Mwigulu: Mimi ni Nyerere

Mwigulu: Mimi ni Nyerere

Ndugu yangu Mwiguli Nchemba, Muungwana ni vitendo na si kutupigia kelele kwa kujiita majina ya wanamapinduzi tu.

Maana kuna kipindi ulikuwa unavaa kama Che, Guevara ukijitahidi kumnakili mavazi, matendo mpaka na maneno. Sasa ukaamia kutuambia kuwa unaitwa Moringe Sokoine mara unakuja na swaga mpya za kuitwa Nyerer naamini mpaka mwezi wa tano utakuwa unajiita/unaitwa Matonya.
 
alinishawishi bunge la katiba akasema liahirishwe nikadhani atakomalia msimamo wake wa maridhiano jana namuangalia ansifu tumepata katiba safi sana tuipigie kura , unajua katiba huundiwa sheria eeh tutaundia sheria rushwa itaangamizwa , rushwa inaumiza kina mama masikini na watoto ilibidi niichape tv na kiboko imepata ufa. ani umaskini wetu ni mtaji? Opportunist msimamo zero.
 
Mwigulu walio hai wamekushinda --------- sasa waliokufa si unawaonea kaka???
* Mwigulu unawasingizia watu wasioweza kukujibu?????
* Unafananisha usingizi na kifo?????
* Mwigulu unachonifurahisha bwana mzee huna soni wala aibu!
 
kubwa jinga hili lipenda sifa tu hakuna lolote hapo
 
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga



CHANZO: NIPASHE

.................................................... hakueleweka kwa watu wengi alichokisema Mwigulu ni kwamba yeye ni mku ndu wa Nyerere.
 
I think comparing yourself or repeating with implication that you can be compared to Nyerere WHO we Tanzanians take with high regards is FOOLISH.
 
MAVI kunuka! Tokalini fedha za Uwizi zikalipiwa kodi badala ya kurejeshwa kipindi cha Mwalimu? aulize vizuri mito ilivyokuwa na maji ya Utamu Enzi za kupambana na wahujumu uchumi... Huyu Nchemba Ulimbukeni sasa umemuelemea...

Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga




CHANZO: NIPASHE
 
Ukitupia watu mbom kama savimbi, na kuwa angamiza kama savimbi... Basi watakuita......,,
 
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga

CHANZO: NIPASHE
Huyu si mjinga bali ni mpumbavu. Nyerere gani aliyeamrisha mtu amwagiwe tindi kali ili asingizie Chadema? Bullshit!
 
Mwigulu hatumii 'kitu kikali' kweli? sio rahisi mtu timamu ajifanananishe na Nyerere hata kidogo! Kwanza amefanya nini Tz.? au anafikiri tumesahau ule uhuni wa kubambikiza watu kesi? hafai hata kidogo. Tunajua anaitaka nafasi ya MKUYA kwa nguvu zote! ILA NI MTU WA KUTAKA MISIFA SANA !
 
Back
Top Bottom