akileta ujinga fukuza tuu, hii ni sawa kabisa CCM ndio wanalindana, ukiwa muuza unga poa tu, ukiwa fisadi poa tu, ukiwa mnafiki poa tu, ukiwa mamluki poa tu, ukiwa ndumilakuwili poa tu. lakini CDM hawawezi kuvumilia upuuzi huo waache wafukuze sana tuu, ndio watatia adabu wote wanaoenda CDM kwa mzaha.
 
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.

Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".

Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.

Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!

Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!

Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?

Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!

Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!

Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?

Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.

Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni

1.Mbowe

2.Dr.Slaa

3.Zitto.

Hao wengine wanatumka tu!

Nikutie moyo ndugu tangu..... Soma posts zangu za mwezi wa tatu utagundua nilitahadharisha nini!

Mtakao vumilia mpaka mwisho mta kula mema ya nchi... CDM kufa si kirahisi hivyo, I can bate for this! Ila haya hayana budi kutokea na kuna mtu mmoja analengwa naye atasalitiwa na watu wakaribu sana tena anaye waamini lakini vumbi likitulia ataibuka na nguvu mpya hadi kushangaza wengi wenu....

A change is a must not a choice when I speak its a decree hakuna kitakacho tangua kauli yangu... If you like you can take this otherwise time is my witness!
 
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.

Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".

Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.

Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!

Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!

Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?

Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!

Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!

Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?

Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.

Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni

1.Mbowe

2.Dr.Slaa

3.Zitto.

Hao wengine wanatumka tu!

We nawe tumeshakuzoea.mabandiko yako mengi ni ya kuikashifu chadema tu. RUDI kwenye magamba yenu kama Lukosi. Mara wapenzi wa chama wamepungua jf,mara sijui nini. Unaboa. Hebu ungetathimini kwanza wanaofukuzwa uongozi wameonewa? Watu ni wazembe sijawahi ona. Mfano viongozi wa shinyanga mkoani ni hovyo kweli toka afariki Shelembi. MBOWE kaagiza viitishwe vikao lakini mpaka safari tatu hakuna kitu. Ndio kaja juzi akasema aitishe mwenyewe na hakuna kiongozi wa chama wa mkoa kuhudhuria.YANI inauma mpaka unamhurumia maskini Mbowe. Kule mara nako ilikuwa nafuu ya shinyanga. Nataraji wangelalamika wajumbe wa mahala husika na si wewe unaekuja na id ya kujificha. Njoo kama mimi ueleze wapi Mbowe kakosea.
 
Dr.Slaa na Mbowe ni watu imara sana huwezi ukaleta ujinga wako CDM halafuu ukaendelea kuwasanifu, na huu ndio uimara wa CDM, ndio maana CCM wanataka kumpandikza ZITTO. Anavuta mshiko CCM anakuja kula sahani moja na CDM ANADHANI WENZAKE HAWAJUI, kumbe wanamchora tuu. Za mwizi arobaini.

Dr.Slaa na Mbowe endeleeni kuwa imara, nyie ndio mnauchungu na CDM. Kama CCM wanataka kuwapandikizia Jitu na mnaona kwa macho yenu badili katiba haraka sana ili kudhibiti mamluki kama Zitto.
 
Chadomo inakufa kuanzia kesho ukiamka tu utakuta imeshakufa ZeMarcopolo unasemaje?? Uwongo kwani?? simiyuyetu jamani kazi tumeifanya iko vizuri tumeshauwa chadomo sasa tutulie na Tule nchi na tuwatumikie wananchi kama tunavyofanyaga.
CCM OYEEEEEE!!! Teheeee!!
 
Last edited by a moderator:
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.

Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".

Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.

Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!

Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!

Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?

Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!

Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!

Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?

Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.

Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni

1.Mbowe

2.Dr.Slaa

3.Zitto.

Hao wengine wanatumka tu!
mazishi yatafanyika tengeru kwa mzee mtei.
 
mbowe na slaa wanazeeka vibaya wazima moto kwa petroli ngoja tuone mwisho wake.
 
Dr.Slaa na Mbowe ni watu imara sana huwezi ukaleta ujinga wako CDM halafuu ukaendelea kuwasanifu, na huu ndio uimara wa CDM, ndio maana CCM wanataka kumpandikza ZITTO. Anavuta mshiko CCM anakuja kula sahani moja na CDM ANADHANI WENZAKE HAWAJUI, kumbe wanamchora tuu. Za mwizi arobaini.

Dr.Slaa na Mbowe endeleeni kuwa imara, nyie ndio mnauchungu na CDM. Kama CCM wanataka kuwapandikizia Jitu na mnaona kwa macho yenu badili katiba haraka sana ili kudhibiti mamluki kama Zitto.

Nahisi akili yako na hiyo avatar yako ziko sawa
 
CDM mtu akileta ujinga fukuza tuu, hii ni sawa kabisa CCM ndio wanalindana, ukiwa muuza unga poa tu, ukiwa fisadi poa tu, ukiwa mnafiki poa tu, ukiwa mamluki poa tu, ukiwa ndumilakuwili poa tu. lakini CDM hawawezi kuvumilia upuuzi huo waache wafukuze sana tuu, ndio watatia adabu wote wanaoenda CDM kwa mzaha.

naami kwa uzoefu huo wa kufukuza wanafiki, tokea wale wa BAVICHA na wengine mamluki ktk chama. naamini hata 2015 baada ya ushindi wa CHadema, watafukuzwa wengi sana ktk Serikali maana na wao ni Mafisadi wakubwa japo waajiriwa.
 
Bangi 2pu!!!!... Akiguswa Zitto Ma-CCM ooh CDM inakufa!!! Unafiki M2pu!

Hahaha hahaha zitto ni pandikizi la magamba..ila sijapenda huu utoto wa lema...badala ya kupeleka matatizo kwa vikao halali vya chama yeye analeta huku jamii forums. Hizo ni tabia za watoto wa high school huko Facebook.
 
Mkuu ingawaje leo unajidai mfuasi wa CDM , lakini sisi watumiaji wa JF tunajua msimamo wako. Kwa kifupi chama ni sawa na nyumba. Unaweza kukuta kwenye nyumba wanaishi binadamu wa tabia tofauti,pia huishi wadudu wa kila namna na wanyama mbalimbali kama panya, mijusi na hata nyoka. Kupunguza kero nyumbani ni kuifanyia nyumba yako usafi. Kama hufanyii nyumba yako usafi nyumba yako kila siku itakuwa na shida nyingi. Na hii ndiyo inaenda kuiua CCM kwa kuogopa kuifanyia usafi nyumba yao. Nawapongeza sana CDM kwa utaratibu wao wa kuifanyia nyumba yao usafi. Ninyi jeshi la wadudu mkereke tu lakini mwisho mtaangamia na afya ya CDM itaendelea kuimalika.
 
Back
Top Bottom