Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu

Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?

Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu


F.Y.I Walimwomba kugombea URAIS alikuwa ameridhika na UBUNGE... Sasa kama walimpa Makubaliano fulani ni Juu yao na inakubalika kabisa kisiasa; Kama Mkataba baada ya kutukanana kati ya Barak Obama na Hillary Clinton... Ikamlazimu former President Clinton kwenda kwenye Mikutano ya Obama na kuhutubia -- Na Uliona pay back yake... that's LEGIT in POLITICS...

CCM imebakiza UIMARA wake VIJIJINI tuu... Sasa ukiangalia kila kona kuna KATIBU KATA na MJUMBE wa NYUMBA KUMI KUMI na IKULU NDOGO ambazo ni Rais wa NCHI tu anaruhusiwa kuzitumia wakati wa Campaign...

Na kama tuna chombo IMARA cha UCHAGUZI Rais wa nchi wakati wa UCHAGUZI asingeruhusiwa kutumia MALI za NCHI wakati wa CAMPAIGN ile MIEZI 4 anatumia kila ktu cha kwake kama NCHI ZINGINE kama hapo UK na USA hivyo ndio hapo sasa unajua UGUMU na SHIDA za kuwafikia hao wananchi walio VIJIJINI wasio jua kingine chochote zaidi ya CCM

Kwahiyo kama ingekuwa a fair game Unadhani Rais KIKWETE angeshinda??? pamoja na kutumia NGUVU ZOTE za SERIKALI POLISI; WAANDISHI; WANABLOG; WANAJESHI; IKULU NDOGO; VYAKULA vya SERIKALI; MAGARI YA SERIKALI na GAS

Unadhani Angeshinda? Ushindi walisema ni wa kura laki 200,000? tuu...

Kweli Mnaokula ndani ya CCM mna haki ya kumchukia DR SLAA asiye na MAGARI au BAISKELI... mkamuita majina yoyote ya kumtusi ili tu kunufaisha FIKRA ZENU ZA WOGA kama CCM ikiondoka MADARAKANI...


Our BELOVED PRESIDENT NYERERE alisha wahi kusema KUNGUNI NI ADUI MKUBWA wa SERIKALI YETU... Sasa nyie ndio VIKUNGUNI Mnavyofaidika kwa kunyonya DAMU za WALALA HOI mkiwa NJE ya NCHI...
 
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu

Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?

Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu

Walioichangia TANU walikuwa matajiri? Waliomchangia Obama walikuwa matajiri? You are more idiotic than I thought of you before!
 
Kuna ishara za wazi kabisa kuwa hukitambui vema unachokizungumza. Katiba ya chama iko wazi kabisa juu ya lini uchaguzi unapaswa kufanyika. Chama hakiwezi kufuata maoni ya misukule mnaokesha kukibomoa, chama kinaendeshwa kwa katiba. Katiba hii anayo pia msajili wa vyama vya siasa, na anatarajia chama kifuate taratibu zake ili kutembea ndani ya legal terms. Wanachama wana imani tele na viongozi wao na hawategemei kubadilishwa kifikra na misukule.

Juu ya Auditing, hilo si jipya kama unavyotaka kutuaminisha. Chama kinafahamu umuhimu wa auditing kwa ustawi wake na zaidi sana kwa ustawi wa taifa. Hesabu zote daima ziko wazi na ndio maana hata katika chaguzi, CHADEMA kimeendea kuwa wazi juu ya mapato na matumizi yake. Hili limekuja wakati muafaka kabisa, na baada ya ukaguzi, nadhani utakuwa wa kwanza kutuletea report safi, not because of cooking like what Chama Cha Mapinduzi always does, but because we are worthy it...
 
Hahaha hahaha hahaha kila mwaka mnasema chadema itasambaratika.mtangoja sana lakina chadema ndio kwanza inazidi kupaa...hizi nyakati sio zile za nccr na cuf wa Tanzania wameamka. Ama kweli Christopher lukosi ni janga la magamba.
 
Kufikiria Chadema itasambaratika kwa vihoja vya kitoto namna hii ni sawa na kuota kuwa jua litawaka usiku! Sisi huku kusini kuna maeneo watu wana Uanachama wa chadema wakati hata viongozi wa chadema hawajawahi kufika maeneo husika, ningependa nitoe rahi kwa Viongozi wangu wa Chadema fanyeni haraka leteni m4c ya nguvu maeneo ya kusini, kuna mtaji wa kutosha wa wanachama wanaosubiri kadi na bendera za kutosha! Ccm huku kusini imebaki story tu! Nyie mtabaki kutabiri ujinga tu mkiwa huko uk.
 
Mkuu Chris umeona hii habari kama mpya??!!! Wakuu wako akina Wassira, Mwigulu na wenzake walishauimba wimbo mara kibaao mpaka wanajua wazi umewarudi. Fuatilieni kauli ya mwenyekiti wenu mjiandae kisaikolojia kuondoka madarakani. Hamna jinsi ,kila nafsi itaonja mauti na muda wenu umetimia mpende msipende hakuna kitakachoiokoa CCM 2015 .
 
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu

Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?

Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu

Mwenzako Sokwe alijidanganya mwishowe kaerevuka karudi Gombe kwenye himaya aloandaliwa na Jane Goodall wewe n bado unakomaa!Ila utajitambua tu kwani naona you are stable with but no improvement.
 
Jamani, hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuongelea mambo ya CDM wakati mambo mazito kama RAMBIRAMBI ZA MJANE WETU hazitolewa majibu!!!!??

Jamani more than 5mln tulizochanga ikawasilishwa kwa Mh. 1mln??? HAPANA TUNATAKA MAJIBU YA KUTOSHA KWANZA KTK HILI!!!
 
Hivi nyinyi maCCM ndiyo mmechukua mikoba ya Sheikh Yahya?

Wenzako akina Wasira,Nape na Mwigulu walishatoa utabiri huo kuwa Chadema itakufa very soon,na badala yake CDM ndiyo inazidi kupaa na badala yake Chama cha Magamba,kutokana na kuweweseka kwake ndiyo imekaribia sana kuRIP!
 
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu

Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?



Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu


angalia magazeti ya leo.......jk anasema ni aibu serikali kudaiwa na wakulima....masikini jumla .billion 17....umudesi
 
Kaka, tumia muda wako na elimu yako kutoa michango kama hiyo kwenye vikao vya CCM, usijisahau ulishafukuzwa Chadema ukakimbilia CCM, ijenge CCM

Kama Chadema UK walikutimua kwa kutojitambua, Chadema Tz usijaribu
 
Post kama hizi zinaimrisha chadema badala ya kukiua, endeleeni tafadhali kupost,
 
Walioichangia TANU walikuwa matajiri? Waliomchangia Obama walikuwa matajiri? You are more idiotic than I thought of you before!
mkuu hata ungekuwa wewe saa hizi una kitalu cha bure cha kuvuna mbao, ungeacha kupiga tantarira hapa.usijadiliane sana na wezi.
 
Viongozi wa chadema wezi mkuu kila siku tunasema hapa bavicha wanabisha kama wanaweza kuiba mpaka kanisani watashindwa nini kuiba hela za chama.
 
Mkuu Chriss huwezi kuishi kwa hisia bali iwe kutokana na hali halisi,kama Chadema itasambaratika basi ujue ni mwanzo mwingine wa kuja chama kingine chenye nguvu na haitokuwa mwisho wa upinzani maana kinachoogopwa hapa ni Chadema kutokana na nguvu iliyonayo kisiasa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom