Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

1. Mchinga Sound ilikufa baada ya Mudhihil kutemwa uwaziri na mwishowe Ubunge
2. Akudo Impact imekufa baada ya Kapuya kuukosa uwaziri na sasa Ubunge.
3. Singida United sasa hivi inapumulia Mashine kila siku migomo ya wachezaji hawajalipwa mishahara yao nahisi kwa sababu fulani.
**Hivi vitu huwa vina uhusiano gani na Mawaziri wetu?
 
ZZK is amongst the people who are operating through deception and agents of devils and neo-colonialism.
His scheme for such a t. ime as this will never prevail.
Potentially some of Tanzanians have been fooled by you once... but they won't be fooled forever.
You ara in politics has come to an end and you better find another job to win bread.

Pole, ZZK... safari hii, plan yako imebuma

ZZK anazungumza na watu wenye akili kubwa, sio kama wewe ambaye hata kiingereza hujui, wewe sio rahisi kumuelewa ZZK maisha yako. Na kwa taarifa yako ZZK ni mmoj
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Naona unajaribu kurejea mchezoni.Singida United soon utaiuza.Walioweka hiyo ibara kwenye Katiba hawakuwa wajinga.
 
ZITTO MWENYEWE NI MGONJWA SANA UWONI LISURA LAKE LILIVYO BOMOKA WALAHI!
Tena gonjwa kweli kweli walahi
 
ZZK is amongst the people who are operating through deception and agents of devils and neo-colonialism.
His scheme for such a time as this will never prevail.
Potentially some of Tanzanians have been fooled by you once... but they won't be fooled forever.
You ara in politics has come to an end and you better find another job to win bread.

Pole, ZZK... safari hii, plan yako imebuma
Well said!
Alikuwa kazoea kula ovyo awamu ya nne, sasa ana j.m.b.a cheche walahi!
Udhiki umemeandama walahi, Maana mara kujiteka, n. K, usumbufu tu ilimradi kiki! Pathetic DNA walahi
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Ninyi huwa mnawatendea wengine kwa utu na heshima km unavyoshauri?
Km ni ndiyo basi zitoo alaumiwe na abadilike,lkn km siyo muanze ninyi kubadilika ili nchi iwe na usawa,
Binadamu wote sawa na mkuki hata kwa nguruwe huuma,
Mungu atubariki tuilinde Tanzania yetu,
Tudumishe amani na kuheshimiana
 
Mwigulu tulia usitafute attention you had proved failure and that why you were sacked..
 
Zitto yuko sahihi kabisa jamaa ana matatizo ya akili, wenye kumpinga Zitto waje na hoja za maana kuliko hoja hizi za akina Mwigulu ambapo sijaona sehemu amempinga Zitto kwa hoja
Ndg yangu jaribu kuwa makini unapotumia keyboard yako ukihusisha na ubongo!!!! Japo hutanielewa Leo ila ipo siku moja utanielewa ndg yangu ni bora kujibu kwa lugha ya staha,,,, na Hoja yako itaeleweka ila maneno ya mitaani kama Una address best yako ipo sku itakuja kukugharimu,,,, unayemdharau kuna mamilioni wanamuamini hvyo ni ushauri Wang tu!!
 
zitoo alipeleka ujumbe kwa mawaziri
naona mwigulu kasahau kuwa yeye sio waziri tena!!
hili halimuhusu
 
Ndg yangu jaribu kuwa makini unapotumia keyboard yako ukihusisha na ubongo!!!! Japo hutanielewa Leo ila ipo siku moja utanielewa ndg yangu ni bora kujibu kwa lugha ya staha,,,, na Hoja yako itaeleweka ila maneno ya mitaani kama Una address best yako ipo sku itakuja kukugharimu,,,, unayemdharau kuna mamilioni wanamuamini hvyo ni ushauri Wang tu!!
Hata Hitler na IDD Amin kuna mamilioni ya watu waliwaamini, hivyo kipimo cha kuaminiwa bado hakijahitimisha hoja yangu ndg yangu

Wako watu waliamini tofauti na wengi walivyoamini lakini hao wengi waliamini uongo
 
Well said maana huwa hawaelewi hao!

Mods, naomba msiunganishe hii mada.

Brother Mwigulu, si sahihi kabisa kuhusisha tweet ya Zitto kuhusu ibara hiyo ya katiba na swala zima la ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere.

Watu wengi hawaelewi kuwa ile tweet Zitto aliipost tarehe 20/09//2018 saa saba na dakika thelathini na mbili mchana (1:32 PM) wakati ajali ilitokea saa nane kamili mchana kwa mujibu wa RPC (someni uzi wa ajali ulioko hata hapa JF kuona kauli hiyo ya RPC) na hapo bado huja-consider muda wa taarifa kusaambaa na mpaka watu kuanza kujadili akiwemo huyo Zitto.

Binafsi ile tweet ya Zitto niliona siku moja kabla haijaletwa hata hapa JF na kwa mazingira ya siku ile, inaonyesha Zitto aliguswa na document fulani ambayo wengi iliwashitua na hata hapa JF iliibua mjadala mzito kuhusu maswala ya family planning.

Brother Mwigulu, kama ungeongelea ile tweet ya Zitto kuhoji kuhusu maswala ya kununua Dreamliner, maSGR huku tukishindwa kuoko watu, hapo ungekuwa unaongelea tweet sahihi iliyohusiana na maswala ya ajali lakini sio ile tweet yake kuhusu ibara ya 37 (2).

Tuweke kumbukumbu sawa na tuache kutafuta huruma kutoka kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom