Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,688
Ok sawa ndg!!! All the Best!!!
Ccm mmzoea kuiba na kupindsha ukweli...mwisho wenu utafika!
Huyo ni Dr. ambaye ana PhD ameshindwa kuielewa twitter kutokana na muda na wakati wake, hivi hizi PhD kweli ni kutamka tu na si kukaa na kuelewa muda na wakati wa tweet kabla ya ku comment, kweli Docta umetuvuruga. changanya changanya hiyooooooMods, naomba msiunganishe hii mada.
Brother Mwigulu, si sahihi kabisa kuhusisha tweet ya Zitto kuhusu ibara hiyo ya katiba na swala zima la ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere.
Watu wengi hawaelewi kuwa ile tweet Zitto aliipost tarehe 20/09//2018 saa saba na dakika thelathini na mbili mchana (1:32 PM) wakati ajali ilitokea saa nane kamili mchana kwa mujibu wa RPC (someni uzi wa ajali ulioko hata hapa JF kuona kauli hiyo ya RPC) na hapo bado huja-consider muda wa taarifa kusaambaa na mpaka watu kuanza kujadili akiwemo huyo Zitto.
Binafsi ile tweet ya Zitto niliona siku moja kabla haijaletwa hata hapa JF na kwa mazingira ya siku ile, inaonyesha Zitto aliguswa na document fulani ambayo wengi iliwashitua na hata hapa JF iliibua mjadala mzito kuhusu maswala ya family planning.
Brother Mwigulu, kama ungeongelea ile tweet ya Zitto kuhoji kuhusu maswala ya kununua Dreamliner, maSGR huku tukishindwa kuoko watu, hapo ungekuwa unaongelea tweet sahihi iliyohusiana na maswala ya ajali lakini sio ile tweet yake kuhusu ibara ya 37 (2).
Tuweke kumbukumbu sawa na tuache kutafuta huruma kutoka kwenye jamii.
You are right,ngata na kupulizaItakuwa kweli anachosema Zitto............
Ila Mwigulu mjanja, ameamua kukuza mgogoro ili aonekane anamtetea mkuu, kumbe lengo lake ni huu mjadala uendelee kukua ili mkuu aendelee kuzalilika....
Sasa twende moja kwa moja kwa utekelezaji wa Kipenge hicho cha Katiba, na wewe binafsi unayepigia debe eti katiba imetoa mwanya wa kujadili Kiongozi wa Kitaifa, hebu tueleze wewe mwenyewe kama raia huru,Tatizo la Mwigulu ni nini wakati katiba ndiyo imetoa mwanya huo wa kujadili personality au afya ya kiongozi?, katiba imeyatamka hayo hadharani kwa kila atakayeisoma na tafsiri yake ni kwamba hali ya afya ya kiongozi nayo inapaswa kuwa hadharani .
Ukisha kuwa kiongozi tu tambua kwamba you are open to the public, kama hautaki kujianika au kuanikwa basi jsiusogelee uongozi.
Huyu Mwigulu Nchemba akili zake hazipo sawa mahali tangu zamani ni wa kumpuuza tu.
Hivi wewe unajitambua kweli? Au una comment ili mradi na wewe uonekane? Siku nyingine unaponi quote hakikisha umeelewa siyo unadandia dandia tu. Au unadhani kila mmoja humu ni shabiki wa kufuata vyama na upepo?Sasa twende moja kwa moja kwa utekelezaji wa Kipenge hicho cha Katiba, na wewe binafsi unayepigia debe eti katiba imetoa mwanya wa kujadili Kiongozi wa Kitaifa, hebu tueleze wewe mwenyewe kama raia huru,
A).Sema Rais ana maradhi gani ya Mwili?
B). Sema Rais ana maradhi gani ya akili?
Ukishindwa kujibu humu, niwaombe TCRA wachukue hatua ya KUKUFIKISHA MAHAKAMANI UKATOE MAELEZO NINI HASA UNA MAANISHA, NA SABABU IPI IMEKUPELEKEA KUUNGA MKONO WAZO OVU LA ZITTO NA KUMSHAMBULIA MWIGULU NCHEMA.
Mods, naomba msiunganishe hii mada.
Brother Mwigulu, si sahihi kabisa kuhusisha tweet ya Zitto kuhusu ibara hiyo ya katiba na swala zima la ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere.
Watu wengi hawaelewi kuwa ile tweet Zitto aliipost tarehe 20/09//2018 saa saba na dakika thelathini na mbili mchana (1:32 PM) wakati ajali ilitokea saa nane kamili mchana kwa mujibu wa RPC (someni uzi wa ajali ulioko hata hapa JF kuona kauli hiyo ya RPC) na hapo bado huja-consider muda wa taarifa kusaambaa na mpaka watu kuanza kujadili akiwemo huyo Zitto.
Binafsi ile tweet ya Zitto niliona siku moja kabla haijaletwa hata hapa JF na kwa mazingira ya siku ile, inaonyesha Zitto aliguswa na document fulani ambayo wengi iliwashitua na hata hapa JF iliibua mjadala mzito kuhusu maswala ya family planning.
Brother Mwigulu, kama ungeongelea ile tweet ya Zitto kuhoji kuhusu maswala ya kununua Dreamliner, maSGR huku tukishindwa kuoko watu, hapo ungekuwa unaongelea tweet sahihi iliyohusiana na maswala ya ajali lakini sio ile tweet yake kuhusu ibara ya 37 (2).
Tuweke kumbukumbu sawa na tuache kutafuta huruma kutoka kwenye jamii.
Mnashindwa kujiuliza yote haya yanavyotokea sasa, kwa nini yatokee?"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!
Brother mwigulu upo sawa maana lazima utetee jina lako kupitishwa mwaka 2020 kingine ile minoma yko ya Bank kuu pia lazima ujitaidi kuiteteea ila ukonga utakuhusu ni swala la muda tu tatizo mnasahau pia hivyo vikao vyenu nyuma ya kapeti mzee wngu jiwe taarifa zote anazo subiri uvuta kheri...Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?
Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;
1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.
2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.
3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.
4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.
5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.
"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!
Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Yaani utaijuaje afya ya mtu bila kumfanyia vipimo? VIPIMO NDIO VITAJIBU MASWALI YAKO. Wakati mwingine kaa kimya ufiche. ZITTO yuko sahihi na ana haki ya kikatiba ya kujua afya ya akili na mwili ya kiongozi wake. Ni nini mnaficha hapa? Mbona watu wamekosa kujiamini?Sasa twende moja kwa moja kwa utekelezaji wa Kipenge hicho cha Katiba, na wewe binafsi unayepigia debe eti katiba imetoa mwanya wa kujadili Kiongozi wa Kitaifa, hebu tueleze wewe mwenyewe kama raia huru,
A).Sema Rais ana maradhi gani ya Mwili?
B). Sema Rais ana maradhi gani ya akili?
Ukishindwa kujibu humu, niwaombe TCRA wachukue hatua ya KUKUFIKISHA MAHAKAMANI UKATOE MAELEZO NINI HASA UNA MAANISHA, NA SABABU IPI IMEKUPELEKEA KUUNGA MKONO WAZO OVU LA ZITTO NA KUMSHAMBULIA MWIGULU NCHEMA.
Naamini unachokisema kwani nimemsikia mkuu wa mwanza akitambulisha viongozi wa ccm kama tupo nachama kimoja alafu wanasema tusilete siasaHizo nguo wameambiwa na viongozi wao wavae kimkakati ili waonekane wanajali, halafu watumie matukio kama haya kutakatishia huu uporaji wa kura kwa kisingizio cha kwamba etu watu wanawachagua maana wako nao karibu kwenye matatizo yao. Wamejibinafsishia msiba ili wapate kick ya kisiasa.