Ili kuona Chama kinakua ama kina kufa ni kukua kwake CDM INA undergo GRADUALLY CHANGES ..halafu unakitabilia kifo kirahisi hivyo ...halafu kiongozi wa Chama
Chadema inabadilika na kuwa CCM B
Ili kuona Chama kinakua ama kina kufa ni kukua kwake CDM INA undergo GRADUALLY CHANGES ..halafu unakitabilia kifo kirahisi hivyo ...halafu kiongozi wa Chama
Ulichocomment kinashabihiana na jina la avatar yako.Chadema inabadilika na kuwa CCM B
Dalili zote zinaonyesha kuwa mabadiliko mwaka huu hayazuiliki na hivyo kutimia ubabii wa Mwalimu Nyerere kuwa wananchi wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM watalazimika kuyatafuta nje ya CCMtatizo sio CHADEMA kufa jambo la msingi ni kwamba watanzania wanayataka mabadiliko nje ya CCM sasa.
​Tukiweka ushabiki wa vyama pembeni, maamuzi ya Mbowe, kumpa Lowassa kupeperusha bendera ya CHADEMA ngazi ya urais, YANAASHIRIA KABISA KUTIMIA KWA UTABIRI WA COMRED MWIGULU MCHEMBA!