Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,062
Ben, hata ukiwekewa ushahidi we unabisha tu. sijui ulizaliwa wakati wazazi wako wakibishana kuhusu jambo fulani!
kuhusu Katiba, katiba yenu mmeinajisi vya kutosha na haifuatwi tena. maamuzi yanafanywa na Mbowe pekee na jikoni kwa Dr Slaa
kuhusu uhuru wa mawazo, ndani ya CHADEMA hakuna uhuru wa mawazo na ndo maana watu kama akina Mwigamba wanatumia njia mbadala kufikisha ujumbe kwa wananchi
kuhusu hilo la kubadili vifungu vya katiba kinyemela, majibu yaliyotolewa bado yanautata ya yameacha viongozi wenu wakivurugana.
kuna mdau alikutahadharisha kuwa si kila uzi unaweza kuuchangia na ukiamua kuchangia toa hoja za maana. vinginevyo unamaliza posho bure hapo Kinondoni
Povu linakutoka mpaka unatia huruma...