Lunguja Sano
Member
- Jul 29, 2018
- 33
- 22
Mungu anakuona kabisabinafsi sijaguswa kabisa na msiba huu.na wala siombolezi choote
Mungu anakuona kabisabinafsi sijaguswa kabisa na msiba huu.na wala siombolezi choote
Mimi naamini wewe akili yako huenda ina Uvimbe, huwezi kumtetea Zitto kwa lolote hususan kwenye tweet yake hiyo ambayo siyo tu kwamba inamdhalilisha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, nidhahili pia wewe unayo shida kichwani mwako, yaani wewe eti unakata Zitto tusiseme kwamba maoni yake ni Ovu, kwa sababu ipi tusiseme??? Akili yako INA Uvimbe, tunajua Zitto ni mgonjwa wa Kisaikolojia ndiyo maana ana cheo ambacho hakuna Chama cha Siasa kokote Duniani chenye cheo cha "Mkuu wa Chama" na wakati huo huo kuna cheo cha Mwenyekiti kwenye Chama hicho hicho, na majukumu yakawa ni Yale Yale , kwa hakika huo ni upuuzi mtupu. Zitto ni kichaa, ndiyo maana anajitapa kwa Uchawi kumtishia msiba, nakumtaka eti amuombe radhi ndani ya siku 7, yako wapi leo ni siku ya 16, Musiba anadunda. Hata wewe jaribu kutishia pamoja na Zitto wako, mtaishia kukimbiwa na kubaki Chama cha kwenye flash. Jibu maswali ya msingi mawili tu, Mh.Rais anatatizo gani la kimwili ?? Mh. Rais ana tatizo gani la kiakili?? Mambo ambayo yatapelekea baraza la Mawaziri kumtoa kwa kutumia Katiba? Ukishindwa kujibu nyamaza kimya wewe mwen mwen uHivi wewe unajitambua kweli? Au una comment ili mradi na wewe uonekane? Siku nyingine unaponi quote hakikisha umeelewa siyo unadandia dandia tu. Au unadhani kila mmoja humu ni shabiki wa kufuata vyama na upepo?
Haya rudi kwenye malumbano ya Zitto na Mwigulu ambayo ndiyo msingi wa thread hii halafu chagua unapotaka kuunga mkono au kupinga...ebwoo.
Halafu unapoliita wazo la zitto ni ovu wakati mwenzako amenukuu kifungu cha katiba, je wewe unayeliita ovu unatumia kifungu kipi cha katiba?
ingekuwa kosa basi msajili wa chama angesha tenda kazi yake,shida ww la 3c unajua tu kukiwa na mwenyekiti, makamu na katibu bas ndo muundo sahihiAta yeye zitto ni mgonjwa,na yeye kama hana matatizo ya akili atueleze in kifungu gani katika sheria ya vyama vya siasa kinachoruhusu chama kuwa na kiongozi MKUU wakati huohuo kina Mwenyekiti na Katibu mkuu!
Sasa wewe wa chuo kikuu unaona ni sawa?ingekuwa kosa basi msajili wa chama angesha tenda kazi yake,shida ww la 3c unajua tu kukiwa na mwenyekiti, makamu na katibu bas ndo muundo sahihi
Jamaa umekula lakini? Mbona unaongea mikorogo tu hapa? Mara zitto, mara mimi, mara Musiba, mara uchawi. Zitto katumia vifungu vya katiba kuelezea aliyoyaelezea, wewe unaleta blah blah...zitto kaanzisha vita yake, na wewe anzisha vita naye kwa vifungu vinavyo ku support. Usipoteze muda kujaribu kuielewa au kuielezea akili yangu, maana hautaiweza mimi ni mjinga fulani hivi ninayejifunza kila siku.Mimi naamini wewe akili yako huenda ina Uvimbe, huwezi kumtetea Zitto kwa lolote hususan kwenye tweet yake hiyo ambayo siyo tu kwamba inamdhalilisha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, nidhahili pia wewe unayo shida kichwani mwako, yaani wewe eti unakata Zitto tusiseme kwamba maoni yake ni Ovu, kwa sababu ipi tusiseme??? Akili yako INA Uvimbe, tunajua Zitto ni mgonjwa wa Kisaikolojia ndiyo maana ana cheo ambacho hakuna Chama cha Siasa kokote Duniani chenye cheo cha "Mkuu wa Chama" na wakati huo huo kuna cheo cha Mwenyekiti kwenye Chama hicho hicho, na majukumu yakawa ni Yale Yale , kwa hakika huo ni upuuzi mtupu. Zitto ni kichaa, ndiyo maana anajitapa kwa Uchawi kumtishia msiba, nakumtaka eti amuombe radhi ndani ya siku 7, yako wapi leo ni siku ya 16, Musiba anadunda. Hata wewe jaribu kutishia pamoja na Zitto wako, mtaishia kukimbiwa na kubaki Chama cha kwenye flash. Jibu maswali ya msingi mawili tu, Mh.Rais anatatizo gani la kimwili ?? Mh. Rais ana tatizo gani la kiakili?? Mambo ambayo yatapelekea baraza la Mawaziri kumtoa kwa kutumia Katiba? Ukishindwa kujibu nyamaza kimya wewe mwen mwen u
weka elimu yako ya darasa la 3c pembeni kwanza, alafu fatilia muundo wa vyama vingine mfano cha economic freedom fighter cha malema s.aSasa wa c
Sasa wewe wa chuo kikuu unaona ni sawa?
mkuu fanya kufatilia muundo wa chama cha malema (EFF) alafu rudi usome ulicho andika uone kama uko sahihi ama una haki ya kupuuzwaMimi naamini wewe akili yako huenda ina Uvimbe, huwezi kumtetea Zitto kwa lolote hususan kwenye tweet yake hiyo ambayo siyo tu kwamba inamdhalilisha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, nidhahili pia wewe unayo shida kichwani mwako, yaani wewe eti unakata Zitto tusiseme kwamba maoni yake ni Ovu, kwa sababu ipi tusiseme??? Akili yako INA Uvimbe, tunajua Zitto ni mgonjwa wa Kisaikolojia ndiyo maana ana cheo ambacho hakuna Chama cha Siasa kokote Duniani chenye cheo cha "Mkuu wa Chama" na wakati huo huo kuna cheo cha Mwenyekiti kwenye Chama hicho hicho, na majukumu yakawa ni Yale Yale , kwa hakika huo ni upuuzi mtupu. Zitto ni kichaa, ndiyo maana anajitapa kwa Uchawi kumtishia msiba, nakumtaka eti amuombe radhi ndani ya siku 7, yako wapi leo ni siku ya 16, Musiba anadunda. Hata wewe jaribu kutishia pamoja na Zitto wako, mtaishia kukimbiwa na kubaki Chama cha kwenye flash. Jibu maswali ya msingi mawili tu, Mh.Rais anatatizo gani la kimwili ?? Mh. Rais ana tatizo gani la kiakili?? Mambo ambayo yatapelekea baraza la Mawaziri kumtoa kwa kutumia Katiba? Ukishindwa kujibu nyamaza kimya wewe mwen mwen u
Wachawi bwana utawajuwa hii ni minor issue.....ccm akivaa jezi ya ccm, popote pale inakwaza jambo lolote lisifanyike !? Chadema walikuwa na magwanda yao kwenye msiba wa Capt. Komba. Mbowe anashinda kutwa nzima na magwanda. Dont occupy your head with minor issues !
Haki ya kikatiba!! Hata mateka wa kivita ana haki ya kutibiwa...ni humanity kutaka kutibiwa na anaye mtuhumu !?
...haki ya kikatiba si lazima iwe humanityHaki ya kikatiba!! Hata mateka wa kivita ana haki ya kutibiwa
Naona Mwigulu unataka kurudi kwenye headlines.
Uko sahihi, Mwigulu yuko mbaali kabisaaaa, yaani porini kabisa. hawezi kumfikia Zitto Kabwe kwa uchambuzi. na sana sana Mwigulu ameona hii ni nafasi ya kujirudisha kwenye ulingo kwa kumfariji Bosi ambaye anakabiliwa na tuhuma kibao. JPM amelazimika kufuata maelekezo ya Mbowe, hasa baada ya yule mhandisi kukutwa yuko hai. maana yake kama uokoaji ungekuwa makini na usingesitishwa usiku, wengi wangeokolewa. JPM amelazimika kutimua watu baada ya presha kubwa. hapa hawezi tena kudai kwamba "sishauriwi", "nilichukua fomu mwenyewe" kama alivyotuchamba siku ile anamtetea dogo Makonda alipovamia clouds. sasa hivi Magu kakamatika haswa.Mwigulu yuko mbali sana kulinganisha na Zitto Kabwe,
Unaweza ukaandika kiswahili? maana naona hiyo english yako haieleweki: Natumia nguvu nyingi kuondoa makosa yako ya punctuation.'kwa uhakika anayo matatizo ya kiakili'.
I didn't know but now I know!
Hivi huyu jamaa anaposema huwa hapendi kumfanyia mtu kitu asichopenda yeye kufanyiwa ana maana gani? Jamaa si mkweli. Kwani yeye hapendi watu wamjulie hali akiwa anaumwa? Mbona hakutaka kabisa kumjulia hali Tundu Lissu. Je, yeye anapenda aitwe Gaidi? Mbona aliwabambikie kesi ya ugaidi akina Lwakatare?Tatizo la Mwigulu ni nini wakati katiba ndiyo imetoa mwanya huo wa kujadili personality au afya ya kiongozi?, katiba imeyatamka hayo hadharani kwa kila atakayeisoma na tafsiri yake ni kwamba hali ya afya ya kiongozi nayo inapaswa kuwa hadharani .
Ukisha kuwa kiongozi tu tambua kwamba you are open to the public, kama hautaki kujianika au kuanikwa basi usiusogelee uongozi.
Huyu Mwigulu Nchemba akili zake hazipo sawa mahali tangu zamani ni wa kumpuuza tu.
Hivi hawa jamaa ubinadamu wameanza kuukumbuka lini? Juzi tu hapa walipookotwa ndugu zetu kwenye fukwe na kwenye viroba huyu huyu jamaa akasema ni wahamiaji haramu. Lissu kapigwa risasi akihudhuria bunge wala huyu jamaa hakujali na aliwatuma policcm kuzuia maombi ya uponyaji kwa Lissu. Azory kapotea hivi hivi yeye akiwa madarakani akajikausha hadi leo. Mwangosi alisambaratishwa mchana kweupe jamaa hajawahi kutoa hata neno la faraja kwa wafiwa. Double Standards tuziache. Nashangaa yamejazana msibani na manguo yao ya kigaidi sijui yanaleta ujumbe gani. Yanaleta siasa kwenye msiba! Wao wenyewe wanakataza siasa kwenye msiba na wao wenyewe wanafanya siasa kwenye msiba. Tuwaeleweje? Kwani kuvaa nguo za kawaida tu au zile zinazoashiria msiba wanaona nini?Mngekuwa mna-observe humanity, Lissu mngeacha kumtibu?
Yeye angekuwa ana-observe humanity, angeacha Polisi wazuie watu kumuombea Lissu?
Sometimes ni bora kukaa kimya tu.