Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

Ata yeye zitto ni mgonjwa,na yeye kama hana matatizo ya akili atueleze in kifungu gani katika sheria ya vyama vya siasa kinachoruhusu chama kuwa na kiongozi MKUU wakati huohuo kina Mwenyekiti na Katibu mkuu!

Ni vizuri ukatueleza wewe kwanza ni kifungu gani cha sheria ya vyama vya siasa kinakataza kuwa na "kiongozi mkuu wa chama"? Halafu tutaendelea kujadili.....
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.
Dk. Nilidhani utasubiri msiba uishe kwanza. Unasema nini na unafanya nini? Fasihi ni kioo cha maisha!!
 
Moderator huyu mwanzisha mada anapenda kuanzishia thread mada zingine kwa vitu ambavyo angeweza kuchangia huko kawaida. Mbaya zaidi mnamuacha tu mara nyingi.
 
Najua imewaumu baada ya kuwaumbua.

Kwanza kwa kumtendea haki Zitto, hata huo uzi ulipaswa kufungwa baada ya ukweli kuwekwa hadharani.
 
Zitto yuko sahihi kabisa jamaa ana matatizo ya akili, wenye kumpinga Zitto waje na hoja za maana kuliko hoja hizi za akina Mwigulu ambapo sijaona sehemu amempinga Zitto kwa hoja
Mkuu unaweza kumuona mwezio anamatatizo ya akili na ndivyo hivyo watu wengine wanavyo kuona wewe na wanavyo muona mleta mada kwa maana hiyo watoto wa mjini wanasema ngoma droo
 
Zitto Kabwe, na wenzako mnaoendelea kusambaza thread hii, With due respect to you, let us debate on Agendas, National issues and NOT PERSONALITIES. My collegemate, my agemate, my felloweconomist, mwanadamu mwenzangu: Where is the limit?

Nimesoma thread yako, na nimesoma kipengele cha Katiba ulichokitaja. AMBAYO IKO KWENYE THREAD; "Ni muda mwafaka SASA Baraza la Mawaziri kutumia Ibara ya 37(2) ya Katiba. Kwenye Katiba, maudhui ya Ibara hiyo ni"
37(2), Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya Maradhi ya MWILI au AKILI, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Mwili au ya Akili hawezi kumudu kazi zake. " .......
.......
Mwanzo nilidhani ID feki, pili nikadhani wamekulisha maneno, but sijaona ukikanusha. Well ukiwa na jazba unaweza kuandika hivyo na yeyote mwenye jazba anaweza kufurahia hicho. But let us get back to the sense of humanity;

1) Taifa linapita kwenye janga, limepoteza watu, watu wako kwenye majonzi, Kiongozi ambaye ndio anadhamana ya watu wote yuko kwenye kipindi cha kupoteza watu kwenye janga hilo, msiba huo ni wake, wewe badala ya kumpa pole, any word of hope, unaweka neno ambalo impliedly unataka kuaminisha watu kuwa Rais anaumwa, maradhi ya mwili au ya akili. The timing and allegation haina chembe ya ubinadamu.

2) Hata kama, kuna mapungufu kwenye kuruhusu watu kupanda au vyovyote, ustaarabu wetu unatuonesha TUWAHIFADHI KWANZA NDUGU ZETU, NDIO TUANZE KUGOMBANA, kama ni kusingiziana au mirathi, nk, SOTE TUTAKUFA SIKU MOJA, hata sasa, Hii sio sherehe, badala ya kuwafariji ndugu, jamaa na wote waliokutwa na janga hili, we feel tumepata mwanya wa kupenyeza maneno. Hatuwatendei haki wale walio kwenye deep pain ya janga hili.

3) Hata kama kwenye siasa kuna kusemana, hata kama kwenye siasa kuna kushambuliana, hata kama kwenye siasa kuna kuchukiana, Maneno yanayolenga personalities za aina hii, tena za maswala ya kiafya, kwa kiongozi, maneno yanayoweza kusababisha taharuki kwenye familia, kwa wananchi na maneno yanayojeruhi personalities, ni adui mkubwa wa uhuru wa kuongea na ustawi wa demokrasia unaopiganiwa.

4) Mimi najua status ya afya yangu, mke wangu na watoto wangu, Je nina haki ya kujua status ya afya yako Zitto? Ni haki ya kuifanya public na nije kuwashauri wapiga kura wako? Brothers and sisters lets observe humanity.

5) Nini tafsiri sahihi ya kipengele hicho cha Katiba,? Hujakielewa, au unatumia Katiba kutukana, kudhalilisha, kuaminisha kitu kisicho na ukweli.

"KITU NISICHOTAKA KUTENDEWA HUWA SITAKI NA MWINGINE ATENDEWE, Huyu ni Kiongozi wetu, Huyu ni Baba yetu kwa umri, Hii ni nembo yetu as a Nation, can you just say like that? can you just wish like that? Oooh No!

Dkt Mwigulu Nchemba, (MB) Iramba.

Tunamheshimu ZZK kama mwakilishi wa Kigoma mjini na msomi hali kadhalika mwanasiasa.
Ila pale unapojenga hoja za kumgusa Rais afanyiwe "impeachment" kwa mgongo wa kunukuu kifungu cha katiba... Ohh no...
Kimsingi, ZZK ni aina ya watu wanaofanya kazi ya uwakala wa Ibilisi.

Ibilisi alimtokea Eva katika bustani ya Eden kwa hadaa ya swali... "hivi Mungu alizuia msile matunda katika bustani"
Ibilisi alijua Adam na Eva walizuiliwa kula tunda la mti wa katikati tu... Ila gia yake ni kumtaka Eva aingie kwenye mjadala ili baadae aweze kumhadaa...

Huyu ndiyo ZZK, ni opportunist, weak leader who intending to sow a seed to divide Tanzanians against JPM. His device will not be successful and we do not be to be prophets to foresee his era in politics is going to end very soon... he is like a person in the mid of sea with no direction and his vessel is about to sink...

The era of being fooled by deception through agents of Devil like ZZK ended from the day JPM was sworn in as the Head of State, Commander in Chief and President of the United Republic of Tanzania.

Pooole sana ZZK, Watanzania tuna akili na hatutadanganyika tena kwa hila zako na watu mawakala wa wakoloni wetu
 
Mkuu Salary Slip huyu Mwigulu inabidi umuelewe vizuri. Hapingani na Zitto bali amechochea kuni moto uzidi kuwaka. Baada ya style yao ya kusema akaunt imehakiwa kushindwa kubamba sasa wamekuja na style nyingine. Pandisha hii kitu pale juu kusaidie kufumbua na kuumbua
 
Ni upotoshaji wa makusudi tu mkuu.

Jiulize ni kwanini hajaongelea tweet ya Zitto kuhusu maSGR na Dreamliner ambazo ni sahihi kabisa na badala yake anakimbilia hoja ya ibara ya 37 (2) ya katiba ambayo kwa mazingira Zitto aliitoa akiwa na sababu tofauti kabisa tena kabla hata ajali haijatokea.

Mwigulu anafanya vile kama kujipendekeza kwa mkulu ili amrudishe kwenye madaraka. Na ameona mahali pazuri pa kuoshea nyota yake ni kumjibu mpinzani. Kumbuka hata vyei vingi vya Mwigulu kavipata kama asante ya kuwakejeli na kuwadhuru wapinzani. Mimi simkubali Magu hata yeye hilo anafahamu, lakini katika vitu ambavyo nilimuunga mkono ni hili la kumtumbua Mwigulu. huyo Mwigulu ni baadhi ya watu waliongiza siasa za kikatili ndani ya nchi hii.
 
Mkuu Salary Slip huyu Mwigulu inabidi umuelewe vizuri. Hapingani na Zitto bali amechochea kuni moto uzidi kuwaka. Baada ya style yao ya kusema akaunt imehakiwa kushindwa kubamba sasa wamekuja na style nyingine. Pandisha hii kitu pale juu kusaidie kufumbua na kuumbua
Ngoja niwaombe Moderator JamiiForums watusaidie.
 
Tunamheshimu ZZK kama mwakilishi wa Kigoma mjini na msomi hali kadhalika mwanasiasa.
Ila pale unapojenga hoja za kumgusa Rais afanyiwe "impeachment" kwa mgongo wa kunukuu kifungu cha katiba... Ohh no...
Kimsingi, ZZK ni aina ya watu wanaofanya kazi ya uwakala wa Ibilisi.

Ibilisi alimtokea Eva katika bustani ya Eden kwa hadaa ya swali... "hivi Mungu alizuia msile matunda katika bustani"
Ibilisi alijua Adam na Eva walizuiliwa kula tunda la mti wa katikati tu... Ila gia yake ni kumtaka Eva aingie kwenye mjadala ili baadae aweze kumhadaa...

Huyu ndiyo ZZK, ni opportunist, weak leader who intending to sow a seed to divide Tanzanians against JPM. His device will not be successful and we do not be to be prophets to foresee his era in politics is going to end very soon... he is like a person in the mid of sea with no direction and his vessel is about to sink...

The era of being fooled by deception through agents of Devil like ZZK ended from the day JPM was sworn in as the Head of State, Commander in Chief and President of the United Republic of Tanzania.

Pooole sana ZZK, Watanzania tuna akili na hatutadanganyika tena kwa hila zako na watu mawakala wa wakoloni wetu
Wakala wa ibilisi ni ccm na mashabiki wao wote walio tayari kumuua yeyote yule ili yasalie madarakani
 
Mwigulu naona unamg'ong'a magufuli kijanja kwanza kujibu jambo hili unazidi kulipa kiki halafu naona kbisa unathibitisha haya kuwa yapo hahahah
 
Mods, naomba msiunganishe hii mada.

Brother Mwigulu, si sahihi kabisa kuhusisha tweet ya Zitto kuhusu ibara hiyo ya katiba na swala zima la ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere.

Watu wengi hawaelewi kuwa ile tweet Zitto aliipost tarehe 20/09//2018 saa saba na dakika thelathini na mbili mchana (1:32 PM) wakati ajali ilitokea saa nane kamili mchana kwa mujibu wa RPC (someni uzi wa ajali ulioko hata hapa JF kuona kauli hiyo ya RPC) na hapo bado huja-consider muda wa taarifa kusaambaa na mpaka watu kuanza kujadili akiwemo huyo Zitto.

Binafsi ile tweet ya Zitto niliona siku moja kabla haijaletwa hata hapa JF na kwa mazingira ya siku ile, inaonyesha Zitto aliguswa na document fulani ambayo wengi iliwashitua na hata hapa JF iliibua mjadala mzito kuhusu maswala ya family planning.

Brother Mwigulu, kama ungeongelea ile tweet ya Zitto kuhoji kuhusu maswala ya kununua Dreamliner, maSGR huku tukishindwa kuoko watu, hapo ungekuwa unaongelea tweet sahihi iliyohusiana na maswala ya ajali lakini sio ile tweet yake kuhusu ibara ya 37 (2).

Tuweke kumbukumbu sawa na tuache kutafuta huruma kutoka kwenye jamii.
Safi sana mkuu ! kuhusu kauli ya mkuu iliyozungumzia kufyatua bila kikomo kwa mtindo wa bandika bandua au huku kwetu Tandika Mwembeyanga inafahamika kama kubemenda , kiukweli Dunia nzima imeshika kiuno kwa mshangao !
 
ZZK is amongst the people who are operating through deception and agents of devils and neo-colonialism.
His scheme for such a time as this will never prevail.
Potentially some of Tanzanians have been fooled by you once... but they won't be fooled forever.
You ara in politics has come to an end and you better find another job to win bread.

Pole, ZZK... safari hii, plan yako imebuma
 
Mwigulu hana jipya kwenye hili zaidi ya kupiga porojo tu. Hivi kweli haki za wafiwa ni kuuzunika na kuwa mnafki ila sio kuwekewa kivuko kipya? Timu yake ya mpira imemshinda....? Haki ya lissu hajaiona mpaka leo?
 
Shauri yenu ninyi mfaete Zitto untouchable.
Mnachuuzwa ili mlopoke yeye anazidi kutesa tu.
 
Mwigilu Nchemba ulichoongea ni busara tosha,hongera sana,japo najua utadhihakiwa sana kwa maelezo haya.sisi ambao ni aged kidogo uzi huo umetukwaza sana ,ukizingatia kipindi hiki cha msiba wa taifa,pia lazima wafahamu Rais Magufuli nae ni mwanadamu ana roho ya nyama na hisia vilevile,mwisho nipongeze maneno yako ya mwisho,usichopenda kutendewa usiwatendee wenzako
Ndugu yangu busara nchi hii ilitupwa nje ya dirisha siku nyingi, kilichobaki ni unyama tu. CCM mtajuta sana ushenzi mnaowafanyia watanzania. Henceforth jicho kwa jicho.
 
Back
Top Bottom