Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Safi sana Mh. kwa kuwapa jibu zuri

Hao walafi wa upinzani wao hawajali wananchi bali matumbo yao tu.
Kama wewe ni Mwanaume rijali halafu mtu anakuzushia wewe ni gay anatokea rafiki yako “kukutetea” kwa kusema tusiinglie maisha binafsi.. Kweli huyo kakutetea au ndio kachochea kuni?!

Alichoandika Mwigulu Nchemba ni ku waelimisha wananchi alichoandika Zitto!!
 
Mwigulu yupo na Zitto yeye amekinyambulisha kipengele cha kati and ili wananchi tujuwe kwamba kiongozi kwa sasa kiwango chake cha kichaa kinahitaji intervention ya baraza la mawaziri aondolewe kabla hajatumbukiza nchi kwenye malanga Mabaya zaidi ukimsoma vizuri
 
Mngekuwa mna-observe humanity, Lissu mngeacha kumtibu?

Yeye angekuwa ana-observe humanity, angeacha Polisi wazuie watu kumuombea Lissu?

Sometimes ni bora kukaa kimya tu.
Mkuu hawa kuna muda huwa wanakatika vichwa, japo Mwigulu ni kama anatumia tafsida hivi, kiupande mwingine naye anamponda mtukufu, mfano mtu akikutukana tusi kubwa afu mimi nikaenda kulitaja hilo tusi hadharani kama ulivyolitamka, by anyway hata kama nilikua na nia ya kukutetea automatically nakua nimekutaka zaidi.
 
.....chadema walimfanyia 'road show' Ndesamburo kama kilimanjaro lager huku makamanda wamekita magwanda !
Yule alikuwa ni kiongozi wa chama Chao!! Hawa ni raia wa vyama mbalimbali pamoja na wasio na vyama! Sasa huyu asiye na chama halafu unaenda kwenye msiba wake na majezi ya chama si ujinga?
 
Yule alikuwa ni kiongozi wa chama Chao!! Hawa ni raia wa vyama mbalimbali pamoja na wasio na vyama! Sasa huyu asiye na chama halafu unaenda kwenye msiba wake na majezi ya chama si ujinga?
Formula ni ile ile, msiba haubagui.....vyama vyote na raia wa kawaida walishiriki msiba wa Ndesapesa. Kila mtu kwenye maisha yake analo lililomgusa kutoka kwa Ndesapesa, akiwa kama Mbunge na mfanya biashara. Ila chadema waligeuza ni 'maonyesho' yao !
 
Mbona hakuyasema haya wakati Msukuma akimtukana lowasa kuwa mgonjwa kwenye majukwaa ambayo mwigulu naye alikuwepo
 
Formula ni ile ile, msiba haubagui.....vyama vyote na raia wa kawaida walishiriki msiba wa Ndesapesa. Kila mtu kwenye maisha yake analo lililomgusa kutoka kwa Ndesapesa, akiwa kama Mbunge na mfanya biashara. Ila chadema waligeuza ni 'maonyesho' yao !
Kuna tofauti mkuu japo unajifanya huioni,akifa kiongozi wa chama anazikwa hadi na bendera ya chama,jezi kitu gani? Kwani hukusikia salamu za rambirambi za msiba wa Ndesamburo zilikuwa zikielekezwa kwa mwenyekiti wa CHAMA chake kwa niaba ya chama? Ila ukisiki salamu za rambirambi zinatumia kwa RAIS wa nchi ujue huo msiba hauna uhusiano wa moja kwamoja na chama,kama msiba huu! Salamu zote kutoka nje ya mipaka zinatumwa kwa rais na si kwa mwenyekiti wa ccm.
 
.....ccm akivaa jezi ya ccm, popote pale inakwaza jambo lolote lisifanyike !? Chadema walikuwa na magwanda yao kwenye msiba wa Capt. Komba. Mbowe anashinda kutwa nzima na magwanda. Dont occupy your head with minor issues !
 
Huyu naye anapaswa kujibiwa hivi;

Ina maana hii ibara kwenye katiba iliwekwa kama nafasi ya watu kumtukana raisi? Watu bwana mnapenda sana kujipendekeza, Tafuteni njia nyingine za kujrudisha katika favor ya raisi, sio kupitia kauli za kina Zitto. Kwanza wewe Mwigulu mlolongo mzima wa jinsi ulivyoondolewa uwaziri unapaswa uwe chanzo cha kutilia shaka uwezo wa raisi kutafakari mambo na kuchukua hatua kwa manufaa ya taifa. Hata wewe mwenyewe ulilalamika.

