Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Zitto yuko sahihi kabisa jamaa ana matatizo ya akili, wenye kumpinga Zitto waje na hoja za maana kuliko hoja hizi za akina Mwigulu ambapo sijaona sehemu amempinga Zitto kwa hoja
Ata yeye zitto ni mgonjwa,na yeye kama hana matatizo ya akili atueleze in kifungu gani katika sheria ya vyama vya siasa kinachoruhusu chama kuwa na kiongozi MKUU wakati huohuo kina Mwenyekiti na Katibu mkuu!
 
Unalia hadi unaomba mods wasiunge threads.. 🤣🤣🤣🤣💉💉💉💉💉
 
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
Moyo wa nyama
 
Kumbuka wote waliotumbuliwa kwa ufisadi na ubadhirifu wana nasaba na chama tawala, hakuna hata mmoja kutoka upinzani, kujali wananchi ni kuendekeza ubadhirifu na ufisadi!

💉💉💉💉💉🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Nashangaa sana hawa watu hatutaki siasa katika jambo hili nikweli lakini nawaona wamevaa nguo za chama cha siasa katika kitu ambacho hakihitaji siasa

Hizo nguo wameambiwa na viongozi wao wavae kimkakati ili waonekane wanajali, halafu watumie matukio kama haya kutakatishia huu uporaji wa kura kwa kisingizio cha kwamba etu watu wanawachagua maana wako nao karibu kwenye matatizo yao. Wamejibinafsishia msiba ili wapate kick ya kisiasa.
 
Huyu huyu aliyetema mate bungeni na kuapa kuwa atatoa USHAHIDI hadi mbinguni kuwa CHADEMA ni magaidi?!

Naona anatafuta sympathy baada ya kutumbuliwa ili afikiriwe kaulaji, asahau na mikono yake ni zaidi ya devil!!
 
Kingine,

Sisi hua tunapenda kumhukumu mtu bila ya kuelewa jambo wala kulichanganua vizuri. Na tunatabia ya kushangilia au kuponda mambo hovyo hovyo.

Neno "maradhi ya kichwani" lina husisha mambo mengi sana, ila watu wanakimbilia kuhukumu kua kamaanisha wehu au kichaa tu.

Maradhi ya kichwa, kisaikolojia lina cover mpaka;

1) Wendawazimu.
2) Stress. (Msongo wa mawazo)
3) Kutokulala.
4) Hasira.
5) Uvivu.
6) Kujiona mtu unaestahili special treatment (Majigambo).
7) Kutokusikiliza ushauri.

NB na mengine mengi sana tu.
 
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
Mwigulu anataka kufa? Mwigulu anataka kuumizwa? Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio!! Ameua wangapi kwa maagizo yake? Ameumiza wangapi kwa maagizo yake? Hata kama tweet ya Zitto ina ukakasi, Mwigulu hana udhu wa kuongelea "Utu".
 
Mods, naomba msiunganishe hii mada.

Brother Mwigulu, si sahihi kabisa kuhusisha tweet ya Zitto kuhusu ibara hiyo ya katiba na swala zima la ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere.

Watu wengi hawaelewi kuwa ile tweet Zitto aliipost tarehe 20/09//2018 saa saba na dakika thelathini na mbili mchana (1:32 PM) wakati ajali ilitokea saa nane kamili mchana kwa mujibu wa RPC (someni uzi wa ajali ulioko hata hapa JF kuona kauli hiyo ya RPC).

Binafsi ile tweet ya Zitto niliona siku moja kabla haijaletwa hata hapa JF na kwa mazingira ya siku ile, inaonyesha Zitto aliguswa na document fulani ambayo wengi iliwashitua na hata hapa JF iliibua mjadala mzito kuhusu maswala ya family planning.

Brother Mwigulu, kama ungeongelea ile tweet ya Zitto kuhoji kuhusu maswala ya kununua Dreamliner, maSGR, n.k hapo ungekuwa unaongelea tweet sahihi iliyohusiana na maswala ya ajali lakini sio ile tweet yake kuhusu ibara ya 37 (2).

Tuweke kumbukumbu sawa na tuache kutafuta huruma kutoka kwenye jamii.
Hivi huyo Madelu bado hajapangiwa kazi nyingine?maana anaanza kutusumbua kama musiba
 
Yaani kama nakuona unavyolia na kujuta kuwa upinzani JF kwa ID hii yako.. huku nje ya JF wewe ni umejaa upendo kwa JPM na yote.. pole yako.. dungika hizi tena [emoji382][emoji382][emoji382] na jiongezee kujipiga vibao vya usoni ulie zaidi..[emoji28][emoji28][emoji28]
Ebu jikite kwenye hoja, wewe kila siku huna hoja za maana zaidi ya ujinga ujinga tu wa kutetea maovu ya serikali
 
Back
Top Bottom