Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,780
NINAONA HERUFI SIONI HOJA. Umekurufupuka mno.
Tuliza Munkari, Hiki ni CHAMA MAKINI, kwako hilo ni Muhimu
lakini kwetu ni KUKIJENGA CHAMA kwanza: Muhimu watu wanaoweza kukijenga chama
chenye Nguvu na ushindani na SI MTIZAMO wa Upande mmoja FINYU.
WASIO na NIA njema na CHADEMA, hiyo ni hoja. lakini wenye mtizamo mrefu
HIYO SI AJENDA YETU YA SASA. Kwanza TUJENGE MIUNDO, FIKRA NA UKOMAVU WA CHAMA chenye ushindani
kwa miaka mingi baadaye.
Sura za watu zitabadilika kulingana na wakati
lakini kwa sasa LENGO LETU ni MOJA. ONDOA MAGAMBA KILA KONA YA NCHI
Weka FIKRA MPYA.
Aluta continuer. VIVA CHADEMA.
viva MBOWE Viva SLAA. 2014 -2015 (KIVULI KITAKUFUNIKA)
Unafaa kujiunga na bendi ya Mzee Yusuph