Kama hii ibara ni sehemu ya katiba, sioni sababu ya kumshambulia Zitto kupendekeza ifanyiwe kazi. Ndio maana ibara inatoa nafasi kwa madaktari kusema kama Raisi yuko fit au hapana. Sio kwamba itatumika pale tu kuna uthibitisho kamili kwamba raisi ana kichaa. Matokeo ya uchunguzi wa madaktari ndio yatadhihirisha. Sasa nyie mnaojipendekeza, tuambieni mnajuaje kama raisi hana mental problems? Maana kuna two sides of the coin - either raisi ana mental problems or not. The only way ni madaktari kuthibitisha kama anavyoshauri Zitto. Sasa tatizo liko wapi? Mmemuuliza Zitto kama ana sababu za msingi kupendekeza hili? Kati ya nyie na Zitto nani anamjua Raisi kwa undani zaidi?

Kwanza raisi mwenyewe amesema ana kichaa, anateua vichaa kama yeye. Sasa huoni kauli kama hizo tayari ni tatizo? Tupo wengi ambao tunadhani kauli au matendo fulani ya raisi yanaweka wasiwasi sana juu ya mental status yake. KUna mengi sana yamesemwa na yanazidi kusemwa. Zitto amefanya kusema peupe kitu ambacho Watanzania wengine wengi wanatilia shaka. Zito anasema achunguzwe na nyie mnakuja juu. Kwa nini hamkuja juu raisi aliposema hadharani ana kichaa?

Kama mnataka basi tembezeni petition tupate Watanzania zaidfi ya 100,000 ambao wanadhani ni vema Raisi afanyiwe uchunguzi wa mental state. Tukikosa sahihi 100,000 basi tuache hili suala. Kuna vitu vya ajabu sana tumesikia juu ya raisi, pamoja na maisha yake ya kifamilia, kwa hiyo hatupaswi kushangaa Zitto kupendekeza hili.
 
Huyu naye anapaswa kujibiwa hivi;

Ina maana hii ibara kwenye katiba iliwekwa kama nafasi ya watu kumtukana raisi? Watu bwana mnapenda sana kujipendekeza, Tafuteni njia nyingine za kujitutumua mjulikane au kuzawadia sio kupitia kauli za kina Zitto.

Kama hii ibara ni sehemu ya katiba, sioni sababu ya kumshambulia Zitto kupendekeza ifanyiwe kazi. Ndio maana ibara inatoa nafasi kwa madaktari kusema kama Raisi yuko fit au hapana. Sio kwamba itatumika pale tu kuna uthibitisho kamili kwamba raisi ana kichaa. Matokeo ya uchunguzi wa madaktari ndio yatadhihirisha. Sasa nyie mnaojipendekeza, tuambieni mnajuaje kama raisi hana mental problems? Maana kuna two sides of the coin - either raisi ana mental problems or not. The only way ni madaktari kuthibitisha kama anavyoshauri Zitto. Sasa tatizo liko wapi? Mmemuuliza Zitto kama ana sababu za msingi kupendekeza hili? Kati ya nyie na Zitto nani anamjua Raisi kwa undani zaidi?

Kwanza raisi mwenyewe amesema ana kichaa, anateua vichaa kama yeye. Sasa huoni kauli kama hizo tayari ni tatizo? Tupo wengi ambao tunadhani kauli au matendo fulani ya raisi yanaweka wasiwasi sana juu ya mental status yake. Zitto amefanya kusema peupe kitu ambacho Watanzania wengine wengi wanatilia shaka. Zito anasema achunguzwe na nyie mnakuja juu. Kwa nini hamkuja juu raisi aliposema hadharani ana kichaa?

Kama mnataka basi tembezeni petition tupate Watanzania zaidfi ya 100,000 ambao wanadhani ni vema Raisi afanyiwe uchunguzi wa mental state. Tukikosa sahihi 100,000 basi tuache hili suala. Kuna vitu vya ajabu sana tumesikia juu ya raisi, pamoja na maisha yake ya kifamilia, kwa hiyo hatupaswi kushangaa Zitto kupendekeza hili.
hebu tukumbusheni mliokuwa karibu nae enzi za utoto wake JIWE akili zake zilikuwaje
 
Back
Top Bottom