Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu yuko mbali sana kulinganisha na Zitto Kabwe,
Mbali kwenye nini? Hivi kati ya hawa wawili nani ana jina kubwa na la heshima kwa jamii ya kitaifa na kimataifa?huyo nchemba kaanza kujulikana baada ya ulipuzi wa mabomu pale arusha (soweto)wakati Zitto anajulikana toka kitambo kwa kupigana rasilimali za taifa,hence huyo nchemba hana heshima yoyote kwa jamii zaidi ya kumbukumbu ya kutisha kama si ya kuogofya ya umwagikaji wa damu za watu wasio na hatia!
 
Mnaohangaika na Zitto ndo mnakosea. Zitto anasumbuliwa, hatunae kiakili: anaumwa. Ni mtumwa. Anatumikia ugonjwa unaoitwa Acquired Humanistic Deficiency Syndrome (AHDS). Kwa kiswahili, Zitto ameambukizwa upungufu wa utu... Huo n ugonjwa mbaya sana. Mtu mwenye AHDS, kila nafasi is an opportunity: msiba n opportunity, ajali au ugonjwa wa mwenzake n opportunity.... Anything is an opportunity to an AHDS patient!
 
Nchemba mbona kwa Ben Saanane, Mawazo , watu kwenye sandarusi coco beach, MKIRU hukusema haya, mlikuwa mkakejeli wazi wazi, Rubbish! hao hawakuwa ndugu zetu au kwa vile walikuwa wapinzania! Ukshetani wako utakutafuna mpaka kaburini!
Alisema ni wahamiaji haramu
 
Kitu ambacho sisi kama taifa tunazidi kuharibu ni MISIBA ya kitaifa tunataka kuifanya ni ya kichama, chukulia kwa mfano kwenye mazishi hayo kuna haja yoyote watu kuja na nguo za Chama fulani? Ndo maana hata kwenye kuchangia fedha Kwa wathirika wa hiyo ajali yanatugawa kivyama, jamani hebu tubadilike sisi kama taifa tuache kufanya mambo kishabiki, haya mavyama yenu ndo yametufikisha kwenye hali hii tuliyonayo, badilikeni hii nchi sio ya CCM, CHADEMA, TLP wala CUF ni ya Watanzania wenye na wasio na vyama
 
Huyu Mawigulu bora akae kimya hana jipya keahajimaliza kisiasa.Akifanya mchezo 2020 anadondoshwa kura za maoni.
 
Mngekuwa mna-observe humanity, Lissu mngeacha kumtibu?

Yeye angekuwa ana-observe humanity, angeacha Polisi wazuie watu kumuombea Lissu?

Sometimes ni bora kukaa kimya tu.
...ni humanity kutaka kutibiwa na anaye mtuhumu !?
 
Nchemba anataka Raisi amuone, njaa siyo kitu kizuri!

Hiyo ni polite way ya kumuomba rais amfikiriefikirie!

Au kwa kuwa raisi alikupa makavu live kuwa ulipokuwa waziri ulikuwa hutoi rambirambi za misiba na wala hukua na time na misiba ndiyo maana leo unajifanya kuja SO LOUD kujifanya unaongea kitu kwenye msiba huu wa safari hii ili kumuonyesha mzee kuwa sasa umekuwa kijana mzuri?

Jitahidi uongeze bidii labda atakufiria

Lakini kwa sasa, Nchemba you are just fired!
 
Kivuko ni kibovu,hamsikii.
Ya kutokea yametokea sasa mkiambiwa mnahamisha magoli.
Acha kila mtu aambiwe ukweli wake kwa sababu watu wamewachoka.

Mongela kapata maagizo toka juu kwamba waache uokoaji giza limeingia, wewe Mwigulu unaona hiyo ni akili ya mtu aliye timamu kweli?
msitusababishie majanga sisi.

Mmeshindwa kuishi in reality, mnategemea life ya kutoa kafara to survive, naomba tena ujinga wenu isiwe majanga kwetu.
 
Mitaala ya PHD ya ud inabidi ipitiwe upya maana majamaa wameendelea kuborongo kila kukicha.

Ibara ya 37 sijui section ngapi inamhusu yeye sasa ulitegemea aeleze vipi zaidi ya alivyoeleza.

Endelea kutetea tumbo lako 2020.
 
Back
Top Bottom