Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Wana siasa wanakera sana. Kama wana siasa wangekuwa msaada kwenye nchi hii mambo yasingekuwa hivi yalivyo. Zitto anapambana kweli aonekane tofauti. Anafikiri tumesahau alivyokuwa Jana....anafikiri amejificha hakuna anayeona.
Siamini kabisa katika kelele za wana siasa hawa. Bora kila mtu apambane akae sawa ili tuitengeneze wana siasa bora. Hawa waliopo idadi kubwa ni njaa tu zinawasumbua
 
Jamaa umekula lakini? Mbona unaongea mikorogo tu hapa? Mara zitto, mara mimi, mara Musiba, mara uchawi. Zitto katumia vifungu vya katiba kuelezea aliyoyaelezea, wewe unaleta blah blah...zitto kaanzisha vita yake, na wewe anzisha vita naye kwa vifungu vinavyo ku support. Usipoteze muda kujaribu kuielewa au kuielezea akili yangu, maana hautaiweza mimi ni mjinga fulani hivi ninayejifunza kila siku.
Huna ulichojibu, endelea na ujinga wako. Wewe na Zitto wako "" MTAPATA TAABU SANA
 
mkuu fanya kufatilia muundo wa chama cha malema (EFF) alafu rudi usome ulicho andika uone kama uko sahihi ama una haki ya kupuuzwa
Malema ni upuuzi kama mpuuzi yeyote, Mlema ni mjinga Kama Savimbi, ni vocal na point less man, ndiyo maana alijaribu kupambana na ANC lakini alichofanikiwa, kabaki na ki- SACCOS chake na ANC ilichifanya ni kumbadirisha Zuma na kumleta Mwa ANC Mwingine na siyo kutoka kwenye Uchuro wa Malena, hata wewe na huyo Chokora wako Zitto na Mbowe wakajidai eti huko Buyungu wanaungana, waulize kile kipigo cha Mbwa koko walichokipata, kamwe hawatasahau. Mtapata Taabu sana.
 
Malema ni upuuzi kama mpuuzi yeyote, Mlema ni mjinga Kama Savimbi, ni vocal na point less man, ndiyo maana alijaribu kupambana na ANC lakini alichofanikiwa, kabaki na ki- SACCOS chake na ANC ilichifanya ni kumbadirisha Zuma na kumleta Mwa ANC Mwingine na siyo kutoka kwenye Uchuro wa Malena, hata wewe na huyo Chokora wako Zitto na Mbowe wakajidai eti huko Buyungu wanaungana, waulizte kile kipigo cha Mbwa koko walichokipata, kamwe hawatasahau. Mtapata Taabu sana.
hahaahaha mkuu mnachekesha sana mmetaka chama chenye muundo wa tofauti nimekupa

unakuja na kejeli malema mpuuzi huku akiwa chama cha 2 kwa upinzani south

wewe na akili zako kuliko malema na mimi ila unashabikia ccm hahaahha
 
Mwigulu Nchemba anasikitisha sana,

Kwa hakika amepotea njia, na nibora angejikalia kimya, kwanini kaamua kulichukua hili swala very personal. Tena kwa hasira na jazba.

Mwigulu Nchemba angetujibu wananchi hili swali letu kwanza, ambalo hatujapata jibu la kuridhisha mpaka sasa, ili tupate faraja. Ndio tungemuelewa.

SWALI: Lawama ya hicho kivuko kuua watu apewe nani???? Kama kuna mbunge wa upinzani aliomba msaada wa hicho kivuko, na akatoa tahadhari, ila watu walidharau au pengine walikaidia kwa makusudi kununua kivuko kipya mpaka yametokea.



Kama mmeona kumshushia lawama Zitto Kabwe ndo kutusahaulisha mlivyo ombwa kivuko na mkaka kaidi maombi. Mmefeli.

NB: Zitto kama vipi nenda kwa babu ujiji akatesti mitambo. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Huna ulichojibu, endelea na ujinga wako. Wewe na Zitto wako "" MTAPATA TAABU SANA
Uwe na akili bwege wewe. Unapoamua kujadili basi anza kwa kuweka misingo ya kuujengea hoja yako. Unabahati hata nimepoteza muda wangu kujibizana na wewe maana nilidhani ni mtu makini labda tunatofautiana mitazamo tu kumbe sivyo.
Baada ya reply hii sitapoteza muda mwingine kujibizana na wewe.
Onyo: Uwe na nidhamu unapojadiliana humu.
 
Mbali kwenye nini? Hivi kati ya hawa wawili nani ana jina kubwa na la heshima kwa jamii ya kitaifa na kimataifa?huyo nchemba kaanza kujulikana baada ya ulipuzi wa mabomu pale arusha (soweto)wakati Zitto anajulikana toka kitambo kwa kupigana rasilimali za taifa,hence huyo nchemba hana heshima yoyote kwa jamii zaidi ya kumbukumbu ya kutisha kama si ya kuogofya ya umwagikaji wa damu za watu wasio na hatia!

MWIGULU NI MUUAJI TU HANA JIPYA!
 
Madilu bwana,baada ya kutumbuliwa na huyo anaemkingia kifua ndipo kajua kuna moral authority ya kuobserve humanity,na alipokuja kuharibu ni pale aliposema hataki mwingune atendewe kitu ambacho hata yeye hapendi kutendewa,je wale alokuwa anadai wanajiteka na kujiua ili kukwepa majukumu ya fmilia wao wanajisikiaje kwa sas,??ingekuwa yeye ndo anaambiwa hivyo angejisikiaje?kuna mambo kibao maovu kayafanya,watu wamekufa vituoni na kupigwa na askari lakini alikuwa kimya,leo ndo anajua kustress kuhusu kuobserve humanity??unafiki wa hali ya juu kama huuni mojawapo ya sababu ya kutokuendelea kwa taifa.
 
Nadhani Zitto anajaribu kutusaidia watanzania.
Kua na Rais KICHAA yataka moyo.
 
Mimi sijaelewa naomba nifahamishwe. Afya na nani inayosemwa hapo kuwa hako vizuri? Ya Zitto au ya Mwigulu?
 
Back
Top Bottom