Mwigulu: Mimi ni Nyerere

Mwigulu: Mimi ni Nyerere

Ninamkubali Mwigulu kuliko wagombea wote urais 2015 ccm kwa sababu walau ametuonyesha uthubutu wake na utendaji wake uliotukuka,amekua mstari wa mbele ktk kubuni namna ya kuongeza pato la nchi na kujitegemea na ss tumejionea ongezeko kubwa la ukusanyaji wa mapato kutoka bil 300 hadi 800 kwa mwezi,leo hii misamaha ya kodi isiyo ya lazima ni mwiko chini ya utawala wake,Mwigulu nchemba amekua akikemea maovu na ubadhirifu wa fedha za serikali wazi wazi bila kificho wala uoga hii yote ni ktk kuonyesha uthubutu na mapenzi yake kwa watanzania maskini...tunashukuru kwa kuungwa mkono na cc ya chama ccm kuungana naye ktk kupambana na ubadhirifu na wote tumeshuhudia tamko lilotolewa na ccm kuwa hatua stahiki zichukuliwe,mh Mwigulu huwa habahitishi ktk maaumizi yake anatenda kwa uhakika bila unafiki, uoga wala chuki,ila zaidi kwa uwazi na kuwashirikisha wananchi wa Tanzania kila leo kupitia media kwani ni haki yao msingi kusikia ama kwa hakika watanzania wenzangu huyu ndiye mtu sahihi kwetu 2015...
 
Mwigulu Nchemba:Kitu ambacho watanzania wajue ni kuwa wanahitaji kiongozi mwenye mtazamo mpya na anayeamini kuwa mabadiliko ni vitendo na si kiongozi anayehitaji kutimiza ndoto zake za kuwa rais tu
 
mimi simfahamu mwigulu nanilikuwa simpendi kabisa mwigulu
lakini kwasasa namkubali sana mwigulu
1 kwa utendaji wake makini ndani ya serikali ya tanzania
2 mwigulu amekuwa msitari wa mbele kuwa nyoshea vidole mafisadi na wezi wote ndani ya nchii hii
kwahayo machache tu mwigulu hunasitahili pongezi mkuu
nisaamehe kwa kukuchukia bila kosa
 
ingelikuwa ni nchi nyingine tayari watu wangekuwa wanafikiria ni nani wamsogeze ili afanye kazi na Mwigulu. He is a guy of the right time. I believe nature will play its role and for sure Mwigulu is there to lead...2015, ni mwaka wa Mabadiliko.
 
Mwigulu rais pekee mwenye haiba ya kuleta Mabadiliko kwa Vitendo kwa wananchi wote hasa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati
Mwigulu for Tz 2015
 
mimi simfahamu mwigulu nanilikuwa simpendi kabisa mwigulu
lakini kwasasa namkubali sana mwigulu
1 kwa utendaji wake makini ndani ya serikali ya tanzania
2 mwigulu amekuwa msitari wa mbele kuwa nyoshea vidole mafisadi na wezi wote ndani ya nchii hii
kwahayo machache tu mwigulu hunasitahili pongezi mkuu
nisaamehe kwa kukuchukia bila kosa

mkuu nyanile naungana na wewe jamaa yuko poa sana kwa sasa.
 
Mwigulu rais pekee mwenye haiba ya kuleta Mabadiliko kwa Vitendo kwa wananchi wote hasa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati
Mwigulu for Tz 2015

Mwigulu ni tumaini jipya kwa mabadiliko ya kweli 2015
 
mimi simfahamu mwigulu nanilikuwa simpendi kabisa mwigulu
lakini kwasasa namkubali sana mwigulu
1 kwa utendaji wake makini ndani ya serikali ya tanzania
2 mwigulu amekuwa msitari wa mbele kuwa nyoshea vidole mafisadi na wezi wote ndani ya nchii hii
kwahayo machache tu mwigulu hunasitahili pongezi mkuu
nisaamehe kwa kukuchukia bila kosa

Pole na Usijali Mwigulu ndiye chaguo sahihi na utendaji wake unaonekana wazi
 
Hivi Nyerere akirudi akakuta anafanishwa na Gaidi, itakuwaje? Nahisi atajiuliza maswali mengi, atasema kwamba kumbe waTz hatuthamini mchango wake hata kidogo hadi tunamfanisha na Gaidi.
 
MANENO YANAYOGUSA NA KUMPA KIU KILA MTANZANIA KUONA KIJANA HUYU AMUONGOZE 2015/2025
Mwigulu alisema Tanzania ijayo inatakiwa ijengwe kwenye misingi ili kila mtu ajipime kama anatosha kwa uadilifu, kwani hata nchi zilizoendelea zimefanikiwa kutokana na kujiwekea misingi yake.

Alisema haiwezekani kuwa na utawala bora au haki za binadamu zinazolinda raia wanaonewa walio wengi na kulinda wanaoibia wengine.

Mwigulu alisema Watanzania lazima watambue kuwa mtu akiiba au kupoteza fedha za umma, anakuwa amesababisha watu wengine kufa kwa kukosa dawa hospitalini au akina mama wajawazito kukosa huduma.

Alisema mazingira haya yanakuwa yametengezwa na mtu, ambaye hakutimiza wajibu wake.

“Huwezi ukawa na haki ya binadamu ama utawala bora bila kuchuckua hatua. Ni lazima kuwalinda na wanaoonewa. Haiwezekani kwa mfano, mtu anapoteza Sh. bilioni 20 halafu adhabu kubwa anayopata anaondolewa cheo tu au kuhamishwa kituo cha kazi. Hii ni sawa na kumpa likizo akatumie fedha alizochukua,” alisema Mwigulu.

Alisema awamu ya nne imefanikiwa kuweka uwazi katika suala la hesabu kwenye mapato na matumizi ya fedha za umma na hivyo, awamu ya tano ijayo inapaswa kuanza kuwashughulikia watu wanaofuja fedha ili kujenga nidhamu katika matumizi ya fedha za umma.

“Siyo tu kwamba, ni fedha za wahisani kwamba, ndiyo tutumie vizuri. Huko tunakokwenda fedha yoyote inatakiwa itumike kwa uadilifu ili kuwafanya walipakodi waone kodi wanayoitoa inatumika kwa malengo yaliyokusudiwa,” alisema Mwigulu.

Alisema mtu akilipa kodi ya umeme aone umeme, atakuwa na moyo wa kulipa na hakutakuwa na suala la kukimbizana kuhusu kulipa kodi.

“Lakini mtu akilipa kodi akaona yeye anaendelea kuwa maskini na kuna ngazi au viongozi waliopo madarakani wananeemeka na familia zao, inavunja moyo wa kulipa kodi,” alisema Mwigulu.

KASHFA YA ESCROW
Alisema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshawafanyia mahesabu ya kodi wanayopaswa kulipa kwa serikali wote waliopata mgawo wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kwamba, ni lazima italipwa na siyo jambo la mjadala.

“Lazima tajiri alipe kodi ili tuweze kusomesha maskini. Hatuwezi kusamehe kodi kubwa namna ile halafu tukakimbizana na mama mjane anayeuza mchicha,” alisema Mwigulu.
 
Hivi Nyerere akirudi akakuta anafanishwa na Gaidi, itakuwaje? Nahisi atajiuliza maswali mengi, atasema kwamba kumbe waTz hatuthamini mchango wake hata kidogo hadi tunamfanisha na Gaidi.

Mwigulu ndie mtu pekee anaesadifu fikra za Nyerere ndio maana sisi wazalendo tunamwita Nyerere
 
Mwigulu ndie mtu pekee anaesadifu fikra za Nyerere ndio maana sisi wazalendo tunamwita Nyerere

Nyie mmekula escrow nini mbona mnampamba hivyo huyu bwana tunamfahamu kama nimwema muache ajiuze lakini mambo take tunayagahamu hat a nafasi yake kwenye upotevu Wa pesa za summa tunaifahamu
 
Nyerere hakuwahi kukamatwa ugoni,Nyerere hakuwahi kununua vijana kumsifia,Nyerere hakuwa mshamba kujifananisha na kaliotangulia ili kupata sifa,Nyerere alikuwa mwanademokrasia pamoja na watz kukataa vyama vingi lakini akashauri tubadilike,sasa huyu Panyaroad amesahau alivokuwa anamtukana Dr.Slaa kwamba ana mapepo saba,akanunua vijana kulipua mabomu.

hahahahahahahahah kweli chuki haijengi hata mimi nilimchukia kama wewe lakini penye ukweli tuseme tusiwe wanafiki jamani
 
Back
Top Bottom