Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Huko ndiko kimchanachana?umekosa hoja umebakia kutoa povu tu!nenda kalale wewe!
 
Mimi nilidhani kajibu hoja,kumbe vijembe na mipasho?,

Nchi yangu Tanganyika hawa viongozi wana shida gani kwenye ubongo!
 
We unataka ufafanuzi gani zaidi ya yale aliyotoa bungeni?

Ulivyo waelewa hawa wanasiasa wawili sivyo watanzania wote tulivyo waelewa! huenda ulipendezwa na kuridhika na sauti zenye kuhimiza! hususani na mrengo wa siasa unaouabudu! ila mimi(ama wengi) tunatafsiri meno moja hadi jingine kupata kilicho ndani ya maneno hayo! hakuna anayependa kutuhumiwa ila ni rahisi kutenda hujuma zitakazo kutia katika mtego wa kutuhumiwa! ni vyema hekima ikachukua nafasi yake kujiweka safi kuliko ghadhabu!
 
Mbona nyie wana ccm mnachangia wenyewe ampewi support na wana jf wengine.
 
Mimi nilidhani kajibu hoja,kumbe vijembe na mipasho?,

Nchi yangu Tanganyika hawa viongozi wana shida gani kwenye ubongo!

Tatizo kubwa linalofanya iwe ngumu kumjibu Lisu ni kwamba report yake ina kuwa comprehensive kupita kawaida,kwa kila chalenji utakayotoa tayari unakuta iko accomodated kwny report yake
 
Mkuu ndo yale yale ya kili ndogo.....
Hivi huu uthubutu wa kusema Lissu anachonganisha wanautoa wapi ilihali walikuwa na ujasiri mkubwa kuushangilia utumbo wa ubaguzi na uchochezi wa kidini wa Lukuvi? angeanzia na huyo basi... si kujibu urojo kwa mambo ya msingi!

Umetukumbusha jambo la maana sana mkuu.
 
Nmemsikia jemedali akimjibu yule mgonjwa wa dr kigwangala,Nchemba ni kiboko yao

Kingwangwala anaweza mtibu nani wakati mwenyewe ni kichaa cha kuugua kwashakoo na marasimasi baada ya kutoswa na baba yake lissu ndio kamfanya aione dunia baada ya kuntetea
 
Siamini kama Nchemba anaubavu wa kupambana na Lisu kwa Hoja! Ingekuwa busara kama mleta mada angetuwekea Hoja ya Lisu na response ya Nchemba ili tuchambue pumba na mchele badala ya kung'ang'ani neon uchonganishi! ooh wazanzibar wataumia! How..? Tufafanulieni tujue kilichojiri wakuu...
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

unatatizo la epidomea!(unyan...unyan...)
 
Pole kijana, hakuna mwana CCM yeyote aliyejibu, hoja za Lissu hata wewe unapiga domo tu huna hoja.

Tulia wewe. Lissu akiambiwa ukweli hachelewi kuweka mpira kwapani. Kupna kuwa alichokisema bungeni leo asubuhi ilikuwa ni ulaghai, wakati anachanwa chanwa na Mwigulu na wabunge wengine, muda wote alikuwa anajichekea tu ka taahira vile
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati kmwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
huyo naye anaoona mwezi kwa kupachikwa vyeo kwa kuongea ujinga ana miezi kumi na saba hatakuwemo tena kwenye historia ya siasa za nchi hii zaidi ya kuwa lupango kwa wizi wa epana iptl
 
Back
Top Bottom