tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,392
Mpwa ngoja tusubiri tuone vioja vya watu kutaka kujivalisha koti la Unyerere wakati hawana hata sifa moja ya Mwalimu. Huyu gaidi sijui anataka kumdanganya nani kuhusu rekodi yake ya uongo wa hali ya juu na ugaidi dhidi ya Watanzania.
nawashangaa sana watu wanaomshobokea huyu GAIDI....aende akwadanganye magaidi wenzake....kumlinganisha nyerere na mwigulu ni sawa na kumlinganisha tembo na punje ya haradali